Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,197
Gracious brother...Mkuu. Ngoja nianze upya kwa kuangalia kila sekta then nione itakavyokuwa.
Gracious brother...Mkuu. Ngoja nianze upya kwa kuangalia kila sekta then nione itakavyokuwa.
umeshafeli
watoto wazuri wanapenda mtu ambae anaweza kuwa ignore
ukiwa nao jifanye kama huoni huo uzuri wao..
wakikupa namba usipige..kaa kimya kama wiki hivi
halafu ukipiga ni mara chache sana huku unaongea cha maana
sio kupiga kusalimia tu
Umenifunza kitu hapo
Asante Mkuu.Tongoza kigaidi![]()
![]()
![]()
![]()
Nijilipue kiaje tena Mkuu?
Mpaka hapo unaonekana una mvuto wa mashaka,na kama ndoto za kutumia pesa huna ao madem wazuri utabakia kuwaita shemeji.![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
Mkuu na Mimi nitaku PMUkipata msichana mzuri nione PM
kuna kitu nataka nifanye
sasa ntampima nitakacho kushauri kama kinafaa
kuna member anaitwa Papizo niliwahi mshauri akasema ushauri umemsaidia
Mkuu na Mimi nitaku PM
Wewe kama upo bar rudi nyumbani zimeshakukolea...hujui watoto anaozunguzia emmyguy.?
Eti jamaa anajifanya hawajui watoto wazuri, labda tumpe mfano kama akina atoto, miss chagga, Evelyn Salt na wengineo.
Hahahaaa.... Mkuu ligi yangu ni kubwa mno, na sio kwamba wanawake hawanipendi wote ila ninayemhitaji mimi hanipendi bali napendwa na nisiovutiwa nao.ligi yako ni ya mchangani bado ujapanda jaraja ukipanda tu utawapata tu..kwa sasa cheza hukohuko mchangani..hahaha
HahahahhhHata ukitumia mavumba nayo wanakukataa hao watoto wazuri!
Apo ndo unapokosea![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
The Boss umemalizaumeshafeli