Kukataliwa na wanawake wazuri

Kukataliwa na wanawake wazuri

Hauna tatizo lolote,tatizo lingekuwa kama unakataliwa na wanawake 'wabaya' hapo kungekuwa hakuna tena suluhisho zaidi ya kuamua kuwa deep kiroho na kutoa semina za ukimwi.
 
solution:
1. Tafuta hela utawapata hadi unaowaona kwny tv au
2. Shusha standard zako kdgo kdgo kdgo mpaka ukianza kukubaliwa hyo ndio level yako au
3. Tafuta kuwapata hao wazuri kwa saikilojia ya kutowababaikia na nynginezo ikiwemo maombi
 
Hauna tatizo lolote,tatizo lingekuwa kama unakataliwa na wanawake 'wabaya' hapo kungekuwa hakuna tena suluhisho zaidi ya kuamua kuwa deep kiroho na kutoa semina za ukimwi.
Hahahahaaa.... Asante Mkuu japo umenifurahisha sana.
 
solution:
1. Tafuta hela utawapata hadi unaowaona kwny tv au
2. Shusha standard zako kdgo kdgo kdgo mpaka ukianza kukubaliwa hyo ndio level yako au
3. Tafuta kuwapata hao wazuri kwa saikilojia ya kutowababaikia na nynginezo ikiwemo maombi
Aisee duh! Shukrani kwa ushauri wako.
 
Kuna wengine Nao huogopa ,, Mfano humu JF kuna Demu Kaniogopa Kabisa yaani nilipomsifia tu baada ya kutuma picha Whatsup nikamwambia Atume zingine nifaid uzuri wake Akajua na jokes Si ndo kasepa jumla Nimecheka saana,,Sio kila anaye kukataa Hakupendi wengine Wanaogopa na kujiona sio level zako,,
huna lolote, unaji advatize au?

jst a question
 
Haaaahaaaaa Nawajua sana nyie Alisha wahi kunidamganya Mschina mmoja Anaitwa EVA,,Ushamba ukaniishiaa
 
Back
Top Bottom