Asante kwa ushauri mzuri.Always always hata mke wako au girlfriend wako ni mzuri saa zingine usije kujaribu kumsifia au kumuoyesha unampenda au unamjali kivile ofcoz mara moja moja sio mbaya ila sio muda wote la sivyo itaku cost vibaya sanaa mwanamke siku zote ni kumjali na saa zingine unampotezea tu ukimpa attention sanaa atakuzingua
Ushauri nilioutoa ni mzuriTulia wewe ulitaka tuish vp?Ushauri uliotoa ni mzuri.?
Ona huyu jamaa anajiita Moto Maji AnazinguaJamani braza kuna nini tena?
usijali biashara wateja wameskiaUshauri nilioutoa ni mzuri
Na cjaona sababu ya ww kuubeza
Wako cjauona
Hzo shobo ujue
Miyeyusho xana we jamaausijali biashara wateja wameskia
Utakua mwanaume wa dar wewe mana ndo zenu, afu hyo xana badala ya sana... x kutumika kama s mwisho huko fb sio jfMiyeyusho xana we jamaa
Sikuhizi wanakwambia kama nyota ni tatizo bonyeza relijaribu kuchungulia nyota, huenda nyota pia ni tatizo kwako, ila shida kama itakuwa nyota jaribu jua..😀😀😀 in diamond voice
Chunga kijana utapoteaUtakua mwanaume wa dar wewe mana ndo zenu, afu hyo xana badala ya sana... x kutumika kama s mwisho huko fb sio jf
Nakukubali mkuu. [emoji106]Utakua mwanaume wa dar wewe mana ndo zenu, afu hyo xana badala ya sana... x kutumika kama s mwisho huko fb sio jf
Atapotelea wapi tujuze. Acha matishooooooChunga kijana utapotea
Unawagongaaaaaa cjaelewa hapo.Lakini kumbuka wengi tu nawagonga kwa physical yangu.
Ni vyema ungetamana na hii issuesAtapotelea wapi tujuze. Acha matishoooooo
Nan kakwambia kuna limitation huku?Ni vyema ungetamana na hii issues
Onesha hapa hapa kwani wanagongwa pm au?Njoo PM nikuoneshe ninavyowagonga.