Kulingana na shughuli zangu, Wanawake wazuri nawaona wa kawaida

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Sep 17, 2021
316
831
Wakuu kutokana na shughuli zangu nimekuwa nikikuta na kila aina ya wanawake wazuri kiasi cha sasa kila mwanamke hata awe mzuri kiasi gani namuona wa kawaida sana sijaona mwanwmke wa kunitetemesha kiasi cha sasa wanawake wazuri wengi nawaona kama washikaji tu.

Wakuu natamani nitoke kwenye hii hali maana naona kama nawadharau sana mademu kuna demu mmoja mpangaji mpya ni mzuri sana ila mimi namdharau namuona kawaida sasa hii hali demu imeuuma ukizingatia wengi wanamshobokea sana ila mimi anaona sina shobo nae hadi anajiuliza sana maswali.
 
8457d35b-116e-4d8b-8961-6437de5b5419.jpg
 
Ukiwa bze kweli una kuwa hivyo , ila mkuu kama unapiga nyeto Acha mara moja .
 
Madaktari hasa wa maswala ya uzazi mara nyingi unakuta hata kama mko kijiweni anapita mrembo yeye wala hashtuki....
Anamuona wa kawaida
 
Wakuu kutokana na shughuli zangu nimekuwa nikikuta na kila aina ya wanawake wazuri kiasi cha sasa kila mwanamke hata awe mzuri kiasi gani namuona wa kawaida sana sijaona mwanwmke wa kunitetemesha kiasi cha sasa wanawake wazuri wengi nawaona kama washikaji tu.

Wakuu natamani nitoke kwenye hii hali maana naona kama nawadharau sana mademu kuna demu mmoja mpangaji mpya ni mzuri sana ila mimi namdharau namuona kawaida sasa hii hali demu imeuuma ukizingatia wengi wanamshobokea sana ila mimi anaona sina shobo nae hadi anajiuliza sana maswali.
shida ni ada au kitu gani? wenzako wamefungua shule j'tatu.
 
Labda atakuwa anafanya kazi saluni ya kike.
Hofu yangu kwake ni moja tu! Asije akawaona hao wanawake ni wa kawaida, halafu wanaume ndiyo akaanza kuwaona ni maana. Tutampoteza mapema sana.
Msafisha kucha saloon huyo,Kesha yazowea mapaja ya Wanawake hadi hamu imekataa!!
 
Back
Top Bottom