He hee kumbe ee... Hapa ni sawa umeuza ramani ya vita kwa aduiumeshafeli
watoto wazuri wanapenda mtu ambae anaweza kuwa ignore
ukiwa nao jifanye kama huoni huo uzuri wao..
wakikupa namba usipige..kaa kimya kama wiki hivi
halafu ukipiga ni mara chache sana huku unaongea cha maana
sio kupiga kusalimia tu
Kama ni hvyo utangoja sana![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
Acha ushauri waki-bata weweKama upo daresalaam Fika sehem moja inaitwa manzese uwanja Wa fisi au Rambo hotel Wanawake wazuri wako hapo sema nao.
Huenda sehem unazokutana na hao wazuri si sahihi
Fika ayo maeneo
EXPRESS YOUR SELF
umeshafeli
watoto wazuri wanapenda mtu ambae anaweza kuwa ignore
ukiwa nao jifanye kama huoni huo uzuri wao..
wakikupa namba usipige..kaa kimya kama wiki hivi
halafu ukipiga ni mara chache sana huku unaongea cha maana
sio kupiga kusalimia tu
Utalazimishaje kununua gari la 200mil,wakat wew una 9mil.........PESA INAONGEA,TAFUTA PESA,watatuliaHeshima kwenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa na kasumba moja ili mbaya sana, maana kila mwanamke mwenye kuweza kutimiza haja zangu kila nikimtongoza lazima anikatae. Kwa mda sasa nimekuwa nikichagua machaguo yasiyo halali yangu na kuishia kuachana maana ninayempenda hanipendi mimi. Sasa najiuliza sijui ndo hii sura yangu iliyo na ukakasi wa kukataliwa ama sijui ni kitu gani.
Naombeni ushauri wenu maana imefikia mda nimechoka sasa, wanawake wanaonipenda mimi kwangu nawaona hawana mvuto kabisa, ila ninaemhitaji/kumpenda ndo kwanza hata salamu tu hataki.
We bado uko karne ya 17,hujui sasa n karne ya 21![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
Na siku hz hakunaga ngekewa,utaishia kuziona kene muvi,hata watot wakshua sku hz wanapenda washkaj wenye pesaSiku zote Hupati unachotaka unapata unachostahili. PiaTatizo ni ligi uliyopo.
Kawaida Mtu wa ligi ndogo huwezi endana na wa ligi soo. Labda itokee ngekewa tu
Hebu nioneshe wako kunguni weAcha ushauri waki-bata wewe
Tusiwakatishe tamaa namna hii mkuu nao ili wajione watuNa siku hz hakunaga ngekewa,utaishia kuziona kene muvi,hata watot wakshua sku hz wanapenda washkaj wenye pesa

umekuja kutangaza biashara huku we bwegeHebu nioneshe wako kunguni we