Umeongea point wew toto![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hana gari wala tembo card master card ndo maana anaogopa!
hajui hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Ni adimu sana kumpata na vigezo hivi vyote kwa pamoja, mrembo ana wanyatiaji wengi hivyo hujikuta wanafoleni/ chain ndefu.Nahitaji mwanamke mwenye mvuto na tabia nzuri.
Ni adimu sana kumpata na vigezo hivi vyote kwa pamoja, mrembo ana wanyatiaji wengi hivyo hujikuta wanafoleni/ chain ndefu.
Dunia ya sasa kumpata mrembo na aliyekamilika kila idara akabaki na tabia njema ni sawa na kutafta samaki nchi kavu.
Kama ni kutumia tu hapo sawa...lkn pia ikimbie zinaa, mpende akupendae na utaishi kwa raha, vinginevyo naona unaivuta presha kwa kamba..japo nafikiri unatania tu EMMYGUY

Jibu zuri na swali zuri.Ndio. Nina hela. Kwani vipi Mkuu?
Uko sahihi mi nawang'oa kila siku kwa hiyo mbinu... Demu akinipa namba katu siwezi kumtafuta siku hiyo hiyo!!umeshafeli
watoto wazuri wanapenda mtu ambae anaweza kuwa ignore
ukiwa nao jifanye kama huoni huo uzuri wao..
wakikupa namba usipige..kaa kimya kama wiki hivi
halafu ukipiga ni mara chache sana huku unaongea cha maana
sio kupiga kusalimia tu