Kukataliwa na wanawake wazuri

Kukataliwa na wanawake wazuri

Inayegemea unahitaji demu wa kuoa au kugegeda, kama ni kugegeda tu tumia pesa lakin kama kuoa labda sio type zako au huongei maneno mingi.
 
siku zote binaadamu hawapendi vitu ambavyo ni too common kwao

hao wanawake wazuri wanakuona 'too common'

body language yako inaonesha tu 'unababaika' mno ukiwaona hao warembo

anza kujifunza kuwachukulia kawaida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ana inferiority complex kwa warembo
 
Kabisa.....si ajabu maneno yanapotea akiona mrembo....
kumbe wenzie pengine nao wanajiuliza 'huyu mbona hazungumzi vya maana'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hajiamini aiseeh!

pole yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hajiamini aiseeh!

pole yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Labda anakutana nao posta wanamtisha
akija kukutana nao hao hao mbagala na Tandale
'atajiamini' kidogo.....

watu ni wale wale lakini wakiwa posta 'wanamtisha'
 
Labda anakutana nao posta wanamtisha
akija kukutana nao hao hao mbagala na Tandale
'atajiamini' kidogo.....

watu ni wale wale lakini wakiwa posta 'wanamtisha'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hana gari wala tembo card master card ndo maana anaogopa!

hajui hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
 
Back
Top Bottom