Kukataliwa na wanawake wazuri

Kukataliwa na wanawake wazuri

Jikubali kwanza wewe kabla hujataka kukubaliwa na mtu yeyote, jiamini popote pale ulipo na uwachukulie poa tu hao wadada unaowaita wazuri.
 
umeshafeli

watoto wazuri wanapenda mtu ambae anaweza kuwa ignore
ukiwa nao jifanye kama huoni huo uzuri wao..
wakikupa namba usipige..kaa kimya kama wiki hivi
halafu ukipiga ni mara chache sana huku unaongea cha maana
sio kupiga kusalimia tu
kwamba,, halloo, nakusalimia tuu
 
Wachukulie kawaida Mbona Mimi sina Hela kihivo but nakula hao watoto wazur tena wa Kishua yani Jiamini Tu ukikujua kucheza na Akili ya Mwanamke hupat tabu
 
utakuta mfukon hausomeki ndo maana..watoto wengi wazuri wanapenda chapaa sio longolongo....la sivyo utaendelea kuita shemej watoto wazuri.
 

Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.
Wanawake wAzuri wamwagie pesa
Labda upate bahat yakupendwa nae
Ckuhz wanawake awaangalii sa u HB
Performance na pesa
 

Hapana Mkuu, sijawahi na sitegemei kama kuna siku nitatumia. Najiona niko vizuri physically appearance.


...Nadhani anamaanisha mkwanja mkuu, si unajua tena uchawi wa kizungu huu?? Kwenye hii kitu huwa hawaruki vihunzi.....
 
Sampo yako inakuja kua na subira, labda nikulize unataka mwanamke wa Aina gan au awe na vigezo gan? Mana unasema usiowapenda ndio wanskungangania
Nahitaji mwanamke mwenye mvuto na tabia nzuri.
 
Uzuri wa mwanamke uko machoni mwa mtazamaji, na uzuri wa mwanaume ni kumiliki pesa na vitega uchumi. Kama wewe ni kapuku utaishia kuwaita shemeji, na utapata wale mnaofanana kiuchumi, au hujui kuwa ndege wafananao huruka pamoja??
 
Back
Top Bottom