Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

Lisu anataka watanzania wapate tabu ila hilo ni Dua la kuku. Hivi huko ubeligiji anajishughulisha na nini
Hahaha ulaya kule anatetea haki za wale mamama. ...hujui Kwan I. ..lakini lakini akae akijua katika watanzania asisahau wamo wajomba zake madada zake kaka zake akiwemo yule mwanasheria bib I zake babu zake binamu zake..labda kama amewakana wote
 
Katiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!

Katiba mpya (kama ya Kenya na Ghana ambazo sasa hivi zinapaa kiuchumi) zinajilinda zenyewe. Kila muhimili una nguvu yake. Chini ya katiba imara inayojilinda, nguli prof Assad asingeondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyemela!
Hahaha Kenya katiba mpya wameiweka kando kwanza. .sasaivi Kuna BBI. .a new version...eti sisi ndio kwanza tunalilia katiba mpya tumepitwa na wakati. ..what's the hell. .!
 
Kwa taarifa yako tu ni kuwa BBI inapumulia mashine sasa hivi baada ya mahakama huru (chini ya katiba mpya) kuipiga chini!
 
Watapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa

Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.

Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.

Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Ataangukaje kwani haoni. .wee vipi
 
Mwanasiasa anayeombea raia wa nchi yake wasipewe pesa kisa mwanasiasa mwenzie amemtenda isivyofaa hatufai watanzania .
 
Kwa taarifa yako tu ni kuwa BBI inapumulia mashine sasa hivi baada ya mahakama huru (chini ya katiba mpya) kuipiga chini!
Wapiiii hawawezi mahakama na maamuzi ya majority ya wananchi Nani zaidi usifanye mchezo
 
tunapambana na CCM juu ya taifa kujitegemea, huyu mwingine anazungumzia wahisani watunyime misaada kisa Mbowe yuko selo Tz yeye yuko Belgium....Huu ni utoto na kukosa ukomavu kwenye mapambano dhidi ya uhuru, na demokrasia ya kweli.... Tunahitaji kuiondoa CCM lakini sio kwa kuipa madaraka CDM baadala yake bora tuendelee na CCM mpaka watu wakipata akili.....Huyu eti anazungumzia wahisani kuinyima misaada tanzania huku mateso yanakwenda mpaka kwa wafuasi wake na bibi zake kijijini huko... na hapo ndio amemaliza kufikilia kwenye mbinu za kuipa mbinyo CCM..
 
Katiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!

Katiba mpya (kama ya Kenya na Ghana ambazo sasa hivi zinapaa kiuchumi) zinajilinda zenyewe. Kila muhimili una nguvu yake. Chini ya katiba imara inayojilinda, nguli prof Assad asingeondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyemela!
Katiba iliyopo inatamka wazi CAG hawezi kuondolewa na yeyote mpaka atapostaafu, lilifuatwa hilo? tatizo ni watu mkuu siyo katiba. Katiba ya CDM ilikuwa wazi kabisa mkiti ataongoza vipindi viwili tu, nini kinaendelea sasa huko CDM?
 
Samia anaharibu, amewekeza kuwafurahisha wahisani kwa kuwaonesha serikali yake inapambana na Corona.

Lakini masuala mengine ya utawala bora na haki za binadamu kwake anaona hayana maana.

Hao wahisani watakuja kumgeuka siku sio nyingi, kama Magufuli na ujuaji wake alikemewa Samia hana exception yoyote.

Mbowe kutaka kutimiza jambo linalokubalika kisheria hakustahili kuvamiwa hotelini usiku wa manane na polisi kama gaidi, wamuachie huru bila masharti yoyote.
Unaota wewe, maslahi ya wazungu hayako kwa wapinzani bali kwenye biashara na sera za Uchumi.

Kama sera hizo za diplomasia na uchumi ziko poa kwao nyie wapinzani wa kazi gani sasa.

Ndio maana kuna nchi kibao za Africa zinawanyoosha wapinzani na hakuna popote uwekezaji unapopungua.
 
Katiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!

Katiba mpya (kama ya Kenya na Ghana ambazo sasa hivi zinapaa kiuchumi) zinajilinda zenyewe. Kila muhimili una nguvu yake. Chini ya katiba imara inayojilinda, nguli prof Assad asingeondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyemela!
Assad ndio umemuona nguli. ..hahaha Msitake tuseme maneno hapa tukapigwa ban
 
Watapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa

Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.

Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.

Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Wishful thinking
 
Lakini za ESCROW nani alizitafuna? Mwizi ni mwizi
 
Samia anaharibu, amewekeza kuwafurahisha wahisani kwa kuwaonesha serikali yake inapambana na Corona.

Lakini masuala mengine ya utawala bora na haki za binadamu kwake anaona hayana maana.

Hao wahisani watakuja kumgeuka siku sio nyingi, kama Magufuli na ujuaji wake alikemewa Samia hana exception yoyote.

Mbowe kutaka kutimiza jambo linalokubalika kisheria hakustahili kuvamiwa hotelini usiku wa manane na polisi kama gaidi, wamuachie huru bila masharti yoyote.
Kuna watu hawajui maana ya "utawala bora haki za binadamu!"

Utawala bora maana yake ni kusimamia sheria sawasawa kwa watu wote bila upendeleo. Hiyo ni pamoja na kuwaadhibu watendaji wa serikali wanaovunja sheria za aina yoyote ile au wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

Haki za binadamu zinaunganisha mambo mengi kidogo ila linaloongelewa hapa uhuru wa binadamu kufanya mambo yake bila kubughudhiwa yaani uhuru wa kwenda popote, uhuru wa kutoa maoni yake na na uhuru wa kushiriki katika mambo mbalimbali yanayohusu uongozi wa nchi yake. Hata hivyo itambulikje kuwa uhuru huo una mipaka yake kuwa bindamu anayelindwa na haki hizo havunji sheria za nchi na katika kutumia uhuru wake huo wake haingilii haki za binadamu wengine.

Hizo condition mbili zinazoambatana na haki za binadamu ndizo watu wengi hawataki kukubali. Wanadhani uhuru wao huo hauna mipaka na wanaweza kuutumia kuvunja sheria bila kuguswa na serikali ambayo ina jukumu la kusimamia sheria. Kwa hiyo kuomba utawala bora na kuomba uhuru usio na mipaka ni contradictory!
 
Tatizo siyo katiba mzee, tatizo watu! Bible pamoja na uzuri na maonyo yake yote lakini bado kuna makasisi wanabaka! Hii katiba iliyopo tu ina mazuri mengi mnoo, je yanafuatwa? Hapana
Unalinganisha katiba na biblia ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom