Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Toughlendon ,
Mkuu,
Msamehe tu huyo Perry na wenzako maaana nahisi ni vyuma vimekaza mkuu, hadi vijana memory card zimeiji format automatically!!
hahaha...unajua ukiwa na stress zako we njoo jf utacheka sana...kuna watu wanavituko na ni jamii forum unawajua wabongo vizuri sababu wanajieleza kila kitu sababu ya fake identity...
 
kitendo cha kuonesha husia tu za kuitaka hii kazi hadharani umekuwa Disqualified
 
Jaman hizo nafasi za usalama wa taifa jaman ni ndoto zangu nani anisaidie kuhusu namna ya kufika huko lakini?

Nenda Malindi kama Unaenda Mbweni Usikate Kona kwenda mbweni ukivuka ule msitu nyoosha moja kwa moja uliza wale makirikiri getini kama umeenda kuomba kazi na utajaza form za maombi.

Ukifika DSTV kata Kona kama unaelekea kwa Bakhresa,pale walipoandika No ENtry kuna Geti nenda kaulize kwamba umekuja kuomba kazi.

Ukifika TRA kuna jengo lipo Opposite nalo near KITUO cha daladala ,Limepakana na Jengo la Wakala wa Meli(shipping Line) ulizia kwamba umekuja kuomba kazi watakupa form utajaza.

Ukifika Makumbusho Karibu na Triple A au Simba kapakatwa Opposite utaona geti lina vizuizi ulizia wale makirikiri watakupeleka HR utaenda kujaza form za maombi.

Usisahau kutupa Mrejesho.
 
Ndipo atakapojua ni kipi hasa kilimtoa khanga manyoya.
 
mkuu,kila kitu na wakati wake,mfano wakati wangu niliajiriwa direct kutoka chuo hata kabla ya graduation(unaenda kufanya supp ukiwa mtumishi wa umma).kwa kuwa watu wenye taalumu kulinganisha na mahitaji ni wachache wakati huo,sasa wako wengi mno lazima mchujo.
hata wakati huo watu walikuwa wachache pia usalama wa taifa uchujaji ulikuwa wa hali ya juu.
kuna watu kindakindaki ambao wanaweza fanya kazi ngumu kwa malipo madogo kwa kuwa kaipenda,mfano mtu anaweza mchangia mtu anae umwa wakati na yeye anadaiwa.
mishahara si kila siku inapanda sasa kuna wakati lengo lako litakuwa pesa basi unaweza uza siri za taifa lako,mfano korea kaskazini unahisi wanalipana sana kuliko kwa sadam husein enzi zake?jibu hapana ila uzalendo,mfumo na malezi
Hakika
Uzalendo kwanza
 
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu,plz naomba anijulishe!elimu yangu,ni ya vidato 6.sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafc 2 na hyo kazi..
Ulifajikiwa???????haaaaah
 
Nimeshakusoma mawazo yako hutaweza kupata hiyo job.nikuulize kama hata cku moja umewahi kuckia matangazo yao ya kazi?wana wa2 wao so utajisumbua,then wameona umeshaanza kuandika huku jf wanajua utakuwa virus!
labda alipata who knows
 
Sikushauri uende huko hiyo sio kazi nzuri hata kidogo utaja juta ingia huko
Kazi ya kipuuz Sana,
hutakua huru maisha yako yote.
Huruhusiwi kustaafu
Utaishi kwa rimoti (utaishi kwa maelekezo maalum)
 
Back
Top Bottom