MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Mkuu unajua kujengea hakuna shida ila kuweka nakshi, mara marumaru, mara kuweka kivuli ndio shida! kwani ukijenga kawaida kumbukumbu haibaki???
Ama kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. SABABU YA KUJENGA MAKABURI NI KUWEKA KUMBUKUMBU. Kama ni gharama au matumizi waulize wazungu wanaofuatilia ulipozikwa moyo wa Dr. Livingstone hadi leo. Suppose kusingekuwa hakujajengwa mnara kizazi hiki kingejuaje alipofia.
Hata vijukuu vyangu vinatakiwa vijue original yao haswa hao watoto waliozaliwa mijini. Ni muhimu sana mtu kujua original yake na kunapokuwa na evidence ya ancestors inakuwa nzuri zaidi. suppose evidence ya ancestors haipo je uta mshawishije huyu kitukuu au kilembwe aliyezaliwa mjini au Ulaya kama kweli pale ndipo alipoanzia kama hamna Kaburi lililohifadhiwa kwa maana ya kujengwa