Straight corner
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 385
- 132
Ushuzi ni ushuzi tu N'Ngabu kwanini wakwako uuone salama?
Anyway tusubiri watu wa kada hii watujuze zaidi!
Anyway tusubiri watu wa kada hii watujuze zaidi!
Kuuliza si ujinga walisemaga wahenga.
Hivi harufu ya ushuzi (hapa nazungumzia ushuzi wa mtu mwingine na si wa kwako mwenyewe) ina madhara yoyote ya kiafya kwa binadamu?
duh! Ushuzi noma.Una madhara makubwa, kuna jamaa aliwahi kuachia ushuzi na mtu aliyekuwa jirani yake akashikwa na mafua dakika hiyo hiyo...
wanamazingira wamebuni chupi za kuchuja hewa kutoka kwenye masaburi ili kulinda ozone layer isitoboke
Ha ha ha ha una vituko bwana wewe haya banaVipi Dena…umeachia kisilencer nini?
Bujibuji Kati ya vigongo vyote ulivyowahi kutoa, hiki ni funga mwakawanamazingira wamebuni chupi za kuchuja hewa kutoka kwenye masaburi ili kulinda ozone layer isitoboke
Ha ha ha ha una vituko bwana wewe haya bana
Kimoja kipi?! Fafanua banaUsicheke sana lakini manake saa ingine waweza kuachia kimoja bila kujijua
Kimoja kipi?! Fafanua bana
Yusuuuuuuuuuphuuuuuuuuuu, hahahahahahaaa.Ushuzi unamadhara makubwa sana Ivi ukupata ripoti ya wale waliokufa kwenye mahabusu mbalali kuwa kuna mtu aliachia Yusufuuu tatu na kuleta yale madhara.
mfundishe namna ya kubana misuli ya haja kubwa..kama pale anapojisikia kubana kwenda haja ndiyo hivyo na hapo abane pia..usimuhukumu moja kwa moja hauwezi jua ana shida gani toka utotoni au amepita mazingira gani maishani mwake.mie naamin hata yeye anakosa raha juu ya hilo ukizingatia ni mwanaume.Maombi pia ni muhimu sana ..
Habari zenu wapendwa wa jf.Leo nimeamua kuomba msaada juu ya tatizo alilonalo rafiki yangu(wa kiume) JAMAA ANATABIA YA KUJAMBA BILA MATARAJIO KAMA ATAJAMBA.Mnaweza mkawa nae mnapiga stori akaachia kitu.Nimeshudia mara nyingi sana akifanya hili swala mbele yangu na hata watu wengine na kunipelekea kukaa nae chini kumuuliza ni sababu kinachopelea mda wote awe Ame relax huko nyuma kwake.NIKAJIBIWA kuwa "mi mwenyewe nashangaa najikuta tu nimeachia"Mbaya zaidi hata msichana wake amejikuta akimlaumu kwa tatizo hili hadi kupelekea kunifuata mimi rafiki yake tulijadili bila ya yeye kuwepo.Jamaa hajali anasema kajitahidi kuwa anaubana ila inashindikana na kunipelekea kuwaza LABDA NI UGONJWA AU nisaidieni mawazo ili nimuokoa rafiki yangu na wahanga wa hili swala.ASANTEN