Wanawake wengi huchepuka kuanzia saa 2 asubuhi, muda ambao waume zao wameenda kazini

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
827
1,966
Habari wanaMMU it has been a while sijatokea hapa sababu ya purukushani za dunia hii

Je ulishawahi kujiuliza mke wa mwanaume anayeenda kazini kila siku asubuhi anachepuka muda gani?

Wakuu naweza kusema hasara moja wapo ya kuoa mama wa nyumbani ni kumwachia yeye muda mwingi wa kuchepuka pindi mwanaume anapokuwa kazini, yaani mpaka saa 8 let say mume ndiyo anarudi hapo atakutana na mke ameoga safi kabisa na waswahili walenda mbali zaidi wakasema HAINA MAKOMBO, so ukifika unaifakamia tu kumbe imechakatwa haswa

Ninayasema haya baada ya kushuhudia tukio alilopigwa rafiki yangu wa siku nyingi na mkewe, mume alikuwa akitoka alfajiri mke naye anatoka kwenda kwa majobless kazi yao ni kumchakata tu, ndipo juzi hapa jamaa kaenda kazini akarudi kwa emergency mida ya saa 3 asubuhi na kumfumania mkewe chumbani kwake na kijana wa mtaani

Bahati nzuri huyu jamaa yangu aliweza kujicontrol sana, hakufanya maafa yoyote lakini ndio imeenda na maji

Wakuu, sisi tunaotoka asubuhi tunahitaji kuwashtukiza wake zetu hata unarudi bila taarifa,, chunga mzigo wako
 
Ukiwekeza akili zako kwa kufuatilia mkeo au mwanamke utapata maendeleo hata siku moja...."never ever forgive a cheating wife"
 
Habari wanaMMU it has been a while sijatokea hapa sababu ya purukushani za dunia hii

Je ulishawahi kujiuliza mke wa mwanaume anayeenda kazini kila siku asubuhi anachepuka muda gani?

Wakuu naweza kusema hasara moja wapo ya kuoa mama wa nyumbani ni kumwachia yeye muda mwingi wa kuchepuka pindi mwanaume anapokuwa kazini, yaani mpaka saa 8 let say mume ndiyo anarudi hapo atakutana na mke ameoga safi kabisa na waswahili walenda mbali zaidi wakasema HAINA MAKOMBO, so ukifika unaifakamia tu kumbe imechakatwa haswa

Ninayasema haya baada ya kushuhudia tukio alilopigwa rafiki yangu wa siku nyingi na mkewe, mume alikuwa akitoka alfajiri mke naye anatoka kwenda kwa majobless kazi yao ni kumchakata tu, ndipo juzi hapa jamaa kaenda kazini akarudi kwa emergency mida ya saa 3 asubuhi na kumfumania mkewe chumbani kwake na kijana wa mtaani

Bahati nzuri huyu jamaa yangu aliweza kujicontrol sana, hakufanya maafa yoyote lakini ndio imeenda na maji

Wakuu, sisi tunaotoka asubuhi tunahitaji kuwashtukiza wake zetu hata unarudi bila taarifa,, chunga mzigo wako
Mobile Tracker FREE. ila uwe na kifua

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom