Steang
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 394
- 42
Walioitwa kwa mujibu wa hii post ni makonstebo.
mbona zinachanganya?konstebo wameita lin?
Walioitwa kwa mujibu wa hii post ni makonstebo.
Kwa mwaka huu,konstebo na sajini wanaita wiki hii,wiki ijayo ni Kiwira chuo cha Magereza,kwa miezi mitatu,bada ya hapo kazini.mbona zinachanganya?konstebo wameita lin?
Kwa mwaka huu,konstebo na sajini wanaita wiki hii,wiki ijayo ni Kiwira chuo cha Magereza,kwa miezi mitatu,bada ya hapo kazini.
Pia tunaona mnatumia cheo cha constable, je?nyinyi pia ni polisi? Je nyinyi pia ni jeshi? Na kama ni jeshi basi ni kwa sheria ipi? Na kama ni kitengo cha jeshi ni jeshi lipi hilo na kwa mujibu wa sheria ipi? Ushauri wangu ni kwamba polisi wanapaswa kuwakamata kwa uhalifu huu wa kuvaa sare za polisi na kujipachika vyeo lvisivyo vyenu kisheria
Pia tunaona mnatumia cheo cha constable, je?nyinyi pia ni polisi? Je nyinyi pia ni jeshi? Na kama ni jeshi basi ni kwa sheria ipi? Na kama ni kitengo cha jeshi ni jeshi lipi hilo na kwa mujibu wa sheria ipi? Ushauri wangu ni kwamba polisi wanapaswa kuwakamata kwa uhalifu huu wa kuvaa sare za polisi na kujipachika vyeo lvisivyo vyenu kisheria
Polisi jaribuni kuwa makini ktk kutekeleza sheria mfano mgambo wa jiji la arusha pia wanavaa sare ambazo ni allmost za polisi na mna wa angalia tuu, huo ni uharifu,kuvaa nguo yeyote inayo endana na armed force kwa mujibu wa. Sheria ya usalama wa taifa. Na sheria ya kanuni ya adhabu , hebu polisi wakamateni hawa migambo wa arusha,pamoja na wenzao zimamoto
ASANTE
Mkisha pata hiyo ajira mumshauri bosi wa zimamoto,ilimuache kuvaa sare za polisi kwani hilo ni kosa la jinai kwamujibu wa penal code of tz na national security act of tz, kwani zimamoto si polisi na pia si jeshi kwa mujibu wa katiba hivyo hizo sare mnazo vaa ni uvunjifu wa sheria
Narudia kusema kuwa kwa jinsi unavyojenga hoja ni wachache sana wanweza kukuelimisha maana unakuwa kama vile unajua kumbe hujui na bado hujatambua kama hujui,ni hivi kuhusu constable ni neno la kiingereza ambalo binafsi sijui maana yake,maana mimi nipo hapa New Zealand, na hapa wale mgambo wa jiji na manispaa ndio wanaitwa police constable,wale polisi wa kawaida wanaitwa polce officers,mtu akivunja sheria za mijini anapelekwa mahakamani na hawa mgambo ambao wanaitwa police constables bila kujali cheo chake na neno hili hata Uingereza wanalitumia kutofautisha polisi na mgambo,huko kwetu tumelichukua huku nadhani kwa ujumla.Pia tunaona mnatumia cheo cha constable, je?nyinyi pia ni polisi? Je nyinyi pia ni jeshi? Na kama ni jeshi basi ni kwa sheria ipi? Na kama ni kitengo cha jeshi ni jeshi lipi hilo na kwa mujibu wa sheria ipi? Ushauri wangu ni kwamba polisi wanapaswa kuwakamata kwa uhalifu huu wa kuvaa sare za polisi na kujipachika vyeo lvisivyo vyenu kisheria
Sipendi nijadili mkanganyiko wa hoja zako hasa kuhusu majeshi ya kikatiba ila nitapenda kukuuliza, Kwa mfano wako wa 'duniani kote' niambie ni wapi Zimamoto imeungana na polisi au jeshi lolote,kwa Uingereza na nchi zote za Ulaya na Amerika wanajitegemea,sasa ni wapi zimeungana?Bwana nguvu ya hoja kwanza hupaswi kusita kutoa elimu kwani huo ndio msingi wa wanajamii, hivyo toa elimu bila kusita, mwaka 1926 hatuku wahi kuwa na jeshi la zimamoto ila tulikuwa na kitengo cha zimamoto ndani ya jeshi moja la polisi ambao walivaa nguo hizo za kijani wakihesabika kuwa ni polisi , wakati sasa wameji tenga sivyema kwao kuendelea na uniform hiyo kiusalaam kwani wao si polisi tena kwa sasa, kuhusu Jkt hawa wamekuwapo rasmi tangu 1963 hivyo ni lazima wangekuwepo kwenye katiba wakati pia jwtz hawa rasmi wamekuwepo 1964 ,navy na air wing hawa wezi kutajwa kwenye katiba kwani duniani kote navy na air wing ni command za jeshi kamili, kwa kifupi issue ya moto peke yake haiwezi unda jeshi na hata kama kunamajanga mengine basi majeshi kamili ya kikatiba yatafanya kazi, kwa kifupi hawa zimamoto wanapaswa wawe chini ya moja ya majeshi ya kikatiba na si kukaa peke yao namna hiyo nchi moja hai wezi kuwa na vikundi vingi vya paramilitary activities vinavyo jitegemea hivyo ni hatari kwa usalama
Tatizo jamaa haelewi ila kwa jinsi anavyojadili utafikiri ni mjuzi wa mambo,huyo ukimkuta kijiweni atawashika wengi sana!!Mpe vpande vyake huyo, chezea zimamoto wew!
Mkisha pata hiyo ajira mumshauri bosi wa zimamoto,ilimuache kuvaa sare za polisi kwani hilo ni kosa la jinai kwamujibu wa penal code of tz na national security act of tz, kwani zimamoto si polisi na pia si jeshi kwa mujibu wa katiba hivyo hizo sare mnazo vaa ni uvunjifu wa sheria
nackia watu wanaripoti tareh 15/06/2014 alaf mpak leo hawajawek waz waliochaguliw manake nn?