Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
- Thread starter
- #81
Fikiria kwanza Hawa wazee wanapokosa uhuru hata wa kuamua watakula nini leo kwenye nyumba waliyoijenga wenyewe. Mkwe anapewa majukumu yote na wao wanakuwa kama watoto.Wengi watapenda muishi walivyoishi wao.sio rahisi kama mnavyofikiria