Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Tatizo watu niwabishi sana mama !!.Yahni hapa nakuunga mkono asilimia zoteee......sema watu hawajui ukitaka kula na kipofu usimshike mkono...ukimtendea wema mama wa mume wako utafurahia sana maisha ya ndoa..utajikuta makosa unafanya wewe na bado unatetewa .TAtizo kuna baadhi ya wanawake tukiolewa tu nataka kushindana na wakwe zetu.Na kuna wakwe nao hawapendeki hata uwafanyie nini lakini hii isitufanye tuwatendee mabaya .
Mm aka kambinu nakajua kitambooo.na nimekuelewa sanaaaa acha tu.JAmani mm naamin ukitaka kuona ndoa chungu mwanamke heeeee shindana na mkweooo utajutaaaaa.
Salute kwako ....hili ni somo langu LA Leo nimejifunza zaidi kutoka kwako.
Weeee unaolewa alafu unataka kushindana na ma mkwe ?? Cheeeeee ,,ivi kuna mwanamme atamwona mama yake mbaya ???? Nooo.. Mama atabaki ivo tu .
Watu waendane na mazingira ,,,,uless waendeleee kutupiga limbwata tuuun..ila naakili zangu timamu ,,,,
NImawili tuuuu .
Muheshimu mama ukaeee.
Usimuheshimu mama Usepe nakazi yako tuuuu nahela zako na mwili wako ukoooooooooooo.
