Kuishi nyumba moja na wakwe

Kuishi nyumba moja na wakwe

Jamani siku huwa zinajirudia, sasa hivi unaweza kuwa kijana na hutaki kuishi na wakwe lakini siku utakapokuwa mzee utatamani upate mtu wa kukuangalia. Mwanadamu unazaliwa dhaifu, halafu unakuwa na nguvu baadaye unarudi kuwa dhaifu, hapo ndiyo wakati utakapojua kwamba ujana ni moshi, wazee wa wenza wetu ni wazee wetu pia hivyo basi tutakapo oa au olewa tuishi nao vizuri ili nasi tukija kuwa wazee na wakwe zetu waweze kuishi nasi vizuri.
Kabisa mkuu, kumpeleka hospital na kusimama Dawa zake.
 
Jamani siku huwa zinajirudia, sasa hivi unaweza kuwa kijana na hutaki kuishi na wakwe lakini siku utakapokuwa mzee utatamani upate mtu wa kukuangalia. Mwanadamu unazaliwa dhaifu, halafu unakuwa na nguvu baadaye unarudi kuwa dhaifu, hapo ndiyo wakati utakapojua kwamba ujana ni moshi, wazee wa wenza wetu ni wazee wetu pia hivyo basi tutakapo oa au olewa tuishi nao vizuri ili nasi tukija kuwa wazee na wakwe zetu waweze kuishi nasi vizuri.
Mzazi wa mwenzio akishazeeka ni wakumvumilia tu maana hata wako lazima umvumilie uzee ni kama utoto tu.
 
nmeishiwa pozi man .....ama kweli hao nivijana Wa DAR .
Simple tu wanasema kwanini nipange wakati nyumba ipo ya baba?? ishi kwenye nyumba ya baba/mama kama wao hawaishi hapo may be, lakini wote humo.... mimi simpeleki mke wangu hapo. Bora wao waje kwangu kama umri umeenda wanahitaji uangalizi wangu sio kulelewa.
 
Shida sio kuishi na wakwe

Ni kuishi ukweni

Ni heri muwe na mji wenu wakwe waishi kwenu....mtakuwa na sauti na maamuzi

Kuliko kuishi ukweni controller ni wakwe
 
Kuna issue moja, baada ya mama mkwe kufika tu menu ilikuwa kabichi, kisamvu, mchicha ukisuuza ni maharage. Mama alifunguka mwe heri nirudi kwangu nilikuja kula nyama na samaki kumbe mna kila mboga za majani tu. Mwanae aliumia sana kusikia maneno hayo.
Hahahaja sasa izo is what we call *expansion mama mkwe*.

Sasa dawa yamama hiyo ndogo ,, toa kijipesa ,,nunua samaki kilo tano ,, weka ktk friji alafu ( daahhh mama yaaan samaki huku siku izo being gali sana ,ningejua ningekupa hela ukaniletea ).

Atakuonea huruma mwanaweee nazikiisha izo hutosikia akisema tena.

Lkn pia wazazi wet huja kututembelea hoping that wakiwa kwa mtoto wake atayaona mambo tofauti nakwake +akiangalia uwezo wako ,bila shaka kumlisha twmbelee yatakua nimakusudi yenu.
 
Shida sio kuishi na wakwe

Ni kuishi ukweni

Ni heri muwe na mji wenu wakwe waishi kwenu....mtakuwa na sauti na maamuzi

Kuliko kuishi ukweni controller ni wakwe
Mkuu wengine unakuta ni nyumba ya familia mume wako ndiyo mtoto pekee wa kiume. Mawifi wote wameolewa na usiombe mama mkwe aanguke, mawifi wote wanakuja kuuguza na unaulizwa ilikuwa je mama alianguka?
 
Simple tu wanasema kwanini nipange wakati nyumba ipo ya baba?? ishi kwenye nyumba ya baba/mama kama wao hawaishi hapo may be, lakini wote humo.... mimi simpeleki mke wangu hapo. Bora wao waje kwangu kama umri umeenda wanahitaji uangalizi wangu sio kulelewa.
Daaahhhh iyo nitAhar sana ..nahao huwa niwaviv wamaisha ..namali yao huisha ovyoovyo sababu hawana *MADAFTARI*.
 
Kuna issue moja, baada ya mama mkwe kufika tu menu ilikuwa kabichi, kisamvu, mchicha ukisuuza ni maharage. Mama alifunguka mwe heri nirudi kwangu nilikuja kula nyama na samaki kumbe mna kila mboga za majani tu. Mwanae aliumia sana kusikia maneno hayo.
wala hii isikuumize na wala hapa usiutake usawa we pambana na hali yako tu.kwa mfano kama umezaa unajisikiaje pale mtoto wako anapoanguka japo kwa bahati mbaya unaona mshituko unaoupata mpakabunahisi uchungu Fulani hivi OK labda kama hujazaa lakini unamzazi he unajisikiaje anapotamani kitu ambacho kwa wakati huo kukipata tegemeo lake ni ww na ww huna uwezo wa kumsaidia unaona jinsi nafsi inavyoumia.

Yahn hii IPO na haiepukiki na huwezi kuizuia na ukithubutu yatakufika makubwa..Wewe kama umechoka michicha visamvu zungumza tu na mumeo lakini usiumie kwa yeye kufanya hivyo kwa mzazi wakekuna vitu havizuiliki ni nature yahn.
 
Mkuu wengine unakuta ni nyumba ya familia mume wako ndiyo mtoto pekee wa kiume. Mawifi wote wameolewa na usiombe mama mkwe aanguke, mawifi wote wanakuja kuuguza na unaulizwa ilikuwa je mama alianguka?
Sky ,,hilo nitatizo la mawifu,nakm MUMEO nigoigoi basi utanyanyasika .

Naukiona ivo ,wewe mama lazima uwe ubunifu namshauri mzuri kwamumeo.
 
Sisi kwetu hata kujenga kwenye eneo la baba ni marufuku. Hivyo basi imepelekea watoto kujitafutia.
Suala la kijana kuoa na akaendelea kuishi kwa wazazi ni uoga wa kujitegemea either mzazi au mtoto mwenyewe. Si jambo jema ni ishara ya madhaifu flan
 
Mkuu kadiri umri unavyokwenda wazazi wanakukabithi mali zao uzisamie wewe. Ni rahisi kama unaishi nao kujua matatizo ya kibofu ya baba na daktari wake, clinic ya moyo ya mama.
Inabidi uwe jasiri kusimamia familia yako, wazazi na huduma zao.
 
Mkuu wengine unakuta ni nyumba ya familia mume wako ndiyo mtoto pekee wa kiume. Mawifi wote wameolewa na usiombe mama mkwe aanguke, mawifi wote wanakuja kuuguza na unaulizwa ilikuwa je mama alianguka?
Heri muajiri wasaidizi

Muwe mnapita mara kwa mara
 
Kuishi nyumba moja na wazazi kwa ujumla sio vizuri.Bible imeandika mume au mke atawaacha baba na mama yake na ataambatana na mume au mke wake hawajasema wazazi wataambatana na watoto wao. Sasa ukikua ujue umekua tu ndoa ni neno ambalo limebeba mambo mengi sana ambayo ni maelewano ya wawilo.mfumo wa maisha kwa ujumla ni wenu wawili
 
Wahindi hili wamefaulu kwao sijui ni utamaduni
Tangu unaolewa unajua kuwa utaishi na wakwe,ama mkwe pia anatumia vyombo ili wajukuu wake kutumia. Ni utaratibu tu. the
 
Back
Top Bottom