Kuishi nyumba moja na wakwe

Kuishi nyumba moja na wakwe

Ukiwa mlezi wa wakwe ni Baraka pia tena kubwa kwa wale wanaoamini. Kikubwa ni kuwa kila mwanadam ashapangiwa njia yake ya maisha. Balaa ni pale utakapokataa kushika njia ulopangiwa automatically. Sidhani kama kuna MTU ataniambia alipanga awe hivyo alivyo na hapo alipo. Kila steji ya maisha ni mtihani sana kwetu maana hatujui nini kilicho mbele yetu baada ya hapa. Kikubwa ni kumumba Mungu kile anachokupangia na pale anapokupangia pawe na salama kwako na mafanikio mengi. So mi naona hakuna shida mradi tu uishi kwa furaha na amani na utimize malengo yako. Amen!
Asante mkuu ujumbe wangu mkuu ni kuwa unawezekana na pia maisha ni give and take. Fikiria mama mkwe Aamelea watoto wako wakati wewe unashinda ofisini. Umri wa yeye jujitsu kusindikizwa msalani utalifanya kwa moyo mweupe kabisa.
 
Umeshawahi kufikiria unapoushi nyumba moja na wakwe si rahisi ndoa kuvunjika. Wakwe watasaidia kurekebisha tu panapopunda.
 
Asante mkuu ujumbe wangu mkuu ni kuwa unawezekana na pia maisha ni give and take. Fikiria mama mkwe Amelia watoto wako wakati wewe unashinda ofisini. Umri wa yeye jujitsu kusindikizwa msalani utalifanya kwa moyo mweupe kabisa.
Kabisa Eclat. Fanya kwa Moyo mmoja mambo yataenda poa.
 
UOTE="Sky Eclat, post: 24817608, member: 106478"]Hao wamewezaje? Wazee wanapozeeka wa mahitaji msaada wetu, ni rahisi kuwasaidia kama iko nao karibu.[/QUOTE]
Ni kweli dear.....inshu ni hawa mama zetu i mean wakwe wa siku hizi yaaan wako kidigital zaidi.wapana kama pazia za labor, busara hakuna full tafrani.wanahitaji msaada tena haswa ila ndo wajiongeze na wao
 
UOTE="Sky Eclat, post: 24817608, member: 106478"]Hao wamewezaje? Wazee wanapozeeka wa mahitaji msaada wetu, ni rahisi kuwasaidia kama iko nao karibu.
Ni kweli dear.....inshu ni hawa mama zetu i mean wakwe wa siku hizi yaaan wako kidigital zaidi.wapana kama pazia za labor, busara hakuna full tafrani.wanahitaji msaada tena haswa ila ndo wajiongeze na wao[/QUOTE]
Upendo ni kitu cha msingi, uliletewa mkwe na mwanao mpende kama binti yako na binti kadhalka hurushizni maneno na mkwe wala kumnunia.
 
Umeshawahi kufikiria unapoushi nyumba moja na wakwe si rahisi ndoa kuvunjika. Wakwe watasaidia kurekebisha tu panapopunda.
Sasa wakileo hata kukaa mji mmoja na wakwe hawataki. Wana mambo sio kidogo. Wao wanataka kwao tuuu!
 
Katika kuzinguka kwangu Kisaka ugali niliona familia tatu za wachina zina ishi nyumba moja. Kitu kilichonishangaza ni usafi wa choo na jiko linalotumiwa na watu karibu 15. Pili upendocwakiokuwa nao kati yao.
 
Hahahhaha lakn matatizo sanasana yanatoka kwa wanawake..japo mwanaume ukisimama himala, utaona visingeli
Inabidi kila mtu ajue mpaka yake, htakuwa na matatizo. Wamzmacwa Huku kwetu Kwamtogole ukiwa umeolewa ndiyo na maji ya kuoga asubuhi I mwekee hata kama anaweza kuyaweka mwenyewe
 
waafrika wengi sana tunapenda kufanya vitu kinafiki,binafsi naamini sana kuishi nyumba mboja na wake haiwezekani but ikiwa kuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo basi nitafanya na kwa kujua kuwa siku moja itaisha.
lkn haiingii akilini mwanaume unaoa harafu bado unaaendelea kuishi katika nyumba ya wazazi wako kwa nini?wewe ni nani kwa wazazi wako? na kwa nini wewe ili hali labda mpo zaidi ya watatu? msukule wao? nani wao
acha ujinga nenda katafute maisha yako mbele mbona wewe hukuwakuta babu yako na bibi yako hapo?
embu jiongeze kafurahie maisha mbele na mkeo.
 
Mkuu usije kumwekea baba mkwe mahanjumati mpaka mama mkwe anashauri mtafute nyumba wewe na mumeo.
ahaaaa hapo sasa.unajua baba mkwe akiweepo hata mama mkwe anakuwa mdogo lazima amani itawale.ila mama akiwa peke yake wee anageuka boss utakoma
 
waafrika wengi sana tunapenda kufanya vitu kinafiki,binafsi naamini sana kuishi nyumba mboja na wake haiwezekani but ikiwa kuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo basi nitafanya na kwa kujua kuwa siku moja itaisha.
lkn haiingii akilini mwanaume unaoa harafu bado unaaendelea kuishi katika nyumba ya wazazi wako kwa nini?wewe ni nani kwa wazazi wako? na kwa nini wewe ili hali labda mpo zaidi ya watatu? msukule wao? nani wao
acha ujinga nenda katafute maisha yako mbele mbona wewe hukuwakuta babu yako na bibi yako hapo?
embu jiongeze kafurahie maisha mbele na mkeo.
Baba ana kuomba kabisa na kukuambia kuwa Anastasia na kurudi Chato na lile hekalu lenu la Masaki atakae nani?

Baada ya miaka miwili baba anagundulika na kisukari yuko kwenye clinic Muhimbili.
 
ahaaaa hapo sasa.unajua baba mkwe akiweepo hata mama mkwe anakuwa mdogo lazima amani itawale.ila mama akiwa peke yake wee anageuka boss utakoma
Ni kweli kabisa wanaume wanaangalia mambo tofauti na mtazamo wetu wanawake.
 
Baba ana kuomba kabisa na kukuambia kuwa Anastasia na kurudi Chato na lile hekalu lenu la Masaki atakae nani?

Baada ya miaka miwili baba anagundulika na kisukari yuko kwenye clinic Muhimbili.
hata kama maisha yao ni yao na maisha yetu ni yetu mie sikuumbwa kuishi na wazazi wtu bali na mke au mme wangu tu
 
Well ,, wat if km nmekuoa wewe mwanamke uloishia darasa LA tano???? . simara mia ya form four lever ktk suala la umakin???.

Alafu ,,, Suala lakujua Asubuh mchana usiku ,sio suala la kua umesoma sana , nikaumakini tu Ka kujua asubh ameze izi nakipimo iko basi ... Wanawake wangap hawajasoma lkn niwafanya biashara wakubwa ???? Sembuse dawa bana.

ONA KINACHOTAZAMWA HAPA NI *MOYO* YAAAN MOYO NDO UNATAZAMWA HAPA NASIO KINGINE .

kwann usimtendee wema mkweo mpaka akawa kila siku haishi kukuombea mema katika malango yako ???? .kwann usimjali mkweo mpaka akahisi wewe ndo mwanawe ???.

Ujue kuna wanawake bana ,unawaoa mpaka unasema my God am I married to an Angel or macho yangu ??? Yaaan mwanamke anakumbusha ,

Baby mama mkwe unaendeleaje

Baby ,ujue mama Leo ndo tarehe yake yahospital

Baby ,,nahisi pesa kwamama imemuishia

Baby kwaumri wamama nivema tumuwekee mdada

Baby ,kila siku nakuambia kama umeshindwa kumuwekea mdada BASI AJE AKAE HAPA.

Baby ,, nimmemis mama mkwe,, tinaenda lini???/

Baby acha tu ,wee nenda kazin ,mie nitaomba ruhusa nitampeleka mama mwenyewe .

UNAJUA KWANN HUYU MALAIKA ANAKUA ACTIVE KIASI IKO ??????. Nikwasababu anajua akitulia sana , Kule mama atamuona kua sababu ya mtoto wake kumtojali , yaan atasema * mwanangu toka ampate mwanamke yule ,kila kitu kimebadilika ,hanijali tena **.

Sijui unanielewa yaaan ??????..... NGOJA NIKUPE SIRI MOJA WADADA WENGI HAMUIJUI.... UKIWA UNAMCHUMBA ALAFU UNATAKA AKUOE MAPEMA NAHARAKA ,, SIKU AKIKUPELEKA KWAO TUUU HATA KM ANAKUPELEKA KIUSHIKAJI ,,WEWE UKIFIKA ,, CHANGAMKA ,,PIGA KAZI ,,MSAIDIE MAMA KUPIKA ,,PIGA NAYE STORY ZA UMBEAUMBEA ,, CHUKUA NAMBA YAKE ,, MCHEKESHANE VIZURI.*

AISEEEE UKIONDOKA TUUUU ,,UJUE UKU NYUMA MAMA AMEMKALISHA MWANAE ANAANZA KUMOA SOMO LAKUKUOA .

NAKAMA UMESHAOLEWA NAUNATAKA MUMEO AKUPENDE KUPITILIZAA ,, WEEEE MPENDE MAMA MKWE WAKOOO YAAAN HAKIKISHA UNAMPENDA KIASI KWAMBA UNAKUA NAYE KARIBU SANA ILI UWE UNAMUONA NAJAMAA ANAMUONA ... MAMA SISI WANAUME MAPENZI YETU HUWA TUNAYAWEKA KWA MWANAMKE ,NAMWANAMKE WAKWANZA HUA NIMAMA ...MWANAME ANAKUOA LKN HATOISHA KUMKUBUKA MAMA YAKE NAKUMWAZA ,, SASA ILI AKUPENDE SANA NIKUHAKIKISHA MAMA YAKE YUPO SAWA IN SUCH AWAY THAT MUMEO HANA HOFU NAHALI YAMAMA.

NAAMINI UMENIELEWA ILA TATIZO BINADAMU NIWABISHI SANA .

tatizo Vladimirovich Putin ,nikiwaambiaga kweli mnaanza ooohhhh weEe mtoto hujui kitu ,,ooohhh hauna akili ,,ooohhh mpuuzi tuuuu, ooohhh hujaoa ...ooohhh hujui karaha za ndoa namama mkwe . ..ILA NITAENDELEA KUWAMBIA UKWELI ,ONE DAY MTAELEWA.
Yahni hapa nakuunga mkono asilimia zoteee......sema watu hawajui ukitaka kula na kipofu usimshike mkono...ukimtendea wema mama wa mume wako utafurahia sana maisha ya ndoa..utajikuta makosa unafanya wewe na bado unatetewa .TAtizo kuna baadhi ya wanawake tukiolewa tu nataka kushindana na wakwe zetu.Na kuna wakwe nao hawapendeki hata uwafanyie nini lakini hii isitufanye tuwatendee mabaya .

Mm aka kambinu nakajua kitambooo.na nimekuelewa sanaaaa acha tu.JAmani mm naamin ukitaka kuona ndoa chungu mwanamke heeeee shindana na mkweooo utajutaaaaa.

Salute kwako ....hili ni somo langu LA Leo nimejifunza zaidi kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom