Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

Kifupi tu.

Mara nyingi kwenye pombe ngono ipo, yaani pombe usababisha watu kushindwa kujizuia ktk swala ya ngono. Sasa uliposema wasiokunywa starehe yao ni wanawake nilijaribu kukuonesha kua pombe na ngono ni mtu na rafiki yake. Ndio sabab wenye guest house ujenga na bar hapo hapo ama ujenga karibu na bar kupata wateja. Umewahi jiuliza kwanini malaya uenda kutega kwenye ma Bar.

Asante kwa ufafanuzi
 
Inaonekana ulevi ndo dhambi pekee katika ulimwengu huu,mnasahau uzinzi au kwa sababu ngono ndo tamu sana,kusengenya,wizi na dhambi nyingine,hakuna aliyemsafi wakumnyooshea mwenzake kidole,waacheni walevi.

Dhambi zote ni sawa tu, watu wanajaribu kujiweka kwenye u safe side tu.
 
Kuna familia pamoja huku kijijini namtumbo yaani mke na mme ni walevi,wameshazeeka kama miaka 60+.

Yaani hawa wote ni walevi na hawajawahi kuzaa,wanatoka mchana wanaenda baa wameshikana mikono,usiku wanaanza kuimba wakati wa kurudi home huku wameshikana mikono wakifika wanaanza kupika.

Huwa hawagombani kabisa
 
Ila hata wanawake siku hizi wanakunywa wine balaa ila wanajifungia vyumbani
 
Kuna dada mmoja aliniambia bora mungu angempa mwanaume mlevi wa pombe kuliko huyu aliyenaye mlevi wa papuchiiii....
 
Kifupi tu.

Mara nyingi kwenye pombe ngono ipo, yaani pombe usababisha watu kushindwa kujizuia ktk swala ya ngono. Sasa uliposema wasiokunywa starehe yao ni wanawake nilijaribu kukuonesha kua pombe na ngono ni mtu na rafiki yake. Ndio sabab wenye guest house ujenga na bar hapo hapo ama ujenga karibu na bar kupata wateja. Umewahi jiuliza kwanini malaya uenda kutega kwenye ma Bar.

Kwahiyo kwenye mabar hawauzi soft drink? Wewe ni punguwani.
 
Acheni ujinga sio kila mnywaji ni mlevi wengine hua tunastua kupata stim tu
 
Kwahiyo kwenye mabar hawauzi soft drink? Wewe ni punguwani.

Pole Mkuu, mi nadhani umeelewa vizuri tu!!ila ingekua poa kama ungeandika maelezo yako bila neno "punguwani"

Job done. Case rests. Quod erat demonstratum. Sayonara. Cheers.
 
Malizia sentensi yako " kwa msaada wa google translate.
 
Kuna familia pamoja huku kijijini namtumbo yaani mke na mme ni walevi,wameshazeeka kama miaka 60+.

Yaani hawa wote ni walevi na hawajawahi kuzaa,wanatoka mchana wanaenda baa wameshikana mikono,usiku wanaanza kuimba wakati wa kurudi home huku wameshikana mikono wakifika wanaanza kupika.

Huwa hawagombani kabisa

Mkuu ni wale wa rwinga?
 
Kwa msaada google is it? punguza mauno.

Go back to school and ask your teacher/prof. "what is google"?..in my statement cheers was used to end a conversation, Don't be a slow-witted one.

Back
Top Bottom