hahaha yaani unanifurahishaga tu mbwembwe zako Evelyn SaltTeh kuna kidume kinaitwa "evelyn"
Last edited by a moderator:
hahaha yaani unanifurahishaga tu mbwembwe zako Evelyn SaltTeh kuna kidume kinaitwa "evelyn"
pombe inaweza kuchangia, lakini pia ni tabia ya mtu tu, kuwa na dharau, shari au ubabe usiokuwa na msingi. Na ndoa nyingi za miaka hiyo ya 1942, zilikuwa si za maridhiano, ni za kuchaguliana tu, na wanawake huishi kwa nidhamu ya uwoga kwa kisingizio cha maadili, adabu au heshima, kumbe ni unyanyasagi uliovalishwa koti la uvumilivu.
Nimeshangaa, kila mdada anayechangia uzi huu eti hajawahi kunywa pombe.
Wonders shall never end!!
asante nakutunuku phd
mwanmme mlevi ni janga maana hata hayasimamishagi muda mwingine
Sipendi pombe na namuomba Mungu aniepushie mnywaji wa pombe
Ni mmachame, tena akasema biblia inayoaminiwa duniani ni biblia ya kimachame loh!!! Kwel pombe si chai,
Asingekunywa pombe ningeweza kumwomba dereva tupitilize tukamwache muhimbili, ila kwakua kanywa bas hicho ni kichaa pombe tu, pombe inawadhalilisha sana nyie watu hamjui tu.
Mna bahati sana hakuanza kutapika huko kwenye gari....
Hahahaha!!!! Mbona tungejuta siku hyo,
Ila bado huwa nashangaa na kujiuliza iweje mtu ulewe halafu umtukane na kumdhalilisha mke kwenye kadamnasi.
Sidhani kama sababu ni pombe...lazima walikuwa wana bifu tayari au ni ana tabia mbaya tu na hajiheshimu wala kumheshimi mkewe.