Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

Zamiluni asante sana kwa ushauri wako. Kiukweli jana nilighadhibika mno kwa kero zile. Nililoa chapachapa kuna gar ilipita karib yang ikanirushia maji machaf bas balaa mtindo mmoja.
 
Khaa!,wewe unahama na sisi ndio tunahamia!,tena kule mbezi msakuzi machimbo!.
 
Sasa ukihama kimara/mbezi..utahamia wapi penye utulivu na fresh air kama huku!?...unaweza kuhama kukwepa foleni afu ukajikuta umekumbana na tatizo jingine kubwa zaidi ya iyo foleni..
btw,BRT wakianza kaz angalau itasaidia hasa kwa wasio na private cars..
 
Baada ya kuona hali inakuwa ngumu kila kukicha nimeamua kutangaza kuuza nyumba. Na wakati huu nimehamia hapa mbezi tangi bovu.

Mbezi kimara sitaki tena hata unipe kiwanja bure sijengi. Nilikata tamaa siku nilipotoka mwenge saa 11 jioni nikafika nyumbani saa sita usiku!!!!

Wachaga endeleeni kukaa huko na mkiendelea kupambana na laana hiyo.
Mkuu bado hujataka kurudi Mbezi ya Kimara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apana mkuu umetumia neno kubwa sana. LAANA NI KUBWA SANA NA SIO ZURI KUTUMIKA MBELE YA JAMII.ushauri.ondoka mapema kazini.chelewa kuondoka kazi,au ama kimara mbezi njoo kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan! Ni bora hata wakaz wa mbagala kwan wao usafir s taabu kama mbez kimara.
Nadhan ifikie wakat wataalam, waachiwe kufany yao na wapiga domo wafanye yao( wanasiasa)
Wataalam waachiwe nini. Hao mainjinia njaa wakitanzania tanroads wanaokula na wachina ili tuendelee kua na barabara zisivyokua na viwango. Shit wataalam. Bora waendelee kuongozwa na wanasiasa.
 
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbezi nilianzia safari yangu Mwenge saa kumi na nusu jioni, baada ya kuvuka tu taa za Ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziendi mbele wala nyuma.Nililala nikaamka ndan ya gari lakin ndo kwanza nipo Rombo.

Nilifika Mbezi saa nne na robo usiku.

Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?
Umeshahama Kimara?
 
Upo mwenge, kwa nini hukupita njia ya chuo kikuu ukapita chuo cha ardhi na kuibukia makongo juu kisha unapiga hadi Goba njia panda kisha inaendelea mpaka mbezi mwisho? Kama daladala bado pale mwenge unapanda Kawe to Mbezi via Goba. Barabara ni mkeka na hamna foleni za kijinga. Kama uko uko sehemu yoyote ya wilaya ya kinondoni na unaenda mbezi louis, kupita ubungo ni kujiweka matatizoni. Mengine mnajitakia tu.

Ps: kumbe uzi wa 2014. Poleni.
 
KWA RAHA ZETU, MWENGE -MAKONGO-GOBA-MAKABE HADI MPIJI HAKUNA FOLENI
Na barabara ya Morogoro inapanuliwa sasa. Kuna watu waliuza viwanja kisa kafoleni ka 2014. Leo wanajuta. Maeneo ya Goba ni hot hot hot kwa viwanja.
 
Watu walikuwa wanatukana wataalam bure. Leo ni raha tupu kupitia barabara za michepuko.
Watanzania kujifanya nao wataalam. Humu tumeona watu ambao nafikiri ni wachoma chips wakidai barabara hata ikitanuliwa, foleni iko pale ple.
Bongo kila mtu ni mhandisi, daktari, mwalimu, mkemia, mfamasia, mchumi, mwalimu wa mpira(kocha) na rubani wa ndege.

Hasa humu JF.
 
Poleni wote,barabara ya Morogoro road itapumua malori yaliacha kupita huko.Hata hivyo barabara za michepuko ni muhimu kutengenezwa.
 
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbezi nilianzia safari yangu Mwenge saa kumi na nusu jioni, baada ya kuvuka tu taa za Ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziendi mbele wala nyuma.Nililala nikaamka ndan ya gari lakin ndo kwanza nipo Rombo.

Nilifika Mbezi saa nne na robo usiku.

Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?
Mkiambiwa waliojenga kwenye hifadhi wabomolewe zijengwe njia sita mnapinga
Hiyo barabara ukipita baada ya saa tisa na nusu imekula kwako,imeelemewa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom