Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbez nilianzia safari yang mwenge saa kumi na nusu jion, baada ya kuvuka tu taa za ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziend mbele wala nyuma. Nililala nikaamka ndan ya gar lakin ndo kwanza nipo rombo. Nilifika mbezi saa nne na robo usiku. Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?

Kwa kweli hii barabara sasa hivi ni Kimeo! Magufuli na Mwakyembe pls ingieni kati! Wananchi tunateseka sana na hizi foleni! Nani mwenye namba za hao watu tuwaandikie hata kaSMS!

Inakera na kuchosha! Kama huna safari ya maana ni bora ukae nyumbani kwako tu balaa tupu hii!

Barabara zote za michepuko imefungwa kuanzia Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Baruti, Kona, Rombo, yaan hakuna sehem za kuingilia. Mbaya zaidi kwa wakazi ambao wako upande wa juu ya barabara wanalazimika kupitia eidha chuo au jeshini huku ambako barabara ni mbaya sana hakuna routine maintenance, kwa sisi wenye vigari kama Corolla, Carina, Corona sijui MarkX, Mark II, GX100 au GX110 kwa kweli ni balaaa kupita huko. Na hizi mvua .................
 
mimi naishi tembon niliona kununua gari ni majnga badala pikipiki yangu ya boxer nmeona ndio suluhisho
 
Kwa sasa, njia za kuchepuka kama Bahama mama to Chuo Kikuu, au Msewe to Chuo kikuu ni ndoto kupitika,
:suspicious::suspicious::suspicious::suspicious:

nyie wa Kimara na Mbezi huko mmetusababishia na sie tunaokaa maeneo ya huku foleni

na michepuko yenu...ukishafika tu pale njia panda foleni hiyo..

ila poleni watu mnaokaa huko
 
Suruhisho barabara ipanuliwe gari 3 zinapanda 3 zinashuka mpaka Kibaha, kutoka Kibaha mpaka Chalinze gari 2 kupanda gari mbili kushuka.
 
Fidel80 ,hapo umenena maana ni kero vbya kuna siku mi nilikuwa natoka moro nilikaa mbezi masaa matano ndo nikfika ubungo gari haziendi wala kurudi hii barabara imekuwa kero kubwa sana
 
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbez nilianzia safari yang mwenge saa kumi na nusu jion, baada ya kuvuka tu taa za ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziend mbele wala nyuma. Nililala nikaamka ndan ya gar lakin ndo kwanza nipo rombo. Nilifika mbezi saa nne na robo usiku. Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?

Mkuu kama unaenda Mbezi na upo Mwenge hauna haja ya kurudi Ubungo mataa. Endesha njoo chuo cha ardhi na kamata barabara ya Goba. Ndani ya dakika kidogo utajikuta upo Mbezi mwisho. Hiyo barabaraba ya morogoro achana nayo kabisa, imeisha vunja ndoa za watu tayari na uenda ikaendelea kuzivunja.

Tiba
 
Mimi nawaonea huruma sana wakazi wa huko, muda wenu mwingi mnautumia kwenye foleni.
Wengine muwe mnapita hiyo ya kupitia chuo na wengine mpite ya tabata.
 
Nimetoka moro kumi na mbili asubuhi.....saa mbili nipo mbezi mwisho.....cha ajabu ubungo nimefika saa tano asubuhi.....hata michepuko siijui.....niliishia kusonya tu.
 
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbez nilianzia safari yang mwenge saa kumi na nusu jion, baada ya kuvuka tu taa za ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziend mbele wala nyuma. Nililala nikaamka ndan ya gar lakin ndo kwanza nipo rombo. Nilifika mbezi saa nne na robo usiku. Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?

kwani lazima mkae dar?mbona mikoa ipo mingi sana apa tanzania? si muhamie hata sumbawanga?
 
Wewe kumbe ubongo wako umelala au niseme umesinyaa!,hamia mbagala basi kama ni namnagani vipu!,hivi hujui maendeleo yanaletwa na sisi?,na huwaga yanakuja kwa mwendo wa kinyonga?,pumbafu zako na usipost post mambo ya kijinga siku nyingine humu au upeleke huu uzi fb!,sawasawa!.
 
Tuwe wavumilivu hiyo taabu itakwisha na tutasahau! Mambo mazuri hayataki haraka! Tupo ktk mpito
 
Kwa kweli hii barabara sasa hivi ni Kimeo! Magufuli na Mwakyembe pls ingieni kati! Wananchi tunateseka sana na hizi foleni! Nani mwenye namba za hao watu tuwaandikie hata kaSMS!

Inakera na kuchosha! Kama huna safari ya maana ni bora ukae nyumbani kwako tu balaa tupu hii!

Barabara zote za michepuko imefungwa kuanzia Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Baruti, Kona, Rombo, yaan hakuna sehem za kuingilia. Mbaya zaidi kwa wakazi ambao wako upande wa juu ya barabara wanalazimika kupitia eidha chuo au jeshini huku ambako barabara ni mbaya sana hakuna routine maintenance, kwa sisi wenye vigari kama Corolla, Carina, Corona sijui MarkX, Mark II, GX100 au GX110 kwa kweli ni balaaa kupita huko. Na hizi mvua .................

Road stretch kati ya Ubungo hadi Magomeni, upande wa kutoka Magomeni hadi Ubungo, yaani kutokea mjini, ukiondoa Mapipa na Ubungo, huwez kuingia barabara hiyo, yaani ni shida.
 
heri sie tuliochagua mbezi beach na goba.. sasa hivi tumeanza kula bata. wakimaliza daraja 1 lilobaki .. maisha ni mswano balaa
 
Umeona eh yaani roho kwatu! Ila ukiwa na gari yako katisha ya Goba au Kinyerezi/Segerea.
heri sie tuliochagua mbezi beach na goba.. sasa hivi tumeanza kula bata. wakimaliza daraja 1 lilobaki .. maisha ni mswano balaa
 
Nchaby umenena vema sana, hii barabara nu mradi wa wanasiasa. Jifikirishe kidogo utagungua kwamba kuna tatizo kubwa sana ktk mrad huu. Barabara inajengwa na kutumika kabla haijaisha ni kwa nin mrad mkubwa huu hamna barabara za mchepuko? alaf wahusika wapo wanaangalia tu jinsi wakaz au watumiaj wa barabar hii tunavyoteseka.

wahusika hawaoni hawana time na kupita barabara hiyo hata wakipita ni kwa vingora hwajasahau kiru barabara hiyo wanachosubiri ni mwakani tu ufike waseme wameanza na barabara ya mororgoro road tuchagueni tena tumalizie barabara nyingine.
 
Tuwe wavumilivu hiyo taabu itakwisha na tutasahau! Mambo mazuri hayataki haraka! Tupo ktk mpito

kinachokera zaidi ni hawa jamaa wamepunguza spidi yaani hawatuhurumii kabisa watumiaji wa barabara hii,unakuta kuna uppande haujengwi wala hautumiki na unaweza kupunguza foleni lakini wameufunga na wanawaona mnavyobanana huko upande wa pili wao hawana habari.
 
Kwani lazima upite ubungo. Pita goba au kinyerezi ukitaka kuja town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom