Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

LORIN

Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
51
Reaction score
23
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbezi nilianzia safari yangu Mwenge saa kumi na nusu jioni, baada ya kuvuka tu taa za Ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziendi mbele wala nyuma.Nililala nikaamka ndan ya gari lakin ndo kwanza nipo Rombo.

Nilifika Mbezi saa nne na robo usiku.

Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?
 
Pole sana mkuu, mie nlishaona hii barabara hata ikikamilika haitaleta suluhisho la muda mrefu. Huu ni ujinga wa wanasiasa kujifanya wataalam na kibaya wataalam wanaongozwa na wanasiasa.
 
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbez nilianzia safari yang mwenge saa kumi na nusu jion, baada ya kuvuka tu taa za ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziend mbele wala nyuma. Nililala nikaamka ndan ya gar lakin ndo kwanza nipo rombo. Nilifika mbezi saa nne na robo usiku. Matukio haya ni ya kila mara sasa kwenye barabara hii. Mapungufu ni meng kuliko faida kwa sasa. Barabara ni nyembamba sana kupitisha gari mbili hasa ikitokea ajali,hata kama barabara ikikamilika hii kero sitegemei kwisha. Mpaka hapo wadau nataka kujua kuishi Mbezi kimara ni Laana?

Pole sana mkuu, mie nlishaona hii barabara hata ikikamilika haitaleta suluhisho la muda mrefu. Huu ni ujinga wa wanasiasa kujifanya wataalam na kibaya wataalam wanaongozwa na wanasiasa.

Baada ya kuona hali inakuwa ngumu kila kukicha nimeamua kutangaza kuuza nyumba. Na wakati huu nimehamia hapa mbezi tangi bovu.

Mbezi kimara sitaki tena hata unipe kiwanja bure sijengi. Nilikata tamaa siku nilipotoka mwenge saa 11 jioni nikafika nyumbani saa sita usiku!!!!

Wachaga endeleeni kukaa huko na mkiendelea kupambana na laana hiyo.
 
Nchaby umenena vema sana, hii barabara nu mradi wa wanasiasa. Jifikirishe kidogo utagungua kwamba kuna tatizo kubwa sana ktk mrad huu. Barabara inajengwa na kutumika kabla haijaisha ni kwa nin mrad mkubwa huu hamna barabara za mchepuko? alaf wahusika wapo wanaangalia tu jinsi wakaz au watumiaj wa barabar hii tunavyoteseka.
 
Lorin..kumbe ndo ww ulikuwa umelala kwenye daladala jana...oopssss natania...! Ebana mie nilipanda ubungo saa 11 kufika over saa 2:30,sasa nina mpango wa kuacha kodi ya miez 3,hii kweli laana
 
Swali lingine la kujiuliza kulikuwa na haja gani ya kuweka zile kona kali km za kitonga pale kimara mwisho..hadi sasa scania mbili zimeshaanguka na kuua..strabag wanafunga barabara ovyo wanaongeza foleni ovyo
 
Nafikiri ni 'matatizo' ya kukaa sehemu ambazo hakuna hata siku tunasimamishwa ili ving'ora vya watawala vipite. Saa ngapi wataona kama kuna shida?
 
Nlishahama kitambo. Hii njia ni laana sahv

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ngoja barabara ikamilike msipoomba kuja kuishi huku kwa mara nyingine
 
Baada ya kuona hali inakuwa ngumu kila kukicha nimeamua kutangaza kuuza nyumba. Na wakati huu nimehamia hapa mbezi tangi bovu.

Mbezi kimara sitaki tena hata unipe kiwanja bure sijengi. Nilikata tamaa siku nilipotoka mwenge saa 11 jioni nikafika nyumbani saa sita usiku!!!!

Wachaga endeleeni kukaa huko na mkiendelea kupambana na laana hiyo.
Hapo kwenye bold naona unawatafuta maneno hawa jamaa zangu. ANYWAY.
Morogoro road ndio major road IN and OUT of Dar to almost all upcountry regions and neighbouring countries (Rwanda, Burundi, Congo, Kenya, Uganda, Zambia and Malawi). Hii ndio barabara inayobeba 99% ya malori na mabasi yote yaendayo mokoani na nchi za jirani.

Huwezi ukategemea barabara ya namna hiyo, hata ikiwa imekamilika ikawa sawa na barabara ya Mbagala ambayo ina DCM peke yake. Hii inatosaha kuonyesha kwamba Moro road haifai kutumiwa na watumiaji wa kawaida wa kila siku, ama wakitumia watapata kero ya malori na mabasi, ama wasitumie kabisa watafutiwe njia nyingine.

Lakini ujenzi unaoendelea, ambao huu lazima Magufuli na TANROAD wabebe lawama, umekuwa mradi wa kishenzi sana. Mradi usiojali environmental, social and economic impact kwa watumizi wengine wa barabara wala waishio pembezoni mwa barabara hiyo. Mradi hauna diversions wala nini, ukiingia pale Kimara kuelekea Ubungo, huwezi kuchepuka popote, mpaka ufike Ubungo, sawasawa na reli, Upuuzi mkubwa huu.

Kwa sasa, njia za kuchepuka kama Bahama mama to Chuo Kikuu, au Msewe to Chuo kikuu ni ndoto kupitika, kwasababu ukikaa kushoto kwa barabara, basi huwezi kuingia kulia, ukikaa kulia, huwezi kuingia kulia...TANROAD na Magufuli watueleze, huu ndio ujenzi wa aina gani.
:suspicious::suspicious::suspicious::suspicious:Ipo rushwa hapo...
 
Hata ikiisha, tatizo la foleni kwa hio njia litakua palepale. Poor desgn ya morogoro road ndio shida.
Zile kona zisizo na kichwa wala miguu, semi trailers na mabasi yatasemezana na magari madogo...tutaona tu.

Kule magomeni, wale jamaa wa guta wanapenda kukaa barabarani, sijui itakuaje!

Mimi natumia barabara za mchepuko tu....nikitaka kuingia barabarani naweka jumpers za chuma (natembea nazo kabisa) kwenye zile gable stones zao, naruka, natambaa zangu.
 
Akina Magufuli wanasubiri amalize kazi ili waukatae mradi kama walivokataa kupokeq barabara za morogoro.
 
Hii barabara ya morogoro ni janga la kitaifa kila mtu alijue hili.
 
malori yasiingie jijini Dar hapo tu ndo tunaweza pata suluhisho.

wajengewe ICD huko chalinze makontena yapelekwe kwa treni hiyo itakuwa win win solution, maana wenye biashara ya malori wataendelea kupiga pesa na sie wakazi wa Dar foleni zitapungua.
 
Hii barabara ya morogoro ni janga la kitaifa kila mtu alijue hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom