mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,586
Ahahah ππWatu wa mwanza hamna haki kabisa ya kuongea apa, angalau angalau Arusha
Ujawai pigiwa simu na watu wa dar nikopeshe pesaDar imeizidi mikoa kwa vitu vingi,
Ila ninachogoma kuamini ni kwamba wakazi wote wa dar wana vipato vya juu.
hongera sana kama umehamia Tanzania, umefanya jambo jema sana kutoka kule Cheka Ung'atweAhaha
h hapana mimi tangu nifike dar nilitaka kuibiwa mara moja tu kariakoo tena kuna jamaa akanisanua kunihelp
Vya kurithi ukitaka visikusumbue uwe na chako kikubwa zaid ya urithi mkuuSijamaanisha nitanunua kiwanja kawe kaka huko sipawezi ,nitaenda hata vikindu huko .
Ni jana kuna kampangaji nakauliza vipi mnaelewana vizuri hapo na hamgombani na wapangaji wenzio kakasema ndiyo .
Kumbe walishanishusha heshima kawapigia akina dada eti mbona simsomi mdogo wenu anapiga simu kunibughudhi ,wacha akina dada waniwashie moto mpaka nilianza kuogopa kupokea simu .
Sasa solution ni kujenga kibanda changu ili na mimi niringe tu vya urithi sio kabisa .
Sipo dar nimeishi sana now nipo mkoani dar nakuja kulabat na kusepahongera sana kama umehamia Tanzania, umefanya jambo jema sana kutoka kule Cheka Ung'atwe
Nakubaliana na weweUmeongea ushuzi π€£broo, mimi nipo mwanza, ila kwenye moja na mbili kuna watu wadsm hawanifikii japo ni dereva bajaji tu
Mwachi Nini kimetokea in mwamposa voiceπHellow
Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo
Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri wakuingize mjini
Na watu wa dar wengi wanajiamin kuwa wanajua kuvaa yaan wanaenda na wakati uongo sio wote ukitembea utakutana na vituko vingi sana kiasi hukutegemea kabisa
Kuishi kwako dar haimaanishi unajiweza uongo wengi dar wanaishi maisha ya kawaida sana tena kama mgeni usikimbilie kununua gar itakutesa mkuu
Kuishi kwako dar sio kwamba dar yote unaijua no kuna njia zingine uzijui kuwa mpole punguza ujuaji utashindwa saidiwa
Tupe story kidogoHamna matukio Ila akili yako lazima iwe active 24/7 tofauti na miji midogo Kama dar, Nairobi n.k
kama upo oystabey ,mbweni ,masaki na maeneo yanayofanana na hayo, tena zile sehemu nyeti tu hapo sawa, tofauti na hapo mvua zina nyesha huku kila mpanda uje tupige majaruba bwasheeππhuko mabondekuinama ndo wapi, Tanzania ipo Dar mkuu ogopa matapeli
Mh mnajipa moyoWanawaona washamba ndo maana, huku Dar kila mtu Superstar hakuna anaetaka kuonekana mnyonge kwa kumwomba Superstar mwenzie hela
Hapan hakuna kitu kimenikuta bossMwachi Nini kimetokea in mwamposa voiceπ
Si ajabu yupi tabata kimangakama upo oystabey ,mbweni ,masaki na maeneo yanayofanana na hayo, tena zile sehemu nyeti tu hapo sawa, tofauti na hapo mvua zina nyesha huku kila mpanda uje tupige majaruba bwasheeππ
Natuma,wasije wakarudi na kuuza mashamba ya urithi,Wacha wafie hukhuko Dar!Haaha na unatuma?
ππ watu wana mahangaikoSehemu kubwa ya jiji la Dar ni takataka, kuna wengi Dar ni kama tu wanaishi dampo
Maeneo mengine unajiuliza inawezekanaje binadamu kuishi
Ukiwa na kinyaa huwezi kuishi Dar
Ukitoka nje ya Dar ukaenda mikoa yenye hewa nzuri, safi na baridi unainjoi
Ukirudi Dar unagundua hewa yake ni nzito na harufu za ajabu ajabu
Kama kweli Michael Jackson alipokuja Dar alisema jiji la Dar linanuka alikuwa sahihi sana
Ahaha mm nawakimbiaNatuma,wasije wakarudi na kuuza mashamba ya urithi,Wacha wafie hukhuko Dar!
ππSi ajabu yupi tabata kimanga
Huko mikoani wanakaa mafans wetu mkuu, Dar ni Dar tu haijalishi mtu anakaa Goba, Mvuti, Kibamba wala Chanika mwisho, wote ni masuperstar huez linganisha na wa uko Kakonko ndanindani kuoga mpaka mvua inyeshe πkama upo oystabey ,mbweni ,masaki na maeneo yanayofanana na hayo, tena zile sehemu nyeti tu hapo sawa, tofauti na hapo mvua zina nyesha huku kila mpanda uje tupige majaruba bwasheeππ