changu ni changu
Senior Member
- Dec 21, 2013
- 111
- 28
Habari zenu wanajamii. Wanajamvi Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu, Mimi niliajiriwa na shirika LA wabelgiji waniajiria bukoba. Katikati ya mkataba wakanihamishia mtwara. Nilifika huku nikafanya Kazi miezi miwili mkataba wangu ukaisha tarehe 2 oktoba. Niliwaomba hela ya kunisafirisha Mimi na vitu vyangu kurudi bukoba waliponiajiria lakini walikataa. Je ipi ni Haki vyangu hapo??. Ahsanteni sana