Swahiba hauko mbali nami. Tundu Lissu atatoa upinzani mkali zaidi kuliko Dr. SlaaNatamani kuona mpambano wa Lissu Vs Magufuli.
Yoyote atakayeshinda serikali ijayo itakuwa na vionjo vipya. Labda itokee tu.
Naunga mkono hoja.
Hata CCM walikuwa na vigezo muhimu vya kuzingatia kabla ya kupata tano bora. Tatizo la UKAWA ni ubinafsi wa baadhi ya Vyama vya siasa vinavyounda UKAWA.
Kila mwenye analysis mind hawezi kupinga ukweli kuwa Dk Slaa anafaa kuliko wagombea wengine kwa nafasi ya Urais ndani ya UKAWA.
Ikiwa UKAWA watasamvaratika ktk hili la Urais, chama ambacho kitajitoa au kutengwa kitadidimia zaidi.
Mwaka 2000, Chadema walikuwa walikuwa radhi na walimwachia Prof. Lipumba na CUF kusimamisha mgombea Urais, lkn pamoja na kauli ya karibuni ya Prof. Lipumba baada ya kupitishwa na CUF kuwa atamuunga mkono mgombea yoyote atayepitishwa na UKAWA, naona kuna uzito wa CUF kukubali mgombea mwingine nje ta Prof. Lipumba.
Vv

....Nawashauri UKAWA mambo mawili. La kwanza,kuwakata Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Dr. Wibrod Peter Slaa katika orodha ya wanaotaka ugombea. La pili, wamsimamishe Tundu Antipas Mughwai Lissu kupeperusha bendera UKAWA....
Natamani kuona mpambano wa Lissu Vs Magufuli.
Yoyote atakayeshinda serikali ijayo itakuwa na vionjo vipya. Labda itokee tu.
Naunga mkono hoja.
CUF wameshatoa msimamo wao mchakato wa kumchagua rais itakaewakilisha ukawa usifanyike mpaka cuf watakapokaa kikao chao cha ndani tarehe 25 July.
Toka kuwa msemaji wa CCM hadi kuwa msemaji wa CUF; tutaona rangi zote
Wamsimamishe Lissu au Mbatia kama wanania ya dhati ya kuikomboa hii inchi waweke maslahi kando.
Adui yako muombee njaa poleni sana
Nadhani mgogoro wao sio nani (mtu) asimamishwe, bali ni CHAMA gani kitoe mgombea wa uRais. Kuna faida nyingi za chama kusimamisha mgombea na inabidi hapa kila chama kiache ubinafsi na kukubali kupoteza sehemu flani
Hao wote ni wabinafsi kwanini wasiweke ubinafsi pembeni wakania pamoja ka kweli wana nia ya dhati ya kupambana na chama tawala.Nadhani mgogoro wao sio nani (mtu) asimamishwe, bali ni CHAMA gani kitoe mgombea wa uRais. Kuna faida nyingi za chama kusimamisha mgombea na inabidi hapa kila chama kiache ubinafsi na kukubali kupoteza sehemu flani
Utaratibu wa Lumumba kutuchagulia marais umesababisha tunaugulia machungu.
Utaratibu wa UKAWA haukuhusu.
Kama unataka wakatwe ili mpumue na Pombe yenu umebugi Pombe ni kwa ajili ya walevi tu si zaidi. Mmethibitisha ulevi wenu wa kila kitu
Nimecheka mbaya jombaaaa...Kafulila teeenaaaHawa wanaofikiriwa bado wana kesi mahakamani.
UKAWA wasije wakakosea wakapendekeza yeyote mwenye kesi maana watalia kilio cha mbwa pindi kesi za wagombea wao zitakapoamuliwa na wa kuchukua fomu utakuwa umekwisha.
Labda wampe Kafulila.