Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,246
- 4,755
Sure! ts about time waamue kufanya maamuzi kwa ajili ya wananchi wanaowawakikilisha na sio kuleta uvyama hasa kwa chadema, wakishikilia kua wao ndio wenye nguvu na lazima mgombea atoke kwao huu umoja haufiki kokote na vyama kama NLD huko they have nothing to loose kwa mvunjiko huo ila Chadema itakua kana kwamba wanauthibitishia umma kua lengo lao ni chadema kuingilia ikulu na sio kuleta mabadiliko ambayo watanzania wanayataka na wanategemea kupata kutoka umoja huo..
Lazima tuwe na ufaham mpana zaidi ya kuhua lengi la chama chochote cha siasa ni kushika dola. Haukuna lengo lingine. Hivyo katika muungani huu wa ukawa (ambao sio chama) ni lazi.a yawepo makubaliano chanya kwa washirika wote juu ya kupata wagombea katka nafasi za uongozi basipo kukifuta chama kingine, ndio maana maafikiano yanachukua muda mrefu kwa kuzingatia hayo hapo juu.
Huwezi eti ukamuweka Mbatia au Makaidi kugombea nafasi ya urais kisa tu eti kunetralize migongano kati ya cuf na chadema! Tambua pia kuwa kunaugum kwa katiba hii.
Mfano, iwapo watamsimamisha Prof. Lipumba lazima Makamu atoke zanziba kwa maana either awe mwanachama wa chedema, nccr au Nld. Swali ni je kunapresidential figure kutoka makundi hayo kwa zanziba?
Na hata ikisemekana agombee Dr. Slaa lazima makamu atoke Zanziba lets say Juma Duni haji. Huyu atalazimishwa kikatiba achukue kadi ya chadema!
Haya mambo ni magumu ndio maana watu wenye akilo zao wamejifungia ndani mpaka sasa kupata muafaka wa jambo hili.
Na sio kulaumu tu kuwa eti Dr. Slaa anang'ng'ania au Prof. Lipumba analazimisha awe mgombea kwa mwamvuli wa ukawa. Tujifunze kuona jambo kwa lenzi ya tatu sio kusukumwa na matamanio ya nafsi zetu.