Kuiponya UKAWA, hawa lazima wakatwe

Kuiponya UKAWA, hawa lazima wakatwe

Mijitu ishakua mizee bado tuu inan'gan'gania kugombea, kaeni kando bhana muwapishe wengine.
 
Slaa anawazidi nini wengine mpaka uone anafaa zaidi kuliko lipumba

Wote wawili waliwahi kusimama mwaka 2010, Dr. Slaa alipata kura nyingi kuliko Prof. Lipumba. Hilo nalo linahitaji mjadala?

CUF ningewaelewa zaidi kama awamu hii wangemsimamisha mgombea tofauti na Prof. Lipumba, angalau kungekuwa na ugumu fulani, lkn matokeo ya 2010 baina ya Slaa na Lipumba hayahitaji mjadala. Namba/ takwimu sio siasa, takwimu hazidanganyi.

Vv

Vv
 
Niko pamoja.na wewe mkuu kama UKAWA wanataka mabadiliko ya kweli na angalau kukaribia mlango wa ikulu, wachague mmoja kati ya hawa wawili ingawa kwa upande wangu wangu turufu yangu naiweka kwa Mbatia zaidi yule bwana kwangu mimi ni president material
At least kwa Mbatia aisee sio Tundu lisu akagombee ubunge ili akipata arudi bungeni. Mbatia wakimuweka anafaa kabisa
 
Sioni hiyo kuwa ndio kigezo anaweza akapewa mgombea kutoka NLD kisha wana ukawa wote wampigie huyo hata kama hajawahi kugombea muda wa kuwa anawakilisha ukawa, au chadema mtakataa
 
At least kwa Mbatia aisee sio Tundu lisu akagombee ubunge ili akipata arudi bungeni. Mbatia wakimuweka anafaa kabisa

Sure! ts about time waamue kufanya maamuzi kwa ajili ya wananchi wanaowawakikilisha na sio kuleta uvyama hasa kwa chadema, wakishikilia kua wao ndio wenye nguvu na lazima mgombea atoke kwao huu umoja haufiki kokote na vyama kama NLD huko they have nothing to loose kwa mvunjiko huo ila Chadema itakua kana kwamba wanauthibitishia umma kua lengo lao ni chadema kuingilia ikulu na sio kuleta mabadiliko ambayo watanzania wanayataka na wanategemea kupata kutoka umoja huo..
 
Lipumba vs slaa????? Ukawa mna kazi sana, wote mnataka the same position
 
mkuu sisi huku ukawa refa hajapoteza kipenga wala kadi...anasaidiwa kwa ukaribu na washika vibendera....mchezo unaendelea vyema...hakuna kukatana mitama na mpaka sas hakuna hata mmoja aliyeonyeshwa kadi ya njano achilia mbali nyekundu...mchezo utakwisha salama
Kipindi cha ngapi sasa hivi mkuu?
 
VUTA-NKUVUTE figisu zinazoendelea ndani ya UKAWA sio kati ya mtu na mtu bali ni masrahi ya chama na chama plus uchumia tumbo!!
Tunaimani haya yote yatapita bila kukatwa mtu labda chama chenye uroho wa pesa.
Mkuu KISIMA upo? mimi nimekaa siti za mbele kabisa huku naangalia hii tamthiliya, ni ndefu na nzuri kwakweli japo muda mwingine inachosha.
Ila wamesema itaisha wiki ijayo acha tu nivumilie.
 
Niko pamoja.na wewe mkuu kama UKAWA wanataka mabadiliko ya kweli na angalau kukaribia mlango wa ikulu, wachague mmoja kati ya hawa wawili ingawa kwa upande wangu wangu turufu yangu naiweka kwa Mbatia zaidi yule bwana kwangu mimi ni president material[/UOTE]
Heshima yako mkuu LACUTE, for me, i think Tundu is a right person to compete with Dr. Magufuli. Prof Lipumba angepumzika tu japo kukata tamaa ni dhambi kubwa kwa mtu mwenye future.
 
VUTA-NKUVUTE

umelanga mle mle , hawa wote waliwahi kujalibu, ndani ya ukawa kunaitajika mtu kujaribu mara moja tu.
 
Last edited by a moderator:
Wakatwe kwa Masilahi ya Lumumba siyo?



Nawashauri UKAWA mambo mawili. La kwanza,kuwakata Prof. Ibrahim Haruna Lipumba na Dr. Wibrod Peter Slaa katika orodha ya wanaotaka ugombea.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

 
Back
Top Bottom