Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Naamini kabisa mwenyezi Mungu mwenye huruma na upendo haridhii hukumu na adhabu kama hizi baina yetu.
Hamna zaidi ya ule ubanafsi na kujipendelea tulio nao kila kiumbe tunapo msingizia mwenyezi Mungu kwamba ni matakwa yake.

Thamani ya maisha na uhali kwa kila kiumbe akiwepo mwanadamu ni kubwa mno kiliko thamani ya dini na imani.

Kisasi/adhabu ni cha Mungu mwenyewe. Sisi hatuna uwezo wa kumuhukumu mtu mwingine kwenye maswala ya imani. Mungu pekee ndiye anayejua moyoni mwako kuna nini. Haya mengine ni kujipa kazi isiyo kuhusu
 
Wee kweli ndiyo umedanganyika mazima.
Nani aliyekuambia uislam ni dini, ile ni mpango au chombo cha kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu. Ndiyo maana kutwa lucha mnaimba maluwe luwe kwa lugha yao ya kiarabu, majina lazima muitwe ya kiarabu, mavazi yenu lazima yawe ya kiarabu, majengo yenu ya ibada lazima yawe ya kiarabu, chakula chenu ndiyo maana lazima kiwe cha mahadhi ya kiarabu, muziki wenu wa kuabudu (kaswida) lazima iwe na miondoko ya waarabu.
Mengine, ibada yenu ya sanamu lazima mkaifanyie kwenye jiwe lililoko uarabuni, kitabu chenu kikuu cha uislam, kimeandikwa kwa kiarabu, nk nk Yaani nyie ni wahanga wa mfumo wa desturi na mila za kiarabu.
Umeongea ukweli ila hata Ukrisro ni hivyo hivyo. Kwa hio ukifanya decolonization of mind fanya kwa ujumla hata na wasio na dini kuna vitu wamepandikizwa.
Kurudi kuwa waafrika kuna kazi kubwa, wengi hawaani kuwa ni waaafrika.
 
😂😂😂 Kinachoufanya kuwa bora kuliko dini zengine au upagani ni nini fafanua,huko kukatana vichwa ndiyo dini ya haki?

Ukiona mtu anataja taja haki ujue kuna shida sehemu. Maana haki inaendana na wajibu. Wengi hawatimizi wajibu wao, lakini kudai haki ni wa kwanza. Lakini lingine pia si kila mtu anayedai haki anajua haki zake. Wengine hudai haki hata pasipo haki. Ndiyo maana Yesu alisisitiza upendo, ndiyo ambao humaliza kila kitu, yaani hata haki iko ndani ya upendo. Maana Yesu alisema, umpende Mungu wako kwa moyo wako wote, akili zako zote na nguvu zako zote. Pia mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe. Pia mtume mwingine anasema kama humpendi ndugu yako na huku ukidai kwamba unampenda Mungu wewe ni muongo. Kwa maana huwezi kumpenda Mungu ambaye hujamuona na kumchukia ndugu yako ambaye umemuona, Lingine Yesu alilisema, yale ambayo unataka watu wakufanyie, wafanyie wengine pia. Lakini yale ambayo hupendi wengine wakufanyie nawe usiwafanyie wengine. Unaona Yesu anatoa mambo yasiyo na ubinafsi, mambo ambayo ni sawa kwa wote. Siyo mambo kama ya Muhammad yaliyojaa ubinafsi, kama vile kutaja "haki". Haki ambayo mara nyingi kila mtu hutoa tafasiri yake
 
Kabla ya kwenda kuuawa unahubiriwa kwanza mauongo kuwa ukiwa mtulivu kwenye kunyongwa unapata thawabu kubwa na unaenda kupokelewa ahera bila shida.

Ila ukileta vurugu zako wakati wa kuuawa, utaenda motoni.

Na ukitoroka hicho kifinyo
 
Umeongea ukweli ila hata Ukrisro ni hivyo hivyo. Kwa hio ukifanya decolonization of mind fanya kwa ujumla hata na wasio na dini kuna vitu wamepandikizwa.
Kurudi kuwa waafrika kuna kazi kubwa, wengi hawaani kuwa ni waaafrika.

Ni sawa, lakini uislam ni janga la dunia. Kwa nini ulazimishwe kujifunza lugha ya kigeni ili ukubaliwe na allahu. kama siyonutapeli ni nini
 
Na ukitoroka hicho kifinyo
Udhibiti wake si wa kitoto, kutoroka siyo rahisi, labda utokee muujiza kama tunavyoonaga kwenye movie, huyo hang man auawe na mdunguaji kipindi ananyoosha jambia kukata shingo yako.

Ujanja hapo ni kuzuia kukamatwa, ukishakamatwa baba kusalimika ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano, lakini binadamu kusalimika ni muhali.
 
Be free achana na kupelekeshwa utaishia kumlisha askofu na mtume mwamposa.
Nani ananipelekesha ? Unanichukulia poa sana

Mimi sio fala wakupelekeshwa au kutapeliwa

Wengine wanaenda mecca kufanya matambiko na kuacha mabilion ya pesa
 
Dini ya kiarabu ya kijinga sana. Unalazimishwa kuabudu halafu kiama unapimiwa zambi. Kwa hio ukishachinjwa dhambi zimeisha?
Haya mambo huko huko uarabuni hapa Afrika marufuku na hayana nafasi na tuyakatae. Dini imewrka uhuru ufe na dhambi uchomwe moto, ukiikataa dini uchomwe moto siku ya kiama. Kwa nadharia hii kiama hakipo ni upuuzi mtupu wa kulazimisha tamaduni za kiarabu zitawale dhidi ya nyingine.
Katika kitu nakiona ndugu zangu waafrika kukumbania dini ya warabu mi kuendelea kuwa mtumwa wa kukuza uarabu.
Mwaka wa 5 sasa sijaenda msikitini na huo ujinga siutaki njoo unakate kichwa ili tutiane visu. Hakuna Mungu anaelazimisha bali hukumu ndio itakayo amua sio mtu.
Huwezi ingilia uhuru wangu, tutaelewana.
Ngoja kina Covax na Kikwajuni One akiongozana na Kisai

Wajue unapoishi waje na Jambia wakufyeke shingo maana umekuwa murtadi na kafiri


Mimi bhana nilipoacha uislamu walitaka kuleta uhuni wao eti ninyang'anywe nyumba ya baba yangu ,eti uende kwa MSIKITI

Iwapo mtu ataacha Uislamu (murtad), na asirudi kabla ya kufa, baadhi ya wanazuoni waliona mali yake inaweza kuchukuliwa na dola ya Kiislamu, na mara nyingine ikapelekwa kwenye Bayt al-Mal (hazina ya Waislamu) au kusaidia taasisi kama msikiti.
 
Nani ananipelekesha ? Unanichukulia poa sana

Mimi sio fala wakupelekeshwa au kutapeliwa

Wengine wanaenda mecca kufanya matambiko na kuacha mabilion ya pesa

Wanaenda maka kuabudu sanamu au jiwe na kutoa makafara.
Halafu kwenye ule umati hamna kuvaa boksa, halafu mnasongamana na wanawake huku mkigusa makalio yao, sasa mii hii msumari ikisimama itakuwajee, jamani mudi huko aliko mwache tu aendelee kula kipondo
 
Ngoja kina Covax na Kikwajuni One akiongozana na Kisai

Wajue unapoishi waje na Jambia wakufyeke shingo maana umekuwa murtadi na kafiri


Mimi bhana nilipoacha uislamu walitaka kuleta uhuni wao eti ninyang'anywe nyumba ya baba yangu ,eti uende kwa MSIKITI

Iwapo mtu ataacha Uislamu (murtad), na asirudi kabla ya kufa, baadhi ya wanazuoni waliona mali yake inaweza kuchukuliwa na dola ya Kiislamu, na mara nyingine ikapelekwa kwenye Bayt al-Mal (hazina ya Waislamu) au kusaidia taasisi kama msikiti.

Kumbe mudi kawafundisha utapeli wa hali ya juu. Sasa familia yako itarithi nini?
 

MAANA YA MURTADI


Murtadi ni mtu ambaye alikuwa Muislamu kwa hiari, kisha akaamua kutoka kwenye Uislamu kwa kauli au vitendo vya wazi.

ONYO:Hii video inatisha,Murtadi akichinjwa kwa jina la Allah

HADITH KUHUSU MURTADI

Hadith za Mtume Muhammad (S.A.W) zinaeleza kwa uwazi kuhusu adhabu ya mtu anayeacha dini ya Kiislamu.


Hadith kuu:


a)




Hadithi hii ni sahihi na ndiyo msingi wa hukumu ya kifo kwa murtadi katika fiqh ya Kiislamu. Inahusiana na mtu anayepinga waziwazi dini na kuchochea uasi au fitna.


b)
Imepokewa pia kuwa Mtume (S.A.W) aliwahi kutoa hukumu ya kifo kwa watu waliokuwa Waislamu kisha wakatenda ukafiri kwa makusudi na kujiunga na maadui wa Uislamu.

HUKUMU YA FIQH KUHUSU MURTADI


Wanazuoni wa Kiislamu (fuqaha) wamekubaliana kuwa:

  • Murtadi wa wazi (anayepinga na kuchochea): anapewa nafasi ya kutubu. Akikataa, anauliwa kwa amri ya kiongozi wa Kiislamu.
  • Murtadi wa ndani (asiyeleta fitna): baadhi ya wanazuoni wa kisasa wanapendekeza aachwe kwa Allah aendelee kuadhibu.

NCHI ZINAZOTEKELEZA HUKUMU HII


Sheria ya adhabu kwa murtadi kwa msingi wa Hadith hutekelezwa katika baadhi ya nchi zenye mfumo wa Shariah kama:

  • Saudi Arabia
  • Iran
  • Sudan
  • Afghanistan

Qur’an inazungumzia urtidad (kuacha Uislamu) kama kosa kubwa lenye athari za akhera. Hadith sahihi inatoa amri ya kifo kwa murtadi wa wazi. Hii ndiyo msingi unaotumiwa katika fiqh za baadhi ya madhehebu za Kiislamu.
Nilikuwa nasubiri aya sijaona Hata Moja hivyo hizo ni ngonjera hatujaanza kuchafuliwa leo
 
Acha tu yaani ,tulileteana shida sana ,uzuri Tanzania hakuna mahakama ya kadhi ,

Duu, huwa tunawaambia uislam nje ya ulimwengu wa kiarabu ni janga. Sasa ona mali ya baba yako, eti ipelekwe kwa msikiti. Shubamit,
sasa hapo si watasema haki bin haki haijatendeka kwa msikiti?

Kuhusu mahakama ya kadhi, wengi tukiwaambia uislam ni mpango/chombo cha kueneza desturi za kiarabu wanabisha, hawajui sharia law imejaa, mapokeo, amri, na mazingatio ya waarabu. Halafu ndiyo wanataka walete kwenye secular state kama yetu ambayo haifungamani na imani yoyote
 
Nilikuwa nasubiri aya sijaona Hata Moja hivyo hizo ni ngonjera hatujaanza kuchafuliwa leo
Hizo Hadith alizoweka ni za uongo?

Waislamu mkibanwa mansingizia hamtaki hadithi

Hao wanaochinja wenzao hapo Tena kwa jina la Allah unataka kusema hawaujui uislamu kuliko wewe waliyekuletea kwa jahazi ?
FB_IMG_1742568209309.jpg
 
Hizo Hadith alizoweka ni za uongo?

Waislamu mkibanwa mansingizia hamtaki hadithi

Hao wanaochinja wenzao hapo Tena kwa jina la Allah unataka kusema hawaujui uislamu kuliko wewe waliyekuletea kwa jahazi ?
View attachment 3333618

Duuu, hiidini ni zaidi ya ukafiri.
Uongo ili kuimarisha uislam. Sasa hapo hatujui mudi alidanganya kwa kiasi gasi. Isije kuwa hata hiyo ya mabikira 72 wa peponi ni swaga tu
 
Back
Top Bottom