Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Ingekuwa inatekelezeka Shomari Salum Kapombe angekuwa hana kichwa.
Tukiriudi kwenye mada biblia inasemaje kuhusu "wachawi " kama ile kesi maarufu ya Joan of Arc?
 
🤣🤣Eti injili ya Magdalene,hivi mudy aliwadanganya sana ee

Kama hujui historia ya Quran omba tukufundishe ,

Nitaleta mada naiandaa jinsi Roman Catholic wakishirikiana na Al Azhar University walivyotengeneza Quran ,nitaweka na ushahidi wakutosha ,
Yaani magdalena awe beneti na yesu hadi usiku asiwe na injili yake ila marko hamjui yesu awe nayo!?.. yesu aliiacha imani mikononi mwa marry magdalena,hata wanafunzi wakaona wivu kuwa anampa kipaumbele Maria magdalena kuliko wao,mfumo dume ukamtoa kwenye ramani na kuishepu imani yako watakavyo(da vinci code)

Nimekupa aya kukuonesha Quran ilivyoandikwa,porojo zako za vatican na azhar hazina mashiko ukitumia hata akili ndogo tu ya kuhesabu tarehe
 
Wanaenda maka kuabudu sanamu au jiwe na kutoa makafara.
Halafu kwenye ule umati hamna kuvaa boksa, halafu mnasongamana na wanawake huku mkigusa makalio yao, sasa mii hii msumari ikisimama itakuwajee, jamani mudi huko aliko mwache tu aendelee kula kipondo
Sharti hutakiwi kuvaa chochote zaidi ya kanzu ama?
 
Badala ya kujenga shule ama viwanda wanawajengea misikiti , hata viwanda hakuna.
Waza Traole wa Burkinabe amekataa misikiti 200 kujengwa nchini kwake. Yaani dini ni kirusi kikubwa mno kimlacho sema akiwemo humo humwambii Mana hawezi ona , yaani haamnbiliki na watu wanaambukizana chuki kuwa Hawa hawafai Mana wanamuabudu kwa njia isiyo sahihi Bali wao ndio walio kwenye njia sahihi utadhani waliambiwa. Na bado badala ya kukaa kimyaa wanaleta chuki Hadi ya kutaka kuwaua wengine na wanalazimisha wengine waifuate njia yao.
Umauti ukikufika ndio utaongea vizuri na itakua umeshachelewa. eti Badala ya kujenga shule ama viwanda wanawajengea misikiti. Hivi unajua unachokiongea? Hivyo viwanda vinamaana kuliko misikiti!! Pole sana.
 
Wewe na wenzako ndio wakuhurumiwa, chuki chuki mmejawa.

Bhujiku ng'waka
Huwezi jua how minds operate.
Yaani umeshaingiziwa kirusi kuja kutoka ni kazi n akiwezi kukutoka kamwe.
Waafrika Hawa jamaa wamefanikisha kutugawa ama kututawala kitamaduni
 
U
Umauti ukikufika ndio utaongea vizuri na itakua umeshachelewa. eti Badala ya kujenga shule ama viwanda wanawajengea misikiti. Hivi unajua unachokiongea? Hivyo viwanda vinamaana kuliko misikiti!! Pole sana.
Unaleta hofu ama unataka watu wafanye maamuzi kwa kukufuata hofu ya kufa.
Kifo kipo na kiliumbwa yaani viumbe hai wote watakufa.
Wakijenga misikiti hakuna kifo kwani.
Mnatawaliwa kwa kuingiziwa hofu ya kifo.
Kifo ama kuishi hata kuzaliwa sio kazi yako hujajiumba na hukujiamrisha kuja duniani
 
Masharti gani?
China si naskia nao wananyonga kama hawana akili vizuri, ukila rushwa,ukifanya ufisadi au ukikamatwa na madawa ya kulevya...au sio kweli, kasumba tu?

Kwa China hiyo ni sheria ya nchi yao. Siyo sheria ya dini yao ya Buddha. Hao waarabu wanatenda hayo kwa jina la allahu
 
Unamchinja mwenzako kweli ukiamini Mungu anapenda wewe ni madhambi mangapi amefanya ambayo hayaonekani na haujachijwa?Umeaua wenzako kwa siri,unazini na wake za wenzako,unalala kinyume na maumbile na wanawake kwa wanaume haya unafanya gizani na hakuna aliyekuchinja ila hadharani unatoa amri au kunyoosha upanga mwezako afe!Hii ni shida kubwa
Sana yaani binadamu ni wa ovyo sana
 
Usifananishe biblia na ujinga wenu

Wewe huzitambui hadithi haya tuambie swala tano na rakaa zake unazipata wapi

Huwa hawajielewi wanachofanya. Ukiwauliza kuweka ma loudspeakers kwenye paa za misikiti na kuanza kusumbua watu usiku wameitoa katika aya gani? Wanabaki kufanya ubishi tu. Ukiwauliza si mnasema kuruwan si haijaacha kitu wanabaki ooh Mars aaa. Wanabaki na kigugum8zi
 
Sawa, kwani mkitaja kwa kiswahili halafu ndani kwenu au msikitini mwenu, allahu wenu hasikii au haelewi?

Katika salaa huwezi tumia lugha tofauti na kiarabu, hata waliosilimu walifundishwa na wakaelewa. Uislam sio kama upagani, kwa maana ya ukristo, buddha n.k.

Na mpaka utakapokufa na kuzikwa hadi siku ya Qiyamah lugha itakayotumika huko ni kiarabu tu, hakuna english, kiswahili wala mama yake kiswahili. (Allahu a'lam)

kahtaan
 
Katika salaa huwezi tumia lugha tofauti na kiarabu, hata waliosilimu walifundishwa na wakaelewa. Uislam sio kama upagani, kwa maana ya ukristo, buddha n.k.

Na mpaka utakapokufa na kuzikwa hadi siku ya Qiyamah lugha itakayotumika huko ni kiarabu tu, hakuna english, kiswahili wala mama yake kiswahili. (Allahu a'lam)

kahtaan

Kitu ambacho muarabu alifanikiwa, kukariri lugha
 
Back
Top Bottom