Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Badala ya kujenga shule ama viwanda wanawajengea misikiti , hata viwanda hakuna.
Waza Traole wa Burkinabe amekataa misikiti 200 kujengwa nchini kwake. Yaani dini ni kirusi kikubwa mno kimlacho sema akiwemo humo humwambii Mana hawezi ona , yaani haamnbiliki na watu wanaambukizana chuki kuwa Hawa hawafai Mana wanamuabudu kwa njia isiyo sahihi Bali wao ndio walio kwenye njia sahihi utadhani waliambiwa. Na bado badala ya kukaa kimyaa wanaleta chuki Hadi ya kutaka kuwaua wengine na wanalazimisha wengine waifuate njia yao.
Na wanaosumbua kule Bokunafaso ni waislamu wenzetu. Terorist wanafashiliwa na France kuua waafrika wenzao wa dini moja.
Very sad.
 
Mimi namchukulia yeyote anayeamini hiyo dini kuwa ana upungufu flani wa akili.
Akiona umemchokoza kidogo tu hasa kwenye huo utamaduni wa Kiarabu, yuko tayari kujivika mabomu na kujilipua yeye na wewe, hata kama yeye sio Mwarabu:
Kuna nini tena hapo zaidi ya hamna kitu
Mkuu hata ukristo ni utamaduni wa wazungu na wayahudi. Mambo ni yale yale .
 
Ngoja kina Covax na Kikwajuni One akiongozana na Kisai

Wajue unapoishi waje na Jambia wakufyeke shingo maana umekuwa murtadi na kafiri


Mimi bhana nilipoacha uislamu walitaka kuleta uhuni wao eti ninyang'anywe nyumba ya baba yangu ,eti uende kwa MSIKITI

Iwapo mtu ataacha Uislamu (murtad), na asirudi kabla ya kufa, baadhi ya wanazuoni waliona mali yake inaweza kuchukuliwa na dola ya Kiislamu, na mara nyingine ikapelekwa kwenye Bayt al-Mal (hazina ya Waislamu) au kusaidia taasisi kama msikiti.
WAQFU MIRAD YA MASHEHE ILE. WANAGOMBEA MALI ZA KAREHEM KILA SIKU. Mie hata nIkizaa mtoto wa nje ya ndoa usia wangu arithi mali zangu kama wenzake.Hizo sheria zibaki Taliban hapa ni Afrifa lazina dini ifuate mila zangu, mungu atanihukumu huko ahera haina haja ya kuhukumiana duniani. Teha huenda akawa fair kulik9 tunavyotishana hapa duniani.
 
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"
 
Back
Top Bottom