Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Kuingia bure ,kutoka unaacha kichwa

Wee kweli ndiyo umedanganyika mazima.
Nani aliyekuambia uislam ni dini, ile ni mpango au chombo cha kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu. Ndiyo maana kutwa lucha mnaimba maluwe luwe kwa lugha yao ya kiarabu, majina lazima muitwe ya kiarabu, mavazi yenu lazima yawe ya kiarabu, majengo yenu ya ibada lazima yawe ya kiarabu, chakula chenu ndiyo maana lazima kiwe cha mahadhi ya kiarabu, muziki wenu wa kuabudu (kaswida) lazima iwe na miondoko ya waarabu.
Mengine, ibada yenu ya sanamu lazima mkaifanyie kwenye jiwe lililoko uarabuni, kitabu chenu kikuu cha uislam, kimeandikwa kwa kiarabu, nk nk Yaani nyie ni wahanga wa mfumo wa desturi na mila za kiarabu.

Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislam, kuisoma Qur’an ni raha sanaaaaa, kuongea kiarabu ni rahaaaa. Hakuna kama kiarabu.
 
Unaongopa sheikh

Kuwa mkweli tu
Hawa hawawezi kusema ukweli. Ni waongo sana. Maisha yao yapo hivyo.

Screenshot_2025-05-14-09-59-43-194_com.twitter.android.jpg
 

MAANA YA MURTADI


Murtadi ni mtu ambaye alikuwa Muislamu kwa hiari, kisha akaamua kutoka kwenye Uislamu kwa kauli au vitendo vya wazi.

ONYO:Hii video inatisha,Murtadi akichinjwa kwa jina la Allah

HADITH KUHUSU MURTADI

Hadith za Mtume Muhammad (S.A.W) zinaeleza kwa uwazi kuhusu adhabu ya mtu anayeacha dini ya Kiislamu.


Hadith kuu:


a)




Hadithi hii ni sahihi na ndiyo msingi wa hukumu ya kifo kwa murtadi katika fiqh ya Kiislamu. Inahusiana na mtu anayepinga waziwazi dini na kuchochea uasi au fitna.


b)
Imepokewa pia kuwa Mtume (S.A.W) aliwahi kutoa hukumu ya kifo kwa watu waliokuwa Waislamu kisha wakatenda ukafiri kwa makusudi na kujiunga na maadui wa Uislamu.

HUKUMU YA FIQH KUHUSU MURTADI


Wanazuoni wa Kiislamu (fuqaha) wamekubaliana kuwa:

  • Murtadi wa wazi (anayepinga na kuchochea): anapewa nafasi ya kutubu. Akikataa, anauliwa kwa amri ya kiongozi wa Kiislamu.
  • Murtadi wa ndani (asiyeleta fitna): baadhi ya wanazuoni wa kisasa wanapendekeza aachwe kwa Allah aendelee kuadhibu.

NCHI ZINAZOTEKELEZA HUKUMU HII


Sheria ya adhabu kwa murtadi kwa msingi wa Hadith hutekelezwa katika baadhi ya nchi zenye mfumo wa Shariah kama:

  • Saudi Arabia
  • Iran
  • Sudan
  • Afghanistan

Qur’an inazungumzia urtidad (kuacha Uislamu) kama kosa kubwa lenye athari za akhera. Hadith sahihi inatoa amri ya kifo kwa murtadi wa wazi. Hii ndiyo msingi unaotumiwa katika fiqh za baadhi ya madhehebu za Kiislamu.
Hebu weka aya ya Quran inayosema hivyo!?.. maana naona porojo tu
 
Hizo Hadith alizoweka ni za uongo?

Waislamu mkibanwa mansingizia hamtaki hadithi

Hao wanaochinja wenzao hapo Tena kwa jina la Allah unataka kusema hawaujui uislamu kuliko wewe waliyekuletea kwa jahazi ?
View attachment 3333618
Hakuna asiyeitaka hadithi utaratibu wetu weka aya kwanza hadithi ndio nyongeza yake Sasa wewe unatuwekea hadithi TU, andika hapa aya mtu akiritadi anachinjwa, halafu tuidadavue aya yenyewe kupitia Quran yenyewe kipindi aya inashuka mpaka hadithi
 
Uislamu ni kama sayansi eti, watu hawauchagui. Ina maana wazee wetu witishwa kuingia huko.
Mi sipendi sheria nyingi za kiislamu na mapkeo baadhi ni ya kukuza uarabu. Mfano kuaminishwa kanzu ni vazi takatifu wakati kanzu ni kitambaa tu kama kitambaa vingine na warabu walivaa hivyo hata kabla .uislam haujawepo. wahindi na wayahudi wote wanavaa.
Kusema kiarabu ndio lugha ya Mungu na qurani isisomwe kwa lugha zetu. Hii ni sheria isiyo na mashiko. Mungu hana lugha wala hana umbo kama letu. Hafanani na kitu cho chote vipi kugha ya warabu ifanane na ya Mungu ?
Ukianza kusema Mungu anaongea unamvisha umbo la binadamu. Hivyo itabidi umpe masikio na macho na akili.
Misikiti hakunaga kuuliza swali hivyo ukienda we sikilizaga tu hata kama kitu havi make sense.
Nahuzunika sana familia zetu za waswahili waliopokea dini na zimedumaa sana kuuchumi na maarifa, warabu wamedumaza sana ndugu zetu. Ni bora wakiristo huwa wanajadili jinsi dini ilivyowadumaza waislsmu wapo usingizini.
Badala ya kujenga shule ama viwanda wanawajengea misikiti , hata viwanda hakuna.
Waza Traole wa Burkinabe amekataa misikiti 200 kujengwa nchini kwake. Yaani dini ni kirusi kikubwa mno kimlacho sema akiwemo humo humwambii Mana hawezi ona , yaani haamnbiliki na watu wanaambukizana chuki kuwa Hawa hawafai Mana wanamuabudu kwa njia isiyo sahihi Bali wao ndio walio kwenye njia sahihi utadhani waliambiwa. Na bado badala ya kukaa kimyaa wanaleta chuki Hadi ya kutaka kuwaua wengine na wanalazimisha wengine waifuate njia yao.
 
Mimi namchukulia yeyote anayeamini hiyo dini kuwa ana upungufu flani wa akili.
Akiona umemchokoza kidogo tu hasa kwenye huo utamaduni wa Kiarabu, yuko tayari kujivika mabomu na kujilipua yeye na wewe, hata kama yeye sio Mwarabu:
Kuna nini tena hapo zaidi ya hamna kitu
 
Back
Top Bottom