Haaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Mimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
Utie kwenye bag?...yaan ukitaka teja afoke mpe storee za kuweka kwenye bag..analazimisha bahasha ya kakiUlikosea kukubali akuwekee kwenye bahasha...hapohapo ndo ulipoibiwa...akishakupa uikague mpe hela tia kwenye begi...huwa hawakubali kwanza mana anajua ushamuweza
HII KITU YA SABUNI ILINITOKEA NIKIWA FORM 5 NIKIWA NASOMA SEMINARY MOROGORO,NILITOROKA SEMINARY NIKASEPA ZANGU DAR,MCHANA WAKATI NAGEUZA NIKAPANDA BASI ZA ABOUD,NIKAKAA NA MTOTO MMOJA SHOMBE SHOMBE MKALI BALAA ILA HANA CHAPAAAKuuziwa sabuni ilitokea nikiwa Form 3 na jamaa angu aisee... Tulienda kununua Housing ya Nokia enzi hizoo ilikuwa unahit balaaa wee sasa tukavutiwa na simu ya tejaa yanii Tukajuaa tumewin jamaa akanipaa niishike me simu aliweka kwenye Bahashaa aisee tupo tushapanda gari nkasema ngoja niibonye bonye kidogoo... Japo sio Mimi nilitoa helaa ilaa nilihisi kulia japo nkaanza kucheka jamaa hakuamini...40000 kwa sabuni
Aisee hapo ulimuwezaaHaaahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
Mi juzi kati teja pale pale round about msimbazi akanionesha samsung kali kinoma anauza 30 elfu....huwaga nasikiaga zile storee zao za sabuni!
Nami nikamvuta pembeni nikatoa hela nikamwambia nipe hiyo simu hela hii hapa ( huku namshikisha mkononi
Akagoma eti mbona na haraka sana[emoji23] [emoji23] nisubiri ainfungie kwenye bahasha ya kaki coz wameiba dukani, nikamwambia nipe hivo mi napochi naidumbukiza fasta! Duuh teja likagoma akaanza kutukana na kufoka mara akanirushia hela angu[emoji15] [emoji15] ....nikajua huyu boya ntakuwa nimemkamata pabaya! Nikaokota mshiko wangu huku mateja mengine yanacheka huyoo nikasepa!
Aisee ulichezaa Kama Peleeee....HII KITU YA SABUNI ILINITOKEA NIKIWA FORM 5 NIKIWA NASOMA SEMINARY MOROGORO,NILITOROKA SEMINARY NIKASEPA ZANGU DAR,MCHANA WAKATI NAGEUZA NIKAPANDA BASI ZA ABOUD,NIKAKAA NA MTOTO MMOJA SHOMBE SHOMBE MKALI BALAA ILA HANA CHAPAAA
ILE NAENDELEA KUMDADISI JAMAA NAUGWADU WANGU TOKA SEMINARY SI AKATOKEA TEJA,TUKAFANYA BIASHARA KAMA KAWA,AKACHUKUA 40000 AKANIPA KIPANDE CHA SABABUNI
SEMA MLE UBUNGO NILISHAWAHI KUKAA MIEZ KAMA MINNE KWA MAZA MMOJA NIKIWA NAUZA GROCERY KIPINDI NASUBIRI MATOKEO YA FORM 4,KWA HIYO MASELA WOTE NIKAWA NAWAFAHAMU NA WAO WANANIFAHAMU SEMA YULE BOYA SIKUMFAHAMU
BAADA YA KUGUNDUA NIMEUZIWA KIPANDE CHA SOAP ILIBIDI NISHUKE KWENYE GARI NA KUMUACHA MTOTO MZURI AKIJUWA TUTASEPA WOTE MORO,NIKAENDA RIPOTI POLISI NAO WAKAZINGUA ETI HATUWEZI CHUKUA HATUA MAANA JAMAA HAWAJULIKANI,NIKASEMA POWA
NIKATAFUTA MASELA WANGU NIKAWAPA RIPOTI WAKASEMA TUPE DAKIKA 15 HELA YAKO ITARUDI
KUSIKILIZIA NIKAENDA BOOKING OFFICE NIKAOMBA WANIBADILISHIE TIKETI NIONDOKE NA BUS LITAKALOONDOKA BAADAE,KWELI WAKANIBADILISHIA
ILE GARI LINASEPA IKABIDI NIPANDE KUWAZUGA JAMAA KUWA NIMESEPA NA GARI ILE ILE KUMBE NIKASHUKIA GETINI NA NIKAINGIA ZANGU CHOONI NIKABADILI NGUO,NIKAINGIA TERMINAL NIKAANZA KUMSAKA JAMAA
KUMBE NAE ALIVYOMJINGA AKAJUWA NIMEONDOKA KWELI,SI AKAENDELEA NA BIASHARA YAKE YA KISABUNI NA KARANGA,MARA NIPO NYUMA YA BASI MOJA IVI NAMUONA YUPO MLANGONI ANAUZA KARANGA,AISEE NILIPOMUONA JASHO LILINITOKA KWANZA,NIKAITA MASELA WANGU KIMYA KIMYA NIKAWAAMBIA BOYA NISHAMUONA,ILE JAMAA ANAGEUZA SHINGO TU ANAKUTANA NA WABABE KAMA WATANO IVI WOTE TUMEMZUNGUKA,TUKAMWAMBIA UKIJARIBU KUKIMBIA TU KWENU TUNAPELEKA MZOGA WANAINCHI WENYE HASIRA WAMEFANYA YAO,IKABIDI ATULIE KAMA MAJI MTUNGINI,KILICHOTOKEA ALINYOOSHA MIKONO JUU,NIKAINGIZA MIKONO MFUKONI NIKAKOMBA HADI HELA ZA CHENJI ZA KARANGA,NILICHUKUA 40000 NA NYINGINE KAMA 20000 IVI ZA KWAKE NIKAWAPA MASELA
MIE HUYOOOO,NIKAINGIA KWENYE GARI ILISHAJAZA NA NIKASEPA ZANGU SEMINARINI
NILIJIONA BONGE LA STERING BALAAA
Haa ha ha...Au walitumia dawaaNakumbuka mwaka 2016 nimetoka zangu dar nimeenda musoma nikawa najigamba kwamba kama nimeshindwa kuibiwa mjini nitaibiwaje shamba hile kuja kutahamaki npo kwende daladala ya makoko sina simu sielewi niliibiwaje
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee eti Yeye...!! uliwawezaaMwaka 2017 nilikuwa mbeya kwa muda wa miezi miwili maeneo ya Mwakibete japo nilikuwa mgeni ila nilijitahidi sana kujua mji wa mbeya
Kuna vichochoro vingi sana mitaa ya kabwe na mwanjelwa sasa kuna siku usiku narud home nikakuta wadau kama 7 au 8 wapo njiani nkajua tu hawa ni vibaka basi nilipowakaribia jamaa wakanipiga tochi I kabuki nisimame, ghafla wakanizunguka kuchek huku na huku jamaa wanaambiana anza wewe anza wewe aise nilimlenga MTU mmoja tu nikampushi huko nikaanza kutimua mbio nashukuru nilifanikiwa kuwakimbia!
Niliporudi home nikasema hawa jamaa lazima niwatafutie dawa siku hiyo nitafuta mpira wa baskeli ile yakufungia mzigo nikachua kokoto kubwa hivi kama kilo 2 basi nikalifunga vizuri kabisa na ule mpira(mnati) hapo nikdibuka city pub kupoteza muda mida ya kurud nikaanza kutembea taratibu hapo nipo na silaha yangu huku nimevaa track ili niwe flexible basi nikawasoma jamaa wapo tena jamaa wakanikumbuka nikasikia wanasema "yeye" basi kama kawaida nikawa sina hofu afu wao wapo wengi zaidi kufika karibu yao wakanizunguka tena nikawambia" kama mko vizuri mniguse" basi jamaa wakakaa mbele na nyuma mmoja akanifata daah nilizungusha lile jiwe nikapiga jamaa hadi chini jamaa akalia "ANASILAHAAAAAAA" hapo nishapasua USO wote wengne wakakimbia hatariiii basi nikaendelea na safari yangu
Hii gahawa tena isiyo na sukarisas kuna huyo kibaka.. nimegombea gari... dirishani... huku gari inaenda... akajifanya mjanja kuchomoa pochi yangu.. nikamdaka mkono... hapo gari inaenda.. sijamuachia.... dereva akataka kusimama.. nikamwambia kanyaga baba... wee vuta wese... yule teja akaanza kuliaa nimuachie..... dereva nae kichwa kibovu anakanyaga mafuta tu.. nilimburuza kama mita 100 hivi.. nikamuachia.. gari ikasimama watu wakaenda kumchek.. mie sina habari nakagua vitambulisho vyangu kama bado vyote vipo
Hahahasas kuna huyo kibaka.. nimegombea gari... dirishani... huku gari inaenda... akajifanya mjanja kuchomoa pochi yangu.. nikamdaka mkono... hapo gari inaenda.. sijamuachia.... dereva akataka kusimama.. nikamwambia kanyaga baba... wee vuta wese... yule teja akaanza kuliaa nimuachie..... dereva nae kichwa kibovu anakanyaga mafuta tu.. nilimburuza kama mita 100 hivi.. nikamuachia.. gari ikasimama watu wakaenda kumchek.. mie sina habari nakagua vitambulisho vyangu kama bado vyote vipo
Shukuru hujakutana na wapiga nondo.Mwaka 2017 nilikuwa mbeya kwa muda wa miezi miwili maeneo ya Mwakibete japo nilikuwa mgeni ila nilijitahidi sana kujua mji wa mbeya
Kuna vichochoro vingi sana mitaa ya kabwe na mwanjelwa sasa kuna siku usiku narud home nikakuta wadau kama 7 au 8 wapo njiani nkajua tu hawa ni vibaka basi nilipowakaribia jamaa wakanipiga tochi I kabuki nisimame, ghafla wakanizunguka kuchek huku na huku jamaa wanaambiana anza wewe anza wewe aise nilimlenga MTU mmoja tu nikampushi huko nikaanza kutimua mbio nashukuru nilifanikiwa kuwakimbia!
Niliporudi home nikasema hawa jamaa lazima niwatafutie dawa siku hiyo nitafuta mpira wa baskeli ile yakufungia mzigo nikachua kokoto kubwa hivi kama kilo 2 basi nikalifunga vizuri kabisa na ule mpira(mnati) hapo nikdibuka city pub kupoteza muda mida ya kurud nikaanza kutembea taratibu hapo nipo na silaha yangu huku nimevaa track ili niwe flexible basi nikawasoma jamaa wapo tena jamaa wakanikumbuka nikasikia wanasema "yeye" basi kama kawaida nikawa sina hofu afu wao wapo wengi zaidi kufika karibu yao wakanizunguka tena nikawambia" kama mko vizuri mniguse" basi jamaa wakakaa mbele na nyuma mmoja akanifata daah nilizungusha lile jiwe nikapiga jamaa hadi chini jamaa akalia "ANASILAHAAAAAAA" hapo nishapasua USO wote wengne wakakimbia hatariiii basi nikaendelea na safari yangu
Niliporudi kuwapa stori masela,walinipa wali chakula adimu kipindi hicho kama sahani 2 iviAisee ulichezaa Kama Peleeee....
Mkuu nilijiona mzembe sana kuzinguliwa na vibaka..siku ya kwanza ile[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee eti Yeye...!! uliwawezaa
Haaaaa mkuu nilijipanga vizuri, wapga nondo wapo mitaa ya airport ya zaman na forest but ukiwa time unawatoaShukuru hujakutana na wapiga nondo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee uliumbukaa japo kweli uliibiwa daahMi nlikuwa natoka chanika naelekea K/koo,,tulikuwa tumebanana sana kweny daladala nilikuwa na wallet ina elfu 30 za vifaa nimeagizwa, kila mda nikawa najigusa mfukon wallet ipo gari inaenda bugurun nkaona nishuke banana nakaribia kushuka kujicheki wallet bado ipo,, raaah haula ile nmeshuka kujisach tena hamna kitu,,nikasema hata kama mm ni mwanaume wa dar ili sikubalian nalo nikaanza kuikimbilia gari ipo kwny foren konda akaniona akafungua mlango nikaingia nahema kama Jibwa koko,,,
Nikaanza kuwaambia jamaan habiria nimeibiwa humu so gar ashuki mtu had kituo cha police watuu wakaaanza zengwee ooooh dogo acha ufala utatuchelewesha kuna mdada akawa upande wangu anasapoti gar iende police nikaanza kupata nguvu mzee baba,,nikamwambia dereva usipoenda kituon vitu vyangu utalipa ww,,,,baaas bhana chombo ikabid iingizwe airport police pale watu wakaanza kusachiwa na police lakin sikupata chochote,, nakumbuka yule mdada alinipa 2000/=
Nagombania vizuri za kwenda kwetu upanga. Tena niko vizuri naingia kama panyaMuhindi unagombania daladala[emoji15] [emoji15]