PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.

Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais.

Wananchi tutachukua nchi yetu #D9
 
Back
Top Bottom