Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

Yani mkuu hata mimi waga najiuliza kitu kama hiki, maana kuna ndugu yangu alipatwa na matatizo na akawa anatafuta mtu/chungaji wa dhehebu lolote bila kujali itikadi amwombee (Imani ilioje). Hakuna mafanikio hadi hii leo na majibu yaliyopatikana ni kwamba ndugu yangu hakuwa na imani thabit!! Kusema kweli kuna kitu kimejificha hapa!!
huna imani,
ndicho kichaka wanachojificha!!!
 
Jaman enyi watu mnaotoa hoja zisizo na muelekeo ktk mada husika ni bora mkanyamaza mana mnakufuru na ni jambo ambalo mtajalijutia si mbali ila pale utakapoanza kutokwa na roho kisha ukafahamishwa ktk yale uliyokuwa ukikufuru.Jiangalie utakuwa ktk adhabu ya namna gani pale utakapokuwa ktk mahakama ya mwenyezi mungu,ukiwa mshishtakiwa wa kuikashifu dini ya mwenyezi mungu yan yy mwenyez mungu na mtume wake.Haya yote yanatokana na hila za watu wa magharib wanaojarib kuupoteza ukweli wa mwenyez kwa kupitia filam zao kama walivyopotezwa wale wengine hata wakatengenewa sura ya yesu hali tunafaham hakuna aijuaye sura yake ila kwa mawazo yao leo anajulikana.Mtaona ni kawaida ila bado kidogo mtafahamishwa ktk yale mliyokuwa mkikashifu.Toen ushahid na sio unaleta kisa tu umeona ktk filam za kukashfu dini ya mwenyez mungu na ww unabebeshwa pumba tu yan kama zoba vile unaanza kupayuka bila kufiki walikuwa na lengo gani na je ni kweli wayasemayo ama ni chuki tu.
 
Kuna kitu kinanitia shaka kuhusu huu
unaoitwa uponyaji..
Kwanini watu wanaoombewa na kupona ni hawa tunawaona kwenye TV tu?
Toka umezaliwa umewahi kuona kipofu au kilema unayemfahamu akaombewa na kupona? Kwanini zinabaki hadithi tu, ukiwa Songea
utasikia watu wakisema "kuna kilema
Mwanza aliombewa akapona"...ukienda
Mwanza nako utasikia, kuna mtu Arusha
alipona...
Hatuchezewi akili kweli hapa?

Im just thinking!!!!

Mchezo wote umetengenezwa kuwachota watu kisaikolojia.

Naweza kusema kama una kiugonjwa kinachohitaji resilience tu kupona, kuombewa kunaweza kukusaidia kupona kwa "placebo effect", hii ishafanyiwa majaribio ya kisayansi. Wanaposema "imani yako itakuponya" this is a scientific truth when it comes to these fortnightly blues and flus.

Lakini mtu ana m kansa wake upo stage ya tatu sijui, au kilema cha nguvu physically, uniambie kaombewa kapona?

Yeah, right.
 
Babu wa Loli.....mbona ckuizi kikombe hakiponyi?Kibwetela wa Ugand nae vp?Not only Mbona Mch.Z.Kako...mbona cku izi graph imeshuka?Hata Mama Rwa...waumini hawamiminiki kama vle mwanzo?infact kwakwelii kila mtu atabeba mzigo,actualy ofcourse wataendelea kuliwa kutunisha matumbo ya wengne na kuwajazia Wallet zao.Anisamehe aliye Juu kama mawazo yangu yanawakwaza.
 
shida inakuja pale ambapo sisi binadamu tunataka vitu rahisi rahisi tu bila kuangaika, makanisa mengi yanaubiri mafanikio tu ayataki kuchambua bibilia na kuelezea, mimi naamini wako wanaopona lakini sio kwenye hayo makanisa yanayo jipromote kwenye TV kwa hapa bongo. kingine uwezi kutumia mfano mmoja tu wa uyo ndugu yangu na kugeneralize kwamba manabii wote ni waongo..

I can attest to that. Yes, manabii wote ni waongo. Hakuna hata mmoja wao anayeponyesha watu, ile yote ni michezo ya kuigiza tu kama vile bongo movies au sinema za kihindi. Yaani inakuwa ni vitu vilishapangwa toka kitambo then wanakuja kwenye TV kupotosha umma.
 
Kinachoendelea ni usanii mtupu ambao matapeli wengi wanautumia kupata utajiri na umaarufu. Hawa kimsingi hawana tofauti na wafanya mazingaombwe au wasanii kama akina JK. Wanachofanya ni kutumia ujinga wa watu wetu kutengeneza pesa. Kwa wanaokumbuka yule mchunaji wa Kenya aitwaye Michael Njoroge. Kwa uhakika zaidi angalia video hii. ..
Kuna kitu kinanitia shaka kuhusu huu
unaoitwa uponyaji..
Kwanini watu wanaoombewa na kupona ni hawa tunawaona kwenye TV tu?
Toka umezaliwa umewahi kuona kipofu au kilema unayemfahamu akaombewa na kupona? Kwanini zinabaki hadithi tu, ukiwa Songea
utasikia watu wakisema "kuna kilema
Mwanza aliombewa akapona"...ukienda
Mwanza nako utasikia, kuna mtu Arusha
alipona...
Hatuchezewi akili kweli hapa?

Im just thinking!!!!
 
Last edited by a moderator:

Imani inaponya! Hata "positive thinking" inaleta uponyaji kwa baadhi ya watu. Binafsi naamini kama mtu anaamini akifanya kitu fulani atapona inaweza kutokea hivyo. After all, kwenye uponyaji ni Mungu ndiye anayeponya na hivyo kama amewaponya walioomba hata kama wanasali kwa Mzee wa Upako, Mwingila au Mchungaji Rwakare, shida ni nini? Kama tunaamini mtu akitumia dawa fulani anaweza kupona (na si wote wanaopona pia) kwa nini tusiamini wengine wanapona kwa imani yao.
 
mkuu kuna unaowafahamu miongoni mwao? Au na wewe unasikia tu?
 
Nadhani kilicho bora ni imani yako mwenyewe bila kuangalia mwenzako anafanya nini, kama huamini unachokiona kwa mwenzio just keep silent and do your own business.
 
UjasiriAmali (Ukwapuaji mali) hauna kikomo!
kufa maskini Bongo ni chaguo lako wewe!
 
Juzi niliona kipindi cha uponyaji cha anayejiita nabii Malisa, akasema sasa ntawaita viziwi waje niwaombee,wakapita kibao, akamuuliza mmoja ikawa hivi:
malisa: wewe ni kiziwi
jamaa: ndio
malisa:kwa muda gani sasa?
Jamaa: miaka miwili
malisa:unataka kupona?
Jamaa: ndio
malisa akamuwekea mkono kichwani na kumuombea kisha akasema tayari.
Nikasema kama ni movie hawakujipanga, kiziwi anaulizwa maswali anajibu bila hata kuonyesha kama anashida katika usikivu wake

duu! watu bado awajashtuka
 
Uwongo wa kwanza ni hao watu kujiita MANABII sasa hata kama jamaa kasema manabii wote ni waongo hajakosea!
Usiangalie output angalia kwanza input ndio utoe conclusion mkuu sawasawa na mtu anaepeleka madai polisi kadhulumiwa Marijuana kilo 5 anasahau kwamba kabla hajatendewa kosa yeye mwenyewe alishafanya kosa Mkuu!

Tatizo la kwanza kabisa ni UNABII !! Hapo tu !
 
hata haya yananihusu mkuu, kwanini usanii ufanyike waziwazi [refer post inayomhusu anayejiita nabii Malisa], then unataka tubaki kimya kwa kisingizio cha "tufanye yanayotuhusu?"

Mambo ya rohoni hujulikana kwa warohoni, nakushauri ingia rohoni, hojiana na Roho Mtakatifu kuhusu uhalali wa matendo yanayofanywa na watumishi wake.Mafunzo atakayokupa njoo utushuhudie hapa JF.Ukishindwa anzisha ministry yako ili kuwashughulikia watumishi wa Mungu ambao wewe huwaamini!! Ila kamwe Moto wa injili na miujiza ya Yesu kupitia watumishi wake haitazimwa kwa comment za hapa JF bali zinaichochea.
 
Jaman enyi watu mnaotoa
hoja zisizo na muelekeo ktk mada husika ni bora mkanyamaza mana
mnakufuru na ni jambo ambalo mtajalijutia si mbali ila pale utakapoanza
kutokwa na roho kisha ukafahamishwa ktk yale uliyokuwa
ukikufuru.Jiangalie utakuwa ktk adhabu ya namna gani pale utakapokuwa
ktk mahakama ya mwenyezi mungu,ukiwa mshishtakiwa wa kuikashifu dini ya
mwenyezi mungu yan yy mwenyez mungu na mtume wake.Haya yote yanatokana
na hila za watu wa magharib wanaojarib kuupoteza ukweli wa mwenyez kwa
kupitia filam zao kama walivyopotezwa wale wengine hata wakatengenewa
sura ya yesu hali tunafaham hakuna aijuaye sura yake ila kwa mawazo yao
leo anajulikana.Mtaona ni kawaida ila bado kidogo mtafahamishwa ktk yale
mliyokuwa mkikashifu.Toen ushahid na sio unaleta kisa tu umeona ktk
filam za kukashfu dini ya mwenyez mungu na ww unabebeshwa pumba tu yan
kama zoba vile unaanza kupayuka bila kufiki walikuwa na lengo gani na je
ni kweli wayasemayo ama ni chuki tu.
Kaka umeelewa mada? maana cjajua wapi upo/unachangia, hauja changanya mafaili?
 
Nowadays fake healings are everywhere!hao wanaojifanya wagonjwa si kwel kwmb wagonjwa ila wana-act!cha msingi wew shika amri kumi za Mungu,timiza mapenzi ya Mungu yote na kama wew ni tajiri basi uza mali zako zote na uwagawie maskini,hii ndo njia peke e ya kuuona ufalme wa Mungu!
 
Mchezo wote umetengenezwa kuwachota watu kisaikolojia.

Naweza kusema kama una kiugonjwa kinachohitaji resilience tu kupona, kuombewa kunaweza kukusaidia kupona kwa "placebo effect", hii ishafanyiwa majaribio ya kisayansi. Wanaposema "imani yako itakuponya" this is a scientific truth when it comes to these fortnightly blues and flus.

Lakini mtu ana m kansa wake upo stage ya tatu sijui, au kilema cha nguvu physically, uniambie kaombewa kapona?

Yeah, right.

Mkuu, binafsi kwa utafiti mdogo nilioufanya katika maeneo mengi niliyopita, niligundua asilimia "kubwa" ya watu wanaoitukana kazi ya Mungu na watumishi wake, ni watu ambao wako mbali sana na imani, wala hawana urafiki wowote na bible wala kanisa.Tena huchochea habari za kusikia kutoka kwa watu ambao wao pia ni kama wao.Na swali langu kubwa ambalo siku zote huwauliza nikiwakuta kwenye kampeni zao za kumkufuru Mungu na mtumishi wake fulani au fulani huwauliza hivi; Je, Wewe/Ninyi mnadhani mtumishi au dhehebu unalo/mnaloamini kuwa ni la kweli ni lipi au ni yupi?? Kwakweli hawa watu huonesha dhahiri kuwa hawaamini chochote katika matendo ya Mungu akiwatumia watumishi wake.Sijui kama nawe ni mmoja kati ya watu wa kundi hili.Kwa wasomaji wa Bible wazuri, waombaji na waendaji wazuri wa ibadani huwa hawana hoja dhaifu kama hii, kwa sababu bible huwa imeweka wazi kila tukio au swali ambalo linasumbua vichwa vyenu.Mfano sababu za mtu kuombewa akapa ta au akakosa muujiza ziko wazi, na iko wazi kuwa Nabii au mtumishi yeyote yule si mtenda miujiza bali ni mpeleka maombi kwa Mungu ili Mungu mwenyewe atende muujiza, na Mungu asipotenda haibadilishi cheo chake wala cha Mtumishi wake!! SOMA BIBLIA,HUDHURIA IBADANI NA OMBA SANA, ROHO MTAKATIFU ATAKUFUNDISHA KITU.
 
Kwa nini niamini mungu wa biblia?
 
Mambo ya rohoni
hujulikana kwa warohoni, nakushauri ingia rohoni, hojiana na Roho
Mtakatifu kuhusu uhalali wa matendo yanayofanywa na watumishi
wake.Mafunzo atakayokupa njoo utushuhudie hapa JF.Ukishindwa anzisha
ministry yako ili kuwashughulikia watumishi wa Mungu ambao wewe
huwaamini!! Ila kamwe Moto wa injili na miujiza ya Yesu kupitia
watumishi wake haitazimwa kwa comment za hapa JF bali
zinaichochea.
Tusiendekeze ububusa mpaka tukaacha kuona ukweli, njia km hizi ndizo walitumia wakoloni kutawala watu. Ndio maana wazungu wengi walitupa hata kanisa kutokana na kuona wanapelekeshwa kibubusa.
 
Back
Top Bottom