Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

Sio majungu. mchukue bubu yoyote ama kiwete ambaye unamfahamu tangu zamani, mpeleke kwa waombezi km mzee wa Upako ama Rwakatare au yoyote anaedai kuwaponya watu hao. Akiweza kuombewa na kutembea ama kuongea tafadhali tuletee ushahidi hapa
Jf

Kwa nini usimchukue mmoja ukampeleka ili uprove kama ni kweli au uongo? Nna uhakika siku utakayompeleka wewe mwenyewe utatolewa mapepo zaidi ya saba huku ukigalagala chini kama mwenye kifafa. Usicheze na Mungu wa Waebrania wewe!!
 
Njia nzuri ya kuelewa hili ni mpaka wewe yakukute ukatafute msaada kwa hao unaowaita wanaponya kwenye TV afu uje utushuhudie hapa!Otherwise hata akitokea nduguyo amepona hutaamini!
 
mi hawa wanaojiita manabii na watume sijui wanatumia vigezo vp? hivi hii dunia tuliyonayo kunabinadamu anafafa na mitume na manabii waliopita?kama kweli wanaombea na kupona mbona vipofu,viziwi wpo wengi mashuleni kwa nini wasiende mashuleni mwao wapige maombi mpaka wapone hata kama sio wote watakaopona maana hawacheliwi kukuambia huna iman kuna wenye iman watapona na watu watashudia na kuweka ushuhuda wa kweli.kuna nabii alikuja singida kuna baba mmoja ni bubu wa kuzaliwa na ni kilema alifanyiwa maombi hakupona na kila watumishi wapokuja huwa anaenda na ana iman ya kweli kwa kumuangalia mbona haponi?

Hivi kwa nini siku moja nsiwakaribishe hao wahubiri waje kwenye misikiti yenu muone Yesu atakavyowakanyaga mashetani humo ndani!! Nna uhakika wote wanaomuabudu Allah wanahitaji msaada mkubwa sana kabla hawajafa.

Natamani siku moja afufuke shehe mmoja maarufu sana halafu atuambie alikuwa wapi, hamtaamini macho yenu, with all the efforts ndio unaishia kule!!
 
Ndugu zangu hata mimi nilikuwa na mawazo na kejeli kama za akina 'Englibertm' na 'The Boss' Lakini siku yangu ilipofika kweli nilijua kuwa YESU NI BWANA NA HABADILIKI.YESU aliyeponya watu waliogusa pindo za nguo yake,Hata leo anaponya.YESU aliyeponya kupitia kivuli cha mtume wake hata leo anafanya.REDIO & TV zinaponya kwa walio na imani,nilipata uponyaji kupitia praise power radio usiku wa manane. Kwa ufupi mambo ya Mungu ni kwa NEEMA yake tu na si kwa kuwa great thinker.
 
Back
Top Bottom