Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,017
- 1,154
Hawa Mitume na manabii wanaombea maumivu ya vichwa, Miguu tumbo, kitu physical kama upofu, Ulemavu wa viungo you will never hear
Ushahidi tafadhali,hayo ya kwenye TV ni mazingaombwe a.k.a akadakadabla,wajinga ndio walio ,kwa ulimwengu wa sasa bado mpo mnaoamini kuwa watu wanaponywa kwa miujiza au kuombewa,muangalieni babu wa loliondo mlivyomtajirisha ,siku hizi kawa kijana,na anamiliki mimali ambayo hata hao walioenda shule ni ndoto kumiliki,na bado yule askofu mkuu Laizer alivyotengeneza fweza kwa kushirikiana na tapeli babu,Acheni majungu watu wanapona kweli
Vilema wangapi waliombewa na Mtume wa Allah wakapona? Je, Allah alipo mwombea Mtume wake, kuna ushaidi wowote kuwa yule Mtume alipona? Astaghafurillah. Achenu kusema vitu ambayo Allah wa Islam vilimshinda alipo jaribu kumwombea kipenzi chake na kufa kifo cha aibu cha kulishwa sumu na yule DADA WA KIYAHUDI.
Topiki ni uponya na si kosa tukifahamu kama Allah anaweza kuponya either kupitia ushaidi wa Koran au Masheh/Imams. So far, kupitia Koran inaonekana Allah alishindwa kumponya Slave and Servant wake. Nilipo angalia Sahih Hadeeth, nikakuta yule Mtume anaomba kila kukicha lakini Allah hakumsikia, at the end, akafa kifo cha aibu sana, cha kulishwa ile Nyama ya Sumu na yule DADA Brave wa Kiyahudi.
Sasa, mnapo zungumzia uponyaji, kwanini tusiangalie pande zote mbili za coin na tuone kama madai yule demigod ya "allah is all powerful" ni ya kweli.
Why follow a weak cacoideity who couldn't heal his sole prophet?
Ushahidi tafadhali,hayo ya kwenye TV ni mazingaombwe a.k.a akadakadabla,wajinga ndio walio ,kwa ulimwengu wa sasa bado mpo mnaoamini kuwa watu wanaponywa kwa miujiza au kuombewa,muangalieni babu wa loliondo mlivyomtajirisha ,siku hizi kawa kijana,na anamiliki mimali ambayo hata hao walioenda shule ni ndoto kumiliki,na bado yule askofu mkuu Laizer alivyotengeneza fweza kwa kushirikiana na tapeli babu,
Watu tunakuwa wagumu kuamini kupitia Bible ndio maana wajanja kama babu wa loliondo na hawa manabii feki wanatupiga mchanga kila leo. wako wanaopokea uponyaji kweli na wako wanao tumika tu, ni wewe kusoma, kuelewa na kuamini kupitia bible.. hakuna short cut!
umesahau kuwa biblia imetumika kumtangaza yesu na matendo yake, ungemfahamu vipi bila kutangaziwa habari zake?kuna ulazima wa wao kujitangaza kwa matv?Mbona Yesu mwenyewe alikua anawakataza watu aliowaponya kuwa wasitangaze habari kuhusu uponyaji huo?Msalipo msiwe kama wanafiki...endelea
We fanya linalokuhusu, kazi ya kuhukumu mwachie Mungu, yy ndiye anajua nani wake na nani si wake.
Manabiii wote ni wasanii wa bongo movies. In short, wanafanya mazingaombwe ya kuwafunga macho watu huku wakiwala live live. Mchungaji anamiliki magari ya kifahari na anaishi kwenye jumba la kifahari kwa hela za waumini wake na waumini wanaona poa tu. Miaka 5 iliyopita baba yetu mdogo alipoteza 800,000 kwa Kakobe. Anasumbuliwa na maradhi ya kupohoza, Kakobe akamwambia alete 800,000 atamtibia...wapi, mpaka leo mzee wa watu yuko hoi huku kijana Kakobe akichekelea bafuni.
shida inakuja pale ambapo sisi binadamu tunataka vitu rahisi rahisi tu bila kuangaika, makanisa mengi yanaubiri mafanikio tu ayataki kuchambua bibilia na kuelezea, mimi naamini wako wanaopona lakini sio kwenye hayo makanisa yanayo jipromote kwenye TV kwa hapa bongo. kingine uwezi kutumia mfano mmoja tu wa uyo ndugu yangu na kugeneralize kwamba manabii wote ni waongo..
Kuna kitu kinanitia shaka kuhusu huu
unaoitwa uponyaji..
Kwanini watu wanaoombewa na kupona ni hawa tunawaona kwenye TV tu?
Toka umezaliwa umewahi kuona kipofu au kilema unayemfahamu akaombewa na kupona? Kwanini zinabaki hadithi tu, ukiwa Songea
utasikia watu wakisema "kuna kilema
Mwanza aliombewa akapona"...ukienda
Mwanza nako utasikia, kuna mtu Arusha
alipona...
Hatuchezewi akili kweli hapa?
Im just thinking!!!!