Kuhusu Rais kutumia lugha ya Kiingereza

Kuhusu Rais kutumia lugha ya Kiingereza

tofauti ya huyo mviet na magufuli ni kuwa,mvietnam katiba yao inatambua kievtanam kama lugha rasmi ya taifa,uku magufuli katiba ya 1977,inatambua lugha 2,english and kiswahili!sasa hapo unaongea nini?hajui kiingeleza,fullstop!
Katiba inatambua vyote hivyo kaamua kuchagua lugha moja au ulitaka atumie zote? Basi achape kiswanglish
 
ila mikataba minono minono yenye ten percent kubwa kubwa,mnapo iandika na hao ngozi nyeupe mnaiandika kwa kiingeleza!nyie zungukeni tu,inshort,magufuli aende english course,kama lugha za kibantu anaweza karibu kumi,atashindwa kimombo?
Kwani China na Nchi zingine mikataba wakampelekea Rais kuisoma? Huko GERMAN na ufaransa mikataba wanaandikianaje? Rais akitaka mikataba itafasiriliwe wataitafasiri tu, hata hivyo Kingereza cha mikataba Magufuli anakijua vizuri japo si lazima ajue Kingereza .
 
Chamsingi kama ujumbe ulieleweka kwa tafsiri ya wasaidizi wake sio tatizo. Far East, English ni tatizo kubwa, sehemu pekee unaweza kuongea lugha hiyo na wenyeji wengi ni Hong Kong na Singapore (Kwa uzoefu wangu), mataifa mengi ya kule yanaamini katika lugha yao.
Mkuu Hongkong kiingereza pia ni shida kama hapa kwetu tu,nimekaa Chung king,Monkok,wanchai na nimetembelea steshen za sub pamoja na airpot hongkong,ukiachilia mbali madukani ambako ndiko vidada vya ki-malaysia,Indonesia na vichache vya hongkong ndiyo huzungumza kiingereza fasaha,lakini sehemu kubwa hawajui kiingereza.
Niliwahi kuhangaika katika vihotel(vi apartments )kuzungumza lugha ya kiyumwa(kikoloni) na watu wengi tena ndiyo wamiliki wa vihoteli hivyo,ngeli hawajui.
 
Kwani China na Nchi zingine mikataba wakampelekea Rais kuisoma? Huko GERMAN na ufaransa mikataba wanaandikianaje? Rais akitaka mikataba itafasiriliwe wataitafasiri tu, hata hivyo Kingereza cha mikataba Magufuli anakijua vizuri japo si lazima ajue Kingereza .
achana na hizo nchi nyingine,tuongelee tanzania!umesema kiingeleza cha mikataba anakijua?unajua lugha na uandishi wa mikaba umejaa na umekaa kisheria sheria!sasa kama anafahamu lugha ya mikaba ilikuwaje akishindwa kuuelewa mkataba wa uvuvi kati wachina na jmt?mpaka tukalipa mabillioni ya shillingi?kama iko kdogo kilimshinda,vikubwa ataweza?
 
Tunapaswa kujifunza kupenda,kuthamini na kutumia vyetu,sio lugha tuu! Uzalendo unaanza kwa kufurahia chako na kukiboresha zaid.
Habari ya kujadili kiingreza ni tabia ya kish..nz
zile Nchi zinazounda umoja wa kifalume UK United Kingdom Yaani Ireland ,Wales, Scotland , nk zenyewe zina lugha zao licha ya kuwa chini ya malikia Anayezungumza Kingereza , lakini viongozi wao hutumia lugha zao pindi waendapo popote.
 
Mkuu Hongkong kiingereza pia ni shida kama hapa kwetu tu,nimekaa Chung king,Monkok,wanchai na nimetembelea steshen za sub pamoja na airpot hongkong,ukiachilia mbali madukani ambako ndiko vidada vya ki-malaysia,Indonesia na vichache vya hongkong ndiyo huzungumza kiingereza fasaha,lakini sehemu kubwa hawajui kiingereza.
Niliwahi kuhangaika katika vihotel(vi apartments )kuzungumza lugha ya kiyumwa(kikoloni) na watu wengi tena ndiyo wamiliki wa vihoteli hivyo,ngeli hawajui.
mkuu nakuunga mkono Kwa 100% hata hapo hapo airport ya HONGKONG kuna baadhi ya wafanyakazi hawajui Kingereza kabsa mitaani ni shida zaidi kwenye nafuu ni kule kwenye visiwa vya wazungu walipokaa wakoloni pia Jiji la makau .
 
mkuu,nipe mfano wa nchi mojawapo juu ambayo huongea lugha yake ya asili?na pia hiyo ya asili inaitwaje?
 
mkuu nakuunga mkono Kwa 100% hata hapo hapo airport ya HONGKONG kuna baadhi ya wafanyakazi hawajui Kingereza kabsa mitaani ni shida zaidi kwenye nafuu ni kule kwenye visiwa vya wazungu walipokaa wakoloni pia Jiji la makau .
Hawa hawaitaji kujua kingereza sababu awa ombi ombi-sawa wewe nenda kwa Cameroun ukaombe msaada kwa Kiswahili-ataona kama unamdhalilisha
 
mkuu nakuunga mkono Kwa 100% hata hapo hapo airport ya HONGKONG kuna baadhi ya wafanyakazi hawajui Kingereza kabsa mitaani ni shida zaidi kwenye nafuu ni kule kwenye visiwa vya wazungu walipokaa wakoloni pia Jiji la makau .
uko sahihi,kwa mkasa huu najua kama rafiki ni mwanachama wa JF atajua mimi ni nani.
Siku moja nikiwa airport nilipewa laptop aina ya apple ambayo nikujankujua aina baada ya kuisahau katika kuchek mizigo na nilishaingia ndani ya ndege ya QUATAR AIRWAYS,dk chache kabla ya kuanza safari nikakumbuka ile laptop sikupandanayao,kwani nilipewa hapo hapo airport muda mfupi kabla ya kuanza ukaguzi.
Hivyo haikuwa kichwani sana,nikiwa ndegeni,nikakumbuka sikuibeba, nikaomba msaada wa crew ili niipate,yeye akasema nimpate mfanyakazi wa airpot kwanza ili asaidie kurudi kwenye eneo la ukaguzi,hapo ndipo nilipojua kizungu si lugha inayofahamika na wengi HONGKONG,Nilihangaika sana kwa wafanyakazi wa airpot kila mmoja anakuonyesha kwa ishara kuwa hajui kizungu,ni kwa msaada wa yule yule crew baada ya kumpata mwenzie mchina ndo ikawa rahisi.
 
Inashangaza sana kuona Tanzania ambayo ndio chimbuko la Kiswahili na zaidi sana kuwa lugha ya saba ulimwenguni,Lugha ya pili Afrika kuzungumzwa baada ya kiarabu bado tunajadili lugha ambayo wanapaswa kutumia viongozi wetu.Ingependeza sana kama katika awamu hii ya tano ya JPM kitumike kiswahili bila kuhangaika na kiingereza kwenye hafla kama mtoa mada alivyojaribu kutuonyesha.Hii ni fursa kwa waliobobea kwenye kiswahili ili waanze ukalimani katika mikutano na hafla kama hizo.Hizi kasumba za kulazimisha kiingereza kutumika eti kwa kuwa kiingereza ndio lugha ya ulimwengu imepitwa na wakati.
Mkuu kwa nyumbu wa pale ufipani kwao hiyo ni kiki ya kutokea
 
English ni official language tz na masomo yetu yapo hivyo.Kenya wapo juu soko la ajira kwa sababu ya english .Iga wachina na warusi utizame utavyo anguka kiuchumi .Hizo nchi zimeimarika kiuchumi hatuwez kuiga mtaala wao ni lugha zao mwanzo mwisho.Suala la JPM na lugha sina hakika kua anajiribu kutukuza lugha au inampiga chenga .Ila nachojua ni msomi wa phd itakua anaelewa tu
 
English is the most popular language in Vietnam afterVietnamese, and in the cities, even when you try to communicate in Vietnamese, the local younger people will just respond to you in English.
We muongo bana mbona hawa wavietnam wa halotel wengi kiluga tu kizungu ni shidaa
 
Mkuu Hongkong kiingereza pia ni shida kama hapa kwetu tu,nimekaa Chung king,Monkok,wanchai na nimetembelea steshen za sub pamoja na airpot hongkong,ukiachilia mbali madukani ambako ndiko vidada vya ki-malaysia,Indonesia na vichache vya hongkong ndiyo huzungumza kiingereza fasaha,lakini sehemu kubwa hawajui kiingereza.
Niliwahi kuhangaika katika vihotel(vi apartments )kuzungumza lugha ya kiyumwa(kikoloni) na watu wengi tena ndiyo wamiliki wa vihoteli hivyo,ngeli hawajui.

Basi mi nilikuwa na bahati kidogo kwa wale niliokuwa nao wengi walikuwa wanaongea vizuri tu, nilikuwa pale Chung
 
Back
Top Bottom