Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
Mbona Rais wa Vietnam hatumii English?? Why Magufuli then???
By the way watanzania takribani asilimia 90 hawajui lugha ya Queen. Hivyo kuongea lugha hiyo ni kutokuwatendea haki kwa kuwanyima habari.
Queen Esther
By the way watanzania takribani asilimia 90 hawajui lugha ya Queen. Hivyo kuongea lugha hiyo ni kutokuwatendea haki kwa kuwanyima habari.
Queen Esther
Mtatafuta kila kigezo kuhalalisha ungumbaru wetu wa kiingereza, lakini suala la kujifunza kiingereza fasaha halina mjadala. Na hasa kwa rais wetu.