Halafu kumbe ni mlipa kodi mzuri...mwambie akienda kwa baba mapato yatapungua, akomae tu!Ndio tunajuana kabisa kabisa, hata ulabu tunapiga naye
😀😀😀😀😀Halafu kumbe ni mlipa kodi mzuri...mwambie akienda kwa baba mapato yatapungua, akomae tu!
Kwa hiyo unaangalia kwenye ID yake? hebu angalia mkuu halafu uweke hapa sikirini shotiMi simu yangu haina paswed mtu akiiokota akiingia JF atajua id yangu na ataona pm yangu ya kumuomba ukuwi anikopeshe elfu 30.
Worse ni kwamba hata kwa contacts nimemsave ukuwi hivyo anaweza akaamua kudeal naye huyu huyu.
Tufanye tucheki last time ya kulog in ni saa ngapi na sms zimeanza kuja saa ngapi.
HahahahahaaHalafu kumbe ni mlipa kodi mzuri...mwambie akienda kwa baba mapato yatapungua, akomae tu!
Wanajf habarini za asubuhi.
Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.
Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.
Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.
1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.
Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF
Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
banaTupiamo basi ka screenshot
Dah! sipati picha hapo unavyofurukuta!Niko kibaruani mkuu wangu.
mmh!Scenario yangu inapata nguvu
View attachment 891519
Jamaa last seen ni saa 10:34 leo.
NAHUJA kama scenario yangu ni ya hovyo huyu mtu anakuwasilishia hisia fulani kazi ni kwako kung'amua.
Kama huwa unapiga ulabu utakuwa ni dada mzuri!Ndio tunajuana kabisa kabisa, hata ulabu tunapiga naye
😂Niliogopa kuwasilisha huu utashi nikahisi nimewaza hivi peke yangu.I am assuming wewe ni wa KIKE.
I am also assuming kuwa yeye ni wa KIUME.
Kama ndivyo, na hamna UNDUGU wowote ni urafiki tu, tena wa kupitia JF..USIENDE KWAKE. #ushauriTU
Kweli mkuu atafanya ripoti ya watoza ushuru iwe mbaya.. Tukomae tu hakuna namna..Hahahahahaa
His last seen...Scenario yangu inapata nguvu
View attachment 891519
Jamaa last seen ni saa 10:34 leo.
NAHUJA kama scenario yangu ni ya hovyo huyu mtu anakuwasilishia hisia fulani kazi ni kwako kung'amua.
Mbona wewe ulikuwa unaendaga kwa Evelyn Salt mkuu?I am assuming wewe ni wa KIKE.
I am also assuming kuwa yeye ni wa KIUME.
Kama ndivyo, na hamna UNDUGU wowote ni urafiki tu, tena wa kupitia JF..USIENDE KWAKE. #ushauriTU
Huyo mhaya kanywa rubisi imepanda kichwani, mtishie mwambie Iddi Amini anakuja ataacha masiharaMkuu yani unajua hadi ananitisha. Nimemuuliza swali, kuwa anavuta bangi? akanijibu kwa kifupi kuwa hata South Africa inaruhusiwa. yaani hadi muda ninavyotaipu hii comment bado sms zinaendelea kuingia za kuwaaga wanaJF!!