Pole sana mkuu kwa yote yaliyokupataNAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
mmh! mie naogopa. ila anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF kuwa anakwenda kwa baba mbinguni
Ashukuriwe Muumba kuwa unaendelea vizuri. Ila siku nyingine usiage haraka maana unaweza kusababisha taharuki kwa wakupendaoNAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Ugua pole mkuu.Binafsi nimefurahi kuona unaendelea vizuri.NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Angalia usije ukawa unachat na Ziraili.Ashukuriwe Muumba kuwa unaendelea vizuri. Ila siku nyingine usiage haraka maana unaweza kusababisha taharuki kwa wakupendao
Kwanini wewe na demu wako NAHUJA mlipanga kuwarusha roho wajukuu zangu hapa jamvini?NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Ahsante sana!Ashukuriwe Muumba kuwa unaendelea vizuri. Ila siku nyingine usiage haraka maana unaweza kusababisha taharuki kwa wakupendao
Mkuu simu ni nyenzo tu ya mawasiliano halali!Hongereni kupeana namba za simu,
NAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Ukiwa unaumwa, ukabaki ndani peke yako ... kuna hali fulani inakujia kuwa lolote laweza kutokea.Pole sana mkuu kwa yote yaliyokupata
Ilikuwa serious sana? Maana kwa maelezo ulikuwa unaaga kuwa unaenda kwa Baba kwa maana rahisi ulikuwa unakikaribia kifo kwanini ulifikiria hivyo?
Kama nilikukwaza naomba unisamehe + wengine waliokwazika ... ila kiukweli hali ilikuwa mbaya!Majibu mepesi sana HAYA!
Ahsante! kwa msaada wa Bwana limeshindwa!Roha ya kukata tamaa....pepo la mauti tukemee vikali kumuachilia
dah pole sana mkuu nikawa nawaza kiongozi ka vile ulikuwa umechoka kuwa nasi, mungu ni mwemaNAHUJA .... ahsante sana kwa kuwajuza ndugu wa JF kuhusu kuhumwa ...
Mlionitakia pole, nawashukuru sana mlikuwa sawa!
Mliopost kwa namna mlivyoona - ni vyema na haki!
Mlionijulia hali hata kwa simu - ahsante sana!
Naendelea vyema japo maumivu bado yanasumbua.
Wanaoogopa kufahamiana JF wachunguze mienendo yao; kwangu mimi nafurahi kuongeza marafiki kila iitwayo leo kuliko kuongeza maadui.
Kuishi ndani ya mioyo ya watu ni pamoja na kuwasiliana nao hata kama wakiwa mbali na upeo wa macho yako.
Kama nilikukwaza naomba unisamehe + wengine waliokwazika ... ila kiukweli hali ilikuwa mbaya!
mtu anayekufa hana makeke hivyo.Wanajf habarini za asubuhi.
Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.
Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu, akaandika tena sms akisema nisimpigie ila nitume sms kwa kuwa anaumwa sana kichwa na kwamba amezuiliwa kuongea na simu kwa muda wa siku 90.
Lakini sasa kitu ambacho sijamuelewa ni hizi sms zake ambazo ambazo alinitumia kwa mfululizo, Hapa nitazinukuu.
1.Wajulishe wanaJF, unisaidie kuwaaga
2.Waage kabisa, taarifa zingine mtapata kwa redio na TV
3. Waambie tuonane ulimwengu wa roho
Nikamuuliza swali, ina maana hutaingia tena JF? akanijibu:
4. Nitaingiaje wakati naenda kwa baba? Nasikitika kuondoka...
5. Najisikia kuhama ulimwenguni kuna sehemu nyingine nzuri zaidi
6. Vipi mbona unaguna? Pole kwa kunipoteza.
Na bado hadi muda huu anaendelea kunitumia sms za kuwaaga wana JF
Nimeona tu niweke huu uzi hapa maana, simuelewi huyu member kwa haya anayonitumia kwenye sms.
Ningekuwa simjui nisingemwita hivyo. Wewe na yeye wote mnapaswa kuniamkia...Umri wetu (Tutor B + NAHUJA) ... kwanza tutake radhi ...
Unamuita demu?????
Ok back to your post ....
Ilikuwa taarifa ya kweli tu mkuu sio kuwarusha watu roho!