Kuhusu mtandao wa BOL

Kuhusu mtandao wa BOL

Sasa wadau hizi habari za kuchanganya mara BOL mara Smart, mara ni moja mara ni tofauti; hamuoni kwamba hawa jamaa hawajajipanga na information za tofauti inapelekea watu tuwaone kwamba ni wababaishaji ?

Au wadau mnasemaje

bol ndio smart. full stop
 
Bol is now Smart. Wamepost kwenye page yao ya fb leo
 
Attachments

  • 1395472006455.jpg
    1395472006455.jpg
    59 KB · Views: 157
Wakuu kama kuna mtu ametumia USB MODEM ya D-Link naomba anijuze utendaji wake wa kazi kuna sehemu nimeziona. Ninayo Huawei e153 ila imeshindikana kuiunlock.
hujaamua tu mkuu kuiunlock..

tafuta uzi humu unaelezea namna ya kuiunlock
 
Mwanza ofisi zao zipo wapi nikanunue kesho
Kama unanunua hili upate kasi ya net kama mdau anavyosema hapo juu, ukifanikiwa njoo utoe ushuhuda sababu mimi imegoma hata kwenye universal modem, anyway labda matatizo ni yangu usisahau kuleta feedback
 
Ndo maana naulizia ofisi zilipo alafu nami ntatoa ushuhuda wangu wala usijali kwa hilo
 
Mwanza ofisi zao zipo wapi nikanunue kesho

nilikutana nao makoroboi ila nikawadadisi wakasema ofisi wanazikarabati na wataanza mwisho wa mwezi huu (hao jamaa ni wageni mwanza hawakuweza kunielekeza eneo exactly zaidi ya kunipa direction)
 
Ndo maana naulizia ofisi zilipo alafu nami ntatoa ushuhuda wangu wala usijali kwa hilo
Sehemu nyingi mikoani bado hawana ofisi piga hii namba 0798798798
ni ofisi yao ya Dar watakupa namba ya wakala sehemu ulipo utawasiliana nae kwa simu akuletee line

Nilinunua laini ya BOL kwa mbwembwe na bashsha kkoo. Nikaweka na kifurushi cha tshs 20000. Nilipofika tazara tu, hakuna network. Hovyo kabisa
 
Bora wewe mimi nilinunua na kuweka bundle la buku kumi baada ya kuona mdau hapo juu anatesa na modem yake nikajaribu kuchakachua modem..... wapi, nikanunua na universal modem kwa elfu 50 kujaribu zaidi lakini wapi, nikampa mdau mmoja line mwenye Tecno ili atumie... wapi..., duh sina hata hamu nao hawa jamaa
 
nahisi we KeyserSoze sio mjanja... ukiona network haipo... nenda kwenda settings search network manually itakuja mitandao kadhaa ikiwemo Tritel au ule wenye namba namba pamoja na mingine kama voda tigo etc... chagua tritel au km upo huo wa namba basi chagua huo and you are good to go... mie km wenzangu wameweza uwa nahisi kuna kitu nimekosea kwa iwa sikubali mpk niweze
 
Last edited by a moderator:

Nilitoka kariakoo laini iko kwenye simu, mtandao full. Nilipofika maeneo ya TAZaRA tu, nikapata no network. Sio kwa habari za ujanja ujanja. Nikiwa Gongo la mboto nikajaribu kusearch manually, hakuna kitu.
 
settings za wapi mkuu nimejaribu kila kitu kwa kuanzia kutumia join air na kuweka settings zile za *99# hakuna signal nikaweka zile modem safaricom zilizofunguliwa hakuna signal nikanunua universal modem ingawa signal ipo ila connection inakuwa na mgogoro nikaweka edge kama mdau alivyosuggest bado mambo yale yale nikatafuta modem universal nyingine hspda modem stick ingawa signal inaonyesha lakini matatizo; in short hii kitu ina matatizo mkuu hakuna cha ujanja wala nini kaka mpaka sasa sijaona mdau mwingine anayefurahia hio kasi zaida ya mleta uzi na ninashauri kama watu wataendelea kununua wapate kasi ya kama mdau aliyosema na hawapati abadilishe topic sababu hii inaweza kuwamislead watu wakaingia gharama
 
Last edited by a moderator:
Nilitoka kariakoo laini iko kwenye simu, mtandao full. Nilipofika maeneo ya TAZaRA tu, nikapata no network. Sio kwa habari za ujanja ujanja. Nikiwa Gongo la mboto nikajaribu kusearch manually, hakuna kitu.
Hii kitu mpaka sasa aliyepata speed kama ya mdau hapo juu aliyosema ni yeye tu.., hakuna mwingine kwahio tunaweza tukasema huu mtandao the jury is still out
 
out of dar kuna 3g na dar kuna 2g tu hata ungeipata ingekua bure tu. ukishaelewa hii statsement hutaendelea na ubishani mwengine maana sidhani kama kuna mtu dar atatoa 20,000 kununua net ya 2g.
 
Nimejaribu nikiwa Mwanza mjini kama mdau alivyokuwa Mwanza.., Kwenye simu inafanya kazi ila kwenye modem ni majanga na kuna wadau hapo juu nimeona wamejaribu wakiwa Arusha..., sasa mpaka tutakapopata Data tofauti kutoka kwa watu walipo sehemu tofauti the jury is still out
 
uko sehemu gani hapa tanzania?
 
sasa wadau hizi habari za kuchanganya mara bol mara smart, mara ni moja mara ni tofauti; hamuoni kwamba hawa jamaa hawajajipanga na information za tofauti inapelekea watu tuwaone kwamba ni wababaishaji ?

Au wadau mnasemaje

nimefuatilia nimekuta ni mtandao mmoja......
 
mkuu c6 ww unatumia modem gan? Mm huawei e303 no network
 
Back
Top Bottom