Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
We hujui unaongea kitu gani, embu tazama hii picha.
Picha hatuoni
We hujui unaongea kitu gani, embu tazama hii picha.
Picha hatuoni
Duuh!We sijui umetoka wapi maana hauna logic unabaki kucheka kidada eti "teh teh teh"
Baada ya kujaribu unlocked modem kama mbili bila kupata signal nikajaribu na ile unlocked ya safaricom.., pia hakuna signal, nikajaribu universal modem ambapo nikapata signal ila speed ya kinyonga..., nimeamua kuachana nayo. In short am not impressed at all. Nadhani hii line itagua inachagua sana modem sababu hata hizi line ukiweka kwenye simu ya kawaida na sio smartphone hata signal hupati. In short kwangu hawa jamaa the jury is still out na inabidi wajitahidi sana kama wapo serious na wanataka kuteka soko.Feedback muhimu kaka
Baada ya kujaribu unlocked modem kama mbili bila kupata signal nikajaribu na ile unlocked ya safaricom.., pia hakuna signal, nikajaribu universal modem ambapo nikapata signal ila speed ya kinyonga..., nimeamua kuachana nayo. In short am not impressed at all. Nadhani hii line itagua inachagua sana modem sababu hata hizi line ukiweka kwenye simu ya kawaida na sio smartphone hata signal hupati. In short kwangu hawa jamaa the jury is still out na inabidi wajitahidi sana kama wapo serious na wanataka kuteka soko.
Anyway nimerudi kwenye kununua bundle zangu za aina mbili..., nachukua bundle la bei rahisi la kutumia mchana kwenye mambo madogo madogo..., na kama nataka ku-download usiku baada ya saa tatu naweka TTCL Banjuka ya 650 unlimited kwa saa..., in that time nakuwa nimefanya jambo la maana
Nadhani kwa Bundles nyingine hawana sana tofauti na wengine kwa bei:-Kaka hii nimeipenda kuhusu ttcl. Unaweza kutupa na bei za bundle zingine za ttcl?
Nadhani inategemea sehemu ulipo kama signal yao ipo poa, nadhani mijini pote wana signal nzuri alafu ni unlimited kweli kwa hilo saa na speed ni nzuri unaweza hata uka-stream bila shida.09:00 PM � 06:00 AM 650.0
hapo ni unlimited kweeeeli au ndo kuna time na data caps ndugu yangu maana inaanza kunivutia.. na pia line ya ttcl naweza kuipata na kuitumia katika unlocked modem???
sidhani kama wamerudi ngangari, bado wanausanii
Mwanza na arusha si ni mikoani mkuu au sijui mikoani ni wapi?
hii lugha ya mikoani sijui imetokea wapi yani siipendi
dar sio mkoa
nahisi hawa ni kwamba hawana 3g kabisa mana hapo una roam tu kuna signal ya mtandao mwingine wenye 3g inaelekea unatumia mana kwa Dar kuna mda ukitumia zantel kwa 3g kama signal ipo ovyo unakuta ina roam kwa airtelBaada ya kukumbwa na majanga mfululizo kwa kweli sasa imekuwa ni balaa tupu, internet imekuwa ya kuunga unga sasa leo nikiwa katikati ya mitaa ya mwanza mjini nimekutana na vijana wamevaa tisheti wanapromote huu mtandao basi nikanunua ili nijiunge maana walisema wanatoa unlimited internet....
nimefika ghetto nimeweka line kwa kweli iko na spidi ya kuridhisha atleast kwa kuanzia sina malalamiko, ila kwa wenyeji wa huu mtandao tupeni tathmini yenu hasa amabo mko dar vipi huu mtandao unapiga kazi ama tuendelee kusubiri
![]()
Sasa hv wanaitwa SMART! Jamaa wamerudi vizuri (unaweza refer to makampuni yote ya AKFED). Wana ofa za kufa mtu ... ndio habari ya mjini kwa sasa!
Mkuu napata wasiwasi na maelezo yako maana nimetumia kupiga na kupokea simu. Nimetumia kwenye simu na modem
![]()
Mkuu una-uhakika na unachokisema ?, Nadhani kwenye issue kama hii mtu kutumia fedha zake ni bora tukiwa na uhakika kabla hatujamshauri mtu ikawa ndivyo sivyoSasa hv wanaitwa SMART! Jamaa wamerudi vizuri (unaweza refer to makampuni yote ya AKFED). Wana ofa za kufa mtu ... ndio habari ya mjini kwa sasa!
Baada ya kukumbwa na majanga mfululizo kwa kweli sasa imekuwa ni balaa tupu, internet imekuwa ya kuunga unga sasa leo nikiwa katikati ya mitaa ya mwanza mjini nimekutana na vijana wamevaa tisheti wanapromote huu mtandao basi nikanunua ili nijiunge maana walisema wanatoa unlimited internet....
nimefika ghetto nimeweka line kwa kweli iko na spidi ya kuridhisha atleast kwa kuanzia sina malalamiko, ila kwa wenyeji wa huu mtandao tupeni tathmini yenu hasa amabo mko dar vipi huu mtandao unapiga kazi ama tuendelee kusubiri
![]()
dar sio mkoa