UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 508
Huz hii namba ya 079... Si ndio wale waliokuwa wanatafuta jina... "www.giveusaname.net"???
wamepataa jina wanajiita smart
Huz hii namba ya 079... Si ndio wale waliokuwa wanatafuta jina... "www.giveusaname.net"???
Mkuu hebu tuwekane sawa... hawa jamaa Give Us A Name - Africa bado ukienda huko na site yao ipo; BOL former known as Benson Online website yao ni hii hapa BOL Mobile na humo ndani sijaona anything to do with SMART, called smart or even being smartwamepataa jina wanajiita smart
wamepataa jina wanajiita smart
nahisi hawa ni kwamba hawana 3g kabisa mana hapo una roam tu kuna signal ya mtandao mwingine wenye 3g inaelekea unatumia mana kwa Dar kuna mda ukitumia zantel kwa 3g kama signal ipo ovyo unakuta ina roam kwa airtel
Mkuu hebu tuwekane sawa... hawa jamaa Give Us A Name - Africa bado ukienda huko na site yao ipo; BOL former known as Benson Online website yao ni hii hapa BOL Mobile na humo ndani sijaona anything to do with SMART, called smart or even being smart
Sasa hio Smart inaingia vipi baina ya hayo makampuni tajwa hapo juu ?
Nakushukuru....soma status kwenye whatsapp
dar sio mkoa
Hawa watu ni wababaishaji is all I can say...nilivyoona hii thread nikaenda ofisini kwao jamaa wakaniambia wanabadili jina wanatafuta jina zuri zaidi. kwa sasa wanaitwa 60048 ambazo ni kama frequency tu. sina uhakika kama washapata jina.
pia wanasema dar hawataeka 3g ila soon wanatoa 4g nao ili kujitofautisha na makampuni makubwa.
viwango wataongeza ila wateja wa sasa wataendelea kukatwa hela hii hii hadi vifurush vyao vitakapoisha.
wale risk taker mda ni wenu huu kununua vifurush vya mwaka.
ni nini?
dar nchi km zanzibar
Hawa watu ni wababaishaji is all I can say...
- Kuna mtu alipita ofisini kwangu akasema waitwa BOL na ni mtandao mpya (although niliwahi kuwajua walivyokuwa Benson Online) na akasema mtandao huu ni kwa ajili ya smartphones peke yake
- Sasa mdau hapo juu alivyosema imeweza kufanya kazi kwenye modem nikanunua line na kuijaribu kwenye universal modem ikagoma, ingawa kwenye smartphone yangu Nokia ilifanya kazi, nikampa mdau mwenye tecno haikufanya kazi, ingawa wapo wadau wanayoitumia na nadhani ukiweka 5000 kila mwezi au wiki sikumbuki unapata unlimited free calls ila ni between saa 12 jioni to saa 12 asubuhi (hii ndio wasambasaji wanatumia kama their selling point)
- Sasa hili suala la majina na wewe umeniongezea 60048...
Ila binafsi bado sina uhakika kama 60048; Smart na BOL ni one and the same thing
Hiyo kwelinikujibu hilo suala la baadhi ya modem kutokamata signal na simu za kichina hususan tecno pia kutokamata. nakujibu kwa hypothesis yangu tu
kaka unapozungumzia 3g kuna frequency nyingi hivyo ili simu iwe ready kupokea mtandao wowote inabidi isuport frequency zote.
kuna frequency kama
-850
-900
-1700
-1900
-2100
kati ya hizi frequency 2100 ndio maarufu inatumika kote tigo, voda na airtel pamoja na modem zao.
sasa inapokuja mtandao mpya kama bol then usitumie 2100 ukatumia frequency nyengine ndio hapo utapoona tofauti.
mi ninayo line yao na inafanya kazi kwenye simu yangu fresh sababu simu yangu inasuport multiple frequency.
ila simu za kichina na modem zina 2100 tu na bol hawana.
Smart telecom ni mtandao mpyaaaaa tofauti na BOL wao wapo chini ya agha khan .... $
Wanakuja na 76 per call hataree sana unaongea masaa 100 kwa 76 Tshs... Andaeni vi generator vya kuchajia simu
''nilichoambiwa na watu wa bol ni kuwa mtandao wao ume nunuliwa na aga khan angalia extension za smart angalia extension za bol huoni zinafanana
namba zao wote zinaanza na 0798..... inawezekanaje voda na tigo wawe na extension za kufanana
Smart telecom ni mtandao mpyaaaaa tofauti na BOL wao wapo chini ya agha khan .... $
Wanakuja na 76 per call hataree sana unaongea masaa 100 kwa 76 Tshs... Andaeni vi generator vya kuchajia simu