Kuhusu mtandao wa BOL

Kuhusu mtandao wa BOL

mi niko arusha natumia hawa bol bila matatizo kwa moderm ya huawei speed sio mbaya sema tu sijui kuweka hizo screen shot mnazowekaga kama ushahidi
 
Wakuu mna-connect vipi kwenye pc, nimejaribu kutumia join air na connection manager nyingine lakini sipati kabisa signal. Au nahitaji kutumia universal modem. Nyie mnatumia modem gani ?

hizi modem kama ni huawei haziwezi kufanya kazi na joinair mkuu wangu. Join air wanafanya kazi za zte tu.
Huawei mara nyingi inapiga mzigo na dashboard za Mobile partner.
 
Back
Top Bottom