Kuhusu mtandao wa BOL

Kuhusu mtandao wa BOL

mkuu c6 ww unatumia modem gan? Mm huawei e303 no network

Katika hizo ongezea universal modem hsdpa; safaricom modem iliyokuwa-flashed; as well as voda k3570; Zote hazifanyi kazi
 
mkuu c6 ww unatumia modem gan? Mm huawei e303 no network
natumia huawei e303 ila jamaa waliniambia inabidi usearch mtandao manually kwa mara ya kwanza, ukija itatokea mitandao kama vodacom, mic tanzania, tritel au namba namba ivi basi chagua tritel au izo namba namba utaona inabadilika kuwa bol/smart
 
Alafu bei zao zinakatisha tamaa.

20,000 unlimited ni big deal kwangu. bundle zao zimemix kuna nzuri na za mitego. hata sh 79 kwa call nzuri unalipa hio hela unaongea hadi simu inakatika
 
Tsh 79 lakini sio unlimited call. Simu itakatika baada ya dakika30 na ni simu za smart kwenda smart
 
Hapa Bongo Mm niko Ilala-Boma Nnaipata kwenye 2G.m sijui wengine kama mnapata 3G.
 
sasa sh 79 nusu saa sio big deal?

Sio Big deal kutokana na coverage ndogo (sio wengi wenye smart) kwahio ni bora ile mitandao mingine yenye wateja wengi kwahio hata kama wataku-charge 200/= kwa lisaa lizima bado yenye value ni ile mitandao mingine yenye wateja wengi
 
kaka ukishasikia mtu anaongea nusu saa nzima ujue huyo ni
- gf/bf
-baba/mama
-mazungumzo mengine ya kimbea na porojo

hivyo ni rahisi kumnunulia gf au mama line ili kila siku muongee nusu saa.

na kuhusu hio point yako ya kutokuwa na watu wengi hata wangeeka shilingi 0.00001 kwa masaa decilion 1 still coverage ingekua ile ile sababu ni offer ya wateja wa smart na sio wa voda.
 
mkuu kuna watu ni matomaso sana. 79 shs per call (hata kama ni 30 minutes) sio big deal kwa hapa mjini?? kwa gharama za simu za sasa zilivyo juu?? kiukweli me zinanitosheleza sana kuongea na wife na hg back home daily.

wacha matomaso waendelee kuumia na mitandao maarufu wakati mitandao hiyo tayari imeshaanza kushtuka na kuiga pricing strategy za hawa jamaa. Wao ndio wa kwanza kuanza na bundles za shilling 499/siku ... 999/siku .. etc, majuzi tayari naona tigo na voda wameshawaiga. lakini bado kwa hawa jamaa kwa shs 499 unapata dkk 50 smart-smart, dkk 5 mitandao yote, na MB100 ... si haba.

sasa hv nimeona kwenye message notification yao wana kitu kipya ... unatengeneza kifurushi chako mwenyewe unachohitaji kwa uwezo then unalonga au ku-surf kwa raha zako.

nasikia na 4g yao iko njiani kuwa implemented dar ... wanyonyaji wa wateja bye bye ... hatarijeeee!!
 
Sure, Walete 4G ili Smile wajue kuwa Speed sio Issue ni Huduma yako iwajali wateja wake kutokana na Vipato vyao.
 
4G za Dar ni propaganda mfano VODACOM na TIGO walitangaza kuwa wame launch 4G lkn hatujaona hata wakiuza walau hata modem za HSDPA up to 14Mbps au HSPA+ (21Mbps) wala DC-HSPA+ 42Mbps(fastest 3G)...
si ajabu na hao smart/BOL ni wale wale porojo

Internet Speed & Coverage | Tigo.co.tz

Kaka voda walikuwa wanauza K3805-z ni kitu cha 14.2Mbps but ziliwadodea maana hazichakachuki kirahisi so wakaziuza kwenye ile VODA EXPO kwa buku 15 kila moja mi nimezoa 3
 
hivi hao smart washaweka 3g huku dar manaake ipo 2g tu toka kitambo na wanasema wataweka 4g lini atii??
 
Back
Top Bottom