Kuhusu Kesi ya ICJ. Hawa Somalia kama wanatafuta kichapo kutoka Kenya basi watakipata tu

Sitetei upande wowote ule.....

Ila.....

Nimefuatilia madai ya Somalia na kuniachia "maswali mengi"....

Yaani wamechora "horizontal line" sawa na mpaka wao na Kenya!!

Imagine Kenya nayo ingechora "horizontal line" na mpaka wa Tanzania.....hwenda Pemba ingekuwa Kenya......

Huu mgogoro isijekuwa UNACHOCHEWA NA WATU WA NJE HUKO kwa sababu ya maslahi yao binafsi........
Sie tukichora horizintal kutokea kilimanjaro mombasa itakua wapi?
 
Somalia hana chake ,hapo ila kuna watu wanashabikia kwa maisimko wa kidini uliojificha ,hata kams ikiwa kwa vita KENYA iko vizuri sana ,somalia inachochewa na mataiafa yenye itikadi kali wana lao jambo ,ila wasahau mipaka huwa haibadilishwi hovyo hovyo kuna rejea vitabu ,historia ya mahali husika ...kama wanataka wachangamshe na kenya wajaribu

sent from HUAWEI
 
Ujue kuna international organs ambazo Somalia itatumia kuidhibiti Kenya,Somalia sio wajinga wafanye hivyo,walijua hawana nguvu ya kupigana na Kenya,Ila Wana njia nyingine wanayojua.
 
Ujue kuna international organs ambazo Somalia itatumia kuidhibiti Kenya,Somalia sio wajinga wafanye hivyo,walijua hawana nguvu ya kupigana na Kenya,Ila Wana njia nyingine wanayojua.
Muda sahihi utaamua ,unakumbuka inshu ya isrel kuvamiwa na matifa ya uarabuni walijua wansifuta kumbe wao ndio wakafutwa yetu macho utaona na mmarekani na mwingereza wapo nyuma ya kenya ww tusubiri muda utaamua

sent from HUAWEI
 
Duh inapokuja swali ya mpaka ya nchi,hakuna nchi inatakaga kumegewa ata kiduchu,somalia Hawa Hawa Kenya ilikua inapeleka majeshi kuwasaidia ,Ila kwenye mpaka hawataki kusikia ,ata waliopiga Kenya ingawa Somalia atapigwa Ila Kenya nae ataumia pakubwa
 
Back
Top Bottom