Kuhusu Kesi ya ICJ. Hawa Somalia kama wanatafuta kichapo kutoka Kenya basi watakipata tu

Kenya imechoka kubembeleza punda kwenye mteremko. Hawa Shabab wamekimbia kwenye mahakama ya kimataifa eti kujaribu kunyakua mipaka ya Kenya. Lakini Kenya imeshasema haitambui judgement itakayotolewa na mahakama ya ICJ. Kenya itaendelea kulinda mipaka yake kama kawaida.

Mmewai kuwachapa lini?...ni nyie tu ndo mnaathirika na hyo vita
 
Jueni Somalia wakona ally*Uturuki,lakini Kenya pia ina allies hatari kama Britain,France,Israel,America,India na marafiki zao,etc,Watanzania msisherehekee na Somalia ikifanya hivyo pia kenya itafanyia hivo Tanzania ifanyie hivyo Mozambique ifanyie hivo South Africa!!Ujue pia Germany iko macho na hio case ya Somalia sababu itaafect Mpaka Tanzania,na Germany haitaki huo mchezo!! Pia ujue Somalia haitaki war confrontation na Kenya sababu hio inaweza anzisha World war ingine hivo Tuu sababu kunaonekana kumenyamaza lakini Biggest millitary powers zinaangalia kwa macho wakingojea,Na mjue America na Britain wamecamp na mashini zao za kivita ready!! Ukumbuke pia Juzi America ilituma Meli yao ya kivita kwenye Indian Ocean ili kuonya mturuki indirectly!!!Mambo yanaweza yakaharibika
 
Msithani Uhuru anarusha tu mdomo!!!If its war Somalia wajiandae vizuri because they will not get an Inch from Kenya!!!Heri ingekua ni Tanzania inatufanya hivo lakini sio Somalia!! Hao maalshabab wanathanigi wao ndio wanajuaga Holy war hehehe! Ngoja tuu!!!Im ready kulijipua pia mimi nilinde mpaka wetu kwa Damu!!!
 
Uchambuzi makini saana kuwa vita ya somalia na kenya inaweza kusababisha world war

ona washirika wako USA,UK,france, wote hao ni mabepari mfano uingereza hajawai kuingilia vita yoyote direct africa

france katoka nduki nchi nyingi za africa na yupo anapoteza ushawishi

USA anajulikana yeye anachojari ni maslahi yake tu hana rafiki wa kudumu

Anaempa kiburi somalia ni uturuki taifa ambalo linatafuta ushawishk kwa nguvu now day that why anaingia kwa nguvu zote kusaidia washirika wake na anafanya vita kama sehemu ya kutangaza silaha zake za kivita uturuki kawadindia USA na Russia Libya na kawatandika haswa, vita ya Armenia and Azerbaijan nadhani umeona mwenyewe alichokifanya uturuki na kama uturuki asingeingilia Azerbaijan angepigwa

pia now day USA ana tension ya china na Taiwan Israel yupo anaviziana na Iran huko Azerbaijan

all in all kaeni mezani mpiganie angalau mpate 50%
Jueni Somalia wakona ally*Uturuki,lakini Kenya pia ina allies hatari kama Britain,France,Israel,America,India na marafiki zao,etc,Watanzania msisherehekee na Somalia ikifanya hivyo pia kenya itafanyia hivo Tanzania ifanyie hivyo Mozambique ifanyie hivo South Africa!!Ujue pia Germany iko macho na hio case ya Somalia sababu itaafect Mpaka Tanzania,na Germany haitaki huo mchezo!! Pia ujue Somalia haitaki war confrontation na Kenya sababu hio inaweza anzisha World war ingine hivo Tuu sababu kunaonekana kumenyamaza lakini Biggest millitary powers zinaangalia kwa macho wakingojea,Na mjue America na Britain wamecamp na mashini zao za kivita ready!! Ukumbuke pia Juzi America ilituma Meli yao ya kivita kwenye Indian Ocean ili kuonya mturuki indirectly!!!Mambo yanaweza yakaharibika
 
Uchambuzi makini saana kuwa vita ya somalia na kenya inaweza kusababisha world war

ona washirika wako USA,UK,france, wote hao ni mabepari mfano uingereza hajawai kuingilia vita yoyote direct africa

france katoka nduki nchi nyingi za africa na yupo anapoteza ushawishi

USA anajulikana yeye anachojari ni maslahi yake tu hana rafiki wa kudumu

Anaempa kiburi somalia ni uturuki taifa ambalo linatafuta ushawishk kwa nguvu now day that why anaingia kwa nguvu zote kusaidia washirika wake na anafanya vita kama sehemu ya kutangaza silaha zake za kivita uturuki kawadindia USA na Russia Libya na kawatandika haswa, vita ya Armenia and Azerbaijan nadhani umeona mwenyewe alichokifanya uturuki na kama uturuki asingeingilia Azerbaijan angepigwa

pia now day USA ana tension ya china na Taiwan Israel yupo anaviziana na Iran huko Azerbaijan

all in all kaeni mezani mpiganie angalau mpate 50%
nikuulize unajua kwanini America ilituma meli kubwa yao ya kivita Indian Ocean wat do you think was the message they were sending??Unafahamu Training ambazo Jeshi ya Britain inafanya na Vikosi za Kenya,Unafahamu the amount of Britain Millitary equipment ambazo zinaletwa almost everyday huku Kenya??Je unafahamu The amount of Weapons Kenya has bought na ziko tu store ungejiuliza ni za nini??Je unajiuliza India na venye haipendi waislamu wanaeeza wakaitikia Waharibu biashara yao,Do you know the amount of business India has invested in Kenya??Do you know how many Kenya millitary superpowers allies are intrested in this Case??? Tena ukumbuke Kenya iko na pesa if we decide to concentrate in war wat we can do???And you Tanzanian There you are happy wakati your neighbour anaharibikiwa na ujuwe if we becomes like war people tutasababisha majimambo EAC,Mchunge moto isikasambae kwenu uliza Afghanstan na pakistan na Iraq wat is the consequences of war!!!??
 
Achana na kutuma meli kubwa ya kivita USA alikuwa na kambi kubwa saana ya Anga Afghanistan na alitumia mamilion ya dollars lkn kaondoka kikubwa ni maslahi tu

alafu unasemaje India haipendi waslamu na aliyakuwa nchin kwake kuna Muslim pia

vita ya nchi na nchi ni faida kwa majirani hasa jirani ambae hatofungamana na upande wowote
 
unasema America ilitoroka Afghanstan ama walifukuzwa,Raia wa Afghanistan walikuwa for 20good years wanaishi maisha mzuri wakiwa wanalindwa mpaka wakajisahau na kudharau America!!!Do you know the Amount of minerals ambazo ziko chini ya ardhi ya Afghanstan unathani America ingewaachanisha tu hivo!America waliona hawatakikakani huko na wakaamua kuondoka ndio Afghanstan ijijutie yenyewe!!! Alafu wwe hujui India hawapendi waisilamu??Do you know Kabul in India huko ndio waislamu wanaishi do you know wat is happening there??Je unafahamu inchi zenye ni maadui na India???
 
Gas na mafuta inawatoa roho mbaya sana. Ebu tusuburi tuone Pemba watakapo gundua Gas na mafuta mtafanyaje WakunyaLand
 
Jueni Somalia wakona ally*Uturuki,lakini Kenya pia ina allies hatari kama Britain,France,Israel,America,India na marafiki zao,etc,Watanzania msisherehekee na Somalia ikifanya hivyo pia kenya itafanyia hivo Tanzania ifanyie hivyo Mozambique ifanyie hivo South Africa!!Ujue pia Germany iko macho na hio case ya Somalia sababu itaafect Mpaka Tanzania,na Germany haitaki huo mchezo!! Pia ujue Somalia haitaki war confrontation na Kenya sababu hio inaweza anzisha World war ingine hivo Tuu sababu kunaonekana kumenyamaza lakini Biggest millitary powers zinaangalia kwa macho wakingojea,Na mjue America na Britain wamecamp na mashini zao za kivita ready!! Ukumbuke pia Juzi America ilituma Meli yao ya kivita kwenye Indian Ocean ili kuonya mturuki indirectly!!!Mambo yanaweza yakaharibika
Acha ujinga....hakuna world war itapiganwa coz of Somalia and Kenya.
 
endelea kuishi kwa matumaini mkianza kupigana watawauzia silaha hakuna msaada zaidi ya huo.
 
nikuulize unajua kwanini America ilituma meli kubwa yao ya kivita Indian Ocean wat do you think was the message they were sending??Unafahamu Training ambazo Jeshi ya Britain inafanya na Vikosi za Kenya,Unafahamu the amount of Britain Millitary equipment ambazo zinaletwa almost everyday huku Kenya??Je unafahamu The amount of Weapons Kenya has bought na ziko tu store ungejiuliza ni za nini??Je unajiuliza India na venye haipendi waislamu wanaeeza wakaitikia Waharibu biashara yao,Do you know the amount of business India has invested in Kenya??Do you know how many Kenya millitary superpowers allies are intrested in this Case??? Tena ukumbuke Kenya iko na pesa if we decide to concentrate in war wat we can do???And you Tanzanian There you are happy wakati your neighbour anaharibikiwa na ujuwe if we becomes like war people tutasababisha majimambo EAC,Mchunge moto isikasambae kwenu uliza Afghanstan na pakistan na Iraq wat is the consequences of war!!!??
Vita vitawaharibia utalii wao huo wa Arusha,sijui Serengeti na Kilimanjaro.
Vita vitapiganwa Hadi fukwe zao hapo Daresalaam.
Sema tu Somalia hana uwezo kwa hivyo hamna vita eneo tayari lipo chini ya Kenya.
Tutashuhudia vituko vidogo pamoja na makelele ya hapa na pale.
Kesha dhibitiwa tangu mwaka wa.2012, ndio ilikua nia haswa ya KDF kuingia kulee Somalia,kuimega na kuanzisha nchi iitwayo Jubba land mle ndani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom