Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

Kuhonga ni jambo ambalo halikwepeki

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Ndungu wanaume.

Ni asili na jadi kumhonga mwanamke. Huwa nawashangaa sana wanaume wabahili!

Unakuta mwanaume unamhonga mwanamke laki tano unamsumbua mtoto wa watu mpaka anakukimbia kabisa.

Ukihonga sio lazima upewe. Unapo muhonga mwanamke weka mawazoni unatoa sadaka sio kama unafanya biashara.

Hawa watoto mbona ni wetu tu kila siku!!!.
 
Hawa watoto hawataki mistari mingi. Muulize account ya benk kisha mwaga noti bana. Tunapiga job kwaajiri ya malkia bana.
 
hata maandiko yanasema mwanaume atakula kwa jasho..
 
hata maandiko yanasema mwanaume atakula kwa jasho..

Ndio hivyo bana. Akipendacho binti mwanaume lazima anunue. Tunapiga kazi ngumu kwaajiri ya malkia.
 
Ninahonga mwanamke mwanaume ninamkopesha kwa mashart.
 
Back
Top Bottom