Mungu alimuhonga mwanamke dunia na kila kitu kilichomo ndani yake.....na bado alisalitiwa!!Wewe nani?

kibangubangu

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
212
285
Kuhonga siyo tusi,kuhonga ni kumpa mtu kila kitu anachotaka awe amekuomba au hajakuomba,we unampa tu yani!

Hii mara nying hufanywa na mhongaji akijaribu kuonesha kumjali na kumpenda mhongwaji na mara nyingne kumpunguzia tamaa mhongwaji ili asije akatamani vitu kama hvyo kwingine.

Unajua nin?Hua nasikitika sana kuona mhongaji mmoja eti kapiga au,kaua mwanamke au,kapata ugonjwa wa moyo au kakonda kwa stress,kisa eti mwanamke aliyekuwa anampenda na kumhonga kila kitu,yaani kamuhonga,karibu mali zake zote,kamuacha au kamsaliti?

Wakati huohuo huyo aliyesalitiwa utakuta ni msomaji mzuri wa vitabu vitakatifu vya dini!Na anamjua vizuri kabisa mama wa wanawake wote aitwaye Eva,na bado huyu mwanaume anashangaa kusalitiwa na aliyekuwa anamuhonga....huu ni ujinga mkubwa kabisaa!

Hivi vitabu vipo kutusaidia kujuana asili zetu,ili tujue tuishi vp pamoja!

Hivi unamfahamu mama wa wanawake wote duniani aliye kuwa anaitwa EVA.....?

Hebu nambie mwanamke huyu alikosa nini jamani....?

Yani mwanamke huyu alihongwa DUNIA,siyo nyumba alihongwa DUNIA na NA KILA KITU KILICHOPO NDANI YAKE!

Siyo wewe unahonga nyumba na makochi yake
unajiona kidume!

Mungu alimpa uhai kisha akamuhonga dunia na kilakitu kilichopo ndani yake!

Bado Mungu akampa mume mpole,hajui kupiga wala hachepuki.

Hebu fikilia leo unahongwa dunia na kila kitu kilichopo ndani yake JAMANIII?...

Licha ya mwanamke kupewa vyote hivyo lakini BADO MUHUNI MMOJA (shetani).Aliweza kumrubuni mwanamke huyo...!

Mwanamke huyu aliyehongwa vitu vya thamani akadanganyika kwa vitu vidogo na vya kipumbavu kabisa!

Eti nitakupa uwezo wakujua jema na baya?sasa jema na baya la kaz gani?Wanawake bwana...

Kwa ujinga wake na kwa udhaifu wake akamsaliti baba yake ambaye ni Mungu,akamsaliti na mume wake Adamu,akachepuka na muhuni mmoja (shetani) akimuahidi ahadi za kijinga!

Shetani akafanikiwa kula mzigo, Eva akazaa watoto wa nje ya ndoa,Kain na Abeli,Adamu alijua kabisa wale watoto sio wake ni wa mchepuko,lakini maskin mwanaume mpole yule bado aliwalea watoto haramu,watoto walio leta laana ya kifo na kuuana duniani!

Mtu wa kwanza kufa duniani ni Abeli na mtu wa kwanza kuua ni kaini hawa wote ni vizazi vya nyoka (shetani)

Mwanamke aliyetolewa usichana wake na Shetani,hakufaa tena kwa matumizi kwa adam,sababu bikra ni kitu cha thamani kwa mwanamke.

Lakini Adamu kwa ujinga akabembelezwa na Eva hadi akukubali kula makombo ya shetani,kwa kulala na Eva mwanamke asiye na bikra.

Adamu akarembuliwa macho,akategwa akategeka,akatembea na Eva hadi akampa ujauzito,mwanamke asiye na bikra akabeba mimba ya Adamu.

Ndipo Sethi akazaliwa,Mtoto wa Kwanza wa Adam,ambaye ni mtoto wa tatu wa Eva!

Unajua shetani baada ya kumdanganya mwanamke,na akafanikiwa kumzalisha watoto wawili,akaona haitoshi.

Akamshawishi Eva akamrubuni Mumewe,kipindi akiwa kwenye siku za kupata ujauzito ili walale nae azae pia na Adam.

Lengo ni kwamba watoto wa Adamu wakizaliwa watakua ni watakatifu,watoto hao alitaka waje wazaane na kizazi chake cha nyoka,ili kuendeleza kizazi chake shetani.Na kukichafua kizaz cha Adam.

Hawa akakubali akaanza kumtega adamu!

Adamu alisha tambua kua Eva tayari hafai kwa matumizi,sababu amesha zaa na malaika (malaika mbaya)bikra yake haipo tena.

Adamu alivumilia miaka zaidi ya 100,bila kumgusa Eva.

Lakini Eva baada ya makubaliano na Shetani alipoona siku zake za kushka mimba zimefika,akaanda mitego ya kibabe,Adamu hakuchomoa, Eva akafanikiwa kumuangusha dhambini adamu,

Wakati Adam na hawa wanagegedana,Mungu akawakurupusha...

Walivyostuka Adamu akajiziba tupu yake kwa mikono.

Eva naye akajiziba tupu yake kwa mikono!

Hawaamini kinacho endelea...yaani mshua ameona mchezo?hatari tupu!

Akamuuliza Adamu unafanya nini?....hahaaa swali gumu hilo....

Adamu hakujibu akajitetea akasema ni huyu mwanamke ndo kanishawishi!

Mwanamke naye akasema siyo mimi ni Shetani!

Basi dhambi ikawa imeingia kwa wote,Eva akapata mimba ya adamu akazaa mtoto anayefanana na adamu,akamwita Seth!

Hivyo watoto wa Seth wakaja wakazaana na watoto wa Kaini,hivyo kizaz cha nyoka kikaendelezwa,ambapo kila mto mto anayezaliwa na kizaz hiki cha nyoka huwa amebeba dhambi ile ya asili,ya uzinzi na usaliti!

Hivi unajua ni maumivu gani Mungu alipata kwa usaliti huu!Basi maumivu aliopata Mungu yatakua mara milioni ya wewe uliye honga kigari tu,mwanamke akakusaliti eti unatishia kuua...!!Hebu tulia huko....alaah!

Kibaya zaidi mwanamke kasaliti,dume na lenyewe kwa ujinga wake,likatumbukia na lenyewe humo humo kwenye dhambi!

Unajua nini?Mungu kwanza alimuona Adamu kama boya flani hivi,mzubaifu mmoja,haiwezekani muhuni akaja akakupigia mkeo na wewe upo unashangaa....na bado mwanake ameondolewa bikra na wewe unaenda kutumbukia humo humo,kisa tu kakurembulia mimacho yake...

Mungu akamwona Adamu ni mume bwege,mjinga mmoja,bongolala moja,ndo mana akampa Adamu adhabu za kuponda zege yeye nazao wa jinsia yake, ili akili zao ziteteme kidogo,ndo maana hadi leo wanaume tunaponda zege.....ili akili ziwe active!

Eva naye akapewa adhabu ya uzinifu,yeye na uzao wa jinsia yake,kwamba utazaa kwa maumivu makali....

Lakini mja asili haachi asili licha ya kuambiwa watazaa kwa uchungu hawajaacha kupachika watoto wa nje ya ndoa!

Unakuta familia ina watoto watano wawili feki!hahaaa...

Huna haja ya DNA,hilo ni tangu asili adamu alijua mke wake kachepuka na kamzalia watoto wa nje,lakini akachukulia poa,na bado akajazilizia mtoto wa tatu juu...wewe unaepata hasira sababu ya usalit wa mwanamke utaishia jela bure...kuwa mpole tu!

Wewe mhonge gorofa mkeo harafu zubaa zubaa kama Adam alivyo zubaa kule EDEN,kama houseboy asipo mhonga mkeo vichekesho tu...na akala mzigo...!

Muishi nao kwa akili,siyo minguvu mtafeli!
 
Mke wa adam alichepuka na nani ?
 
Kama kula tunda la mti wa kati ilikiwa ni uzinzi, basi yawezekana Eva alizini kwanza na kiumbe mwingine tusiyemfahamu (aliyepewa jina la nyoka), kisha akamfundisha Adam.

Ninavyoamini ni kuwa maandiko ya zamani yaliandikwa kwa lugha ya mfano tu na wala siyo kilichotokea halisi. Maandiko haya yameficha mambo mengi. Ni wazi kuwa kila binadamu alipojaribu kujua kilichopo nyuma ya pazia, ndivyo alivyozidi kupotoka na kupotosha wengine. Hivyo siwezi kuamini nadharia yoyote inayojaribu kuelezea kilichotokea zaidi ya kile kilichoandikwa.

Hivyo nishauri tu tujiepushe na utunzi wa nadharia potofu pamoja na kejeli nyinginezo kuhusu mambo ya Muumba. Sisi ni binadamu na tupo gizani na kifungoni. Hatuwezi kujiokoa kwa kuendeleza kejeli na nadharia potofu.
 
Kuhonga siyo tusi,kuhonga ni kumpa mtu kila kitu anachotaka awe amekuomba au hajakuomba,we unampa tu yani!

Hii mara nying hufanywa na mhongaji akijaribu kuonesha kumjali na kumpenda mhongwaji na mara nyingne kumpunguzia tamaa mhongwaji ili asije akatamani vitu kama hvyo kwingine.

Unajua nin?Hua nasikitika sana kuona mhongaji mmoja eti kapiga au,kaua mwanamke au,kapata ugonjwa wa moyo au kakonda kwa stress,kisa eti mwanamke aliyekuwa anampenda na kumhonga kila kitu,yaani kamuhonga,karibu mali zake zote,kamuacha au kamsaliti?

Wakati huohuo huyo aliyesalitiwa utakuta ni msomaji mzuri wa vitabu vitakatifu vya dini!Na anamjua vizuri kabisa mama wa wanawake wote aitwaye Eva,na bado huyu mwanaume anashangaa kusalitiwa na aliyekuwa anamuhonga....huu ni ujinga mkubwa kabisaa!

Hivi vitabu vipo kutusaidia kujuana asili zetu,ili tujue tuishi vp pamoja!

Hivi unamfahamu mama wa wanawake wote duniani aliye kuwa anaitwa EVA.....?

Hebu nambie mwanamke huyu alikosa nini jamani....?

Yani mwanamke huyu alihongwa DUNIA,siyo nyumba alihongwa DUNIA na NA KILA KITU KILICHOPO NDANI YAKE!

Siyo wewe unahonga nyumba na makochi yake
unajiona kidume!

Mungu alimpa uhai kisha akamuhonga dunia na kilakitu kilichopo ndani yake!

Bado Mungu akampa mume mpole,hajui kupiga wala hachepuki.

Hebu fikilia leo unahongwa dunia na kila kitu kilichopo ndani yake JAMANIII?...

Licha ya mwanamke kupewa vyote hivyo lakini BADO MUHUNI MMOJA (shetani).Aliweza kumrubuni mwanamke huyo...!

Mwanamke huyu aliyehongwa vitu vya thamani akadanganyika kwa vitu vidogo na vya kipumbavu kabisa!

Eti nitakupa uwezo wakujua jema na baya?sasa jema na baya la kaz gani?Wanawake bwana...

Kwa ujinga wake na kwa udhaifu wake akamsaliti baba yake ambaye ni Mungu,akamsaliti na mume wake Adamu,akachepuka na muhuni mmoja (shetani) akimuahidi ahadi za kijinga!

Shetani akafanikiwa kula mzigo, Eva akazaa watoto wa nje ya ndoa,Kain na Abeli,Adamu alijua kabisa wale watoto sio wake ni wa mchepuko,lakini maskin mwanaume mpole yule bado aliwalea watoto haramu,watoto walio leta laana ya kifo na kuuana duniani!

Mtu wa kwanza kufa duniani ni Abeli na mtu wa kwanza kuua ni kaini hawa wote ni vizazi vya nyoka (shetani)

Mwanamke aliyetolewa usichana wake na Shetani,hakufaa tena kwa matumizi kwa adam,sababu bikra ni kitu cha thamani kwa mwanamke.

Lakini Adamu kwa ujinga akabembelezwa na Eva hadi akukubali kula makombo ya shetani,kwa kulala na Eva mwanamke asiye na bikra.

Adamu akarembuliwa macho,akategwa akategeka,akatembea na Eva hadi akampa ujauzito,mwanamke asiye na bikra akabeba mimba ya Adamu.

Ndipo Sethi akazaliwa,Mtoto wa Kwanza wa Adam,ambaye ni mtoto wa tatu wa Eva!

Unajua shetani baada ya kumdanganya mwanamke,na akafanikiwa kumzalisha watoto wawili,akaona haitoshi.

Akamshawishi Eva akamrubuni Mumewe,kipindi akiwa kwenye siku za kupata ujauzito ili walale nae azae pia na Adam.

Lengo ni kwamba watoto wa Adamu wakizaliwa watakua ni watakatifu,watoto hao alitaka waje wazaane na kizazi chake cha nyoka,ili kuendeleza kizazi chake shetani.Na kukichafua kizaz cha Adam.

Hawa akakubali akaanza kumtega adamu!

Adamu alisha tambua kua Eva tayari hafai kwa matumizi,sababu amesha zaa na malaika (malaika mbaya)bikra yake haipo tena.

Adamu alivumilia miaka zaidi ya 100,bila kumgusa Eva.

Lakini Eva baada ya makubaliano na Shetani alipoona siku zake za kushka mimba zimefika,akaanda mitego ya kibabe,Adamu hakuchomoa, Eva akafanikiwa kumuangusha dhambini adamu,

Wakati Adam na hawa wanagegedana,Mungu akawakurupusha...

Walivyostuka Adamu akajiziba tupu yake kwa mikono.

Eva naye akajiziba tupu yake kwa mikono!

Hawaamini kinacho endelea...yaani mshua ameona mchezo?hatari tupu!

Akamuuliza Adamu unafanya nini?....hahaaa swali gumu hilo....

Adamu hakujibu akajitetea akasema ni huyu mwanamke ndo kanishawishi!

Mwanamke naye akasema siyo mimi ni Shetani!

Basi dhambi ikawa imeingia kwa wote,Eva akapata mimba ya adamu akazaa mtoto anayefanana na adamu,akamwita Seth!

Hivyo watoto wa Seth wakaja wakazaana na watoto wa Kaini,hivyo kizaz cha nyoka kikaendelezwa,ambapo kila mto mto anayezaliwa na kizaz hiki cha nyoka huwa amebeba dhambi ile ya asili,ya uzinzi na usaliti!

Hivi unajua ni maumivu gani Mungu alipata kwa usaliti huu!Basi maumivu aliopata Mungu yatakua mara milioni ya wewe uliye honga kigari tu,mwanamke akakusaliti eti unatishia kuua...!!Hebu tulia huko....alaah!

Kibaya zaidi mwanamke kasaliti,dume na lenyewe kwa ujinga wake,likatumbukia na lenyewe humo humo kwenye dhambi!

Unajua nini?Mungu kwanza alimuona Adamu kama boya flani hivi,mzubaifu mmoja,haiwezekani muhuni akaja akakupigia mkeo na wewe upo unashangaa....na bado mwanake ameondolewa bikra na wewe unaenda kutumbukia humo humo,kisa tu kakurembulia mimacho yake...

Mungu akamwona Adamu ni mume bwege,mjinga mmoja,bongolala moja,ndo mana akampa Adamu adhabu za kuponda zege yeye nazao wa jinsia yake, ili akili zao ziteteme kidogo,ndo maana hadi leo wanaume tunaponda zege.....ili akili ziwe active!

Eva naye akapewa adhabu ya uzinifu,yeye na uzao wa jinsia yake,kwamba utazaa kwa maumivu makali....

Lakini mja asili haachi asili licha ya kuambiwa watazaa kwa uchungu hawajaacha kupachika watoto wa nje ya ndoa!

Unakuta familia ina watoto watano wawili feki!hahaaa...

Huna haja ya DNA,hilo ni tangu asili adamu alijua mke wake kachepuka na kamzalia watoto wa nje,lakini akachukulia poa,na bado akajazilizia mtoto wa tatu juu...wewe unaepata hasira sababu ya usalit wa mwanamke utaishia jela bure...kuwa mpole tu!

Wewe mhonge gorofa mkeo harafu zubaa zubaa kama Adam alivyo zubaa kule EDEN,kama houseboy asipo mhonga mkeo vichekesho tu...na akala mzigo...!

Muishi nao kwa akili,siyo minguvu mtafeli!
We jamaa mzuri sana kwenye lugha Picha yaan nime enjoy kusoma mixer kucheka

Wahubiri wote wangekua wanahubiri hivi daah hiyo gospel ingenoga kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishia kucheka tu maana ni kama ka story flani hivi ka kulainisha hivi vyuma vilivyokaza mpka basi!
Ila naona kuna kitu sijaelewa kidogo
Unasema watoto wa Seth walizaa na watoto wa kaini je ye Seth alizaa na nani hao watoto na Kaini vile vile alizaa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhonga siyo tusi,kuhonga ni kumpa mtu kila kitu anachotaka awe amekuomba au hajakuomba,we unampa tu yani!

Hii mara nying hufanywa na mhongaji akijaribu kuonesha kumjali na kumpenda mhongwaji na mara nyingne kumpunguzia tamaa mhongwaji ili asije akatamani vitu kama hvyo kwingine.

Unajua nin?Hua nasikitika sana kuona mhongaji mmoja eti kapiga au,kaua mwanamke au,kapata ugonjwa wa moyo au kakonda kwa stress,kisa eti mwanamke aliyekuwa anampenda na kumhonga kila kitu,yaani kamuhonga,karibu mali zake zote,kamuacha au kamsaliti?

Wakati huohuo huyo aliyesalitiwa utakuta ni msomaji mzuri wa vitabu vitakatifu vya dini!Na anamjua vizuri kabisa mama wa wanawake wote aitwaye Eva,na bado huyu mwanaume anashangaa kusalitiwa na aliyekuwa anamuhonga....huu ni ujinga mkubwa kabisaa!

Hivi vitabu vipo kutusaidia kujuana asili zetu,ili tujue tuishi vp pamoja!
Kwa tafsiri nyingine ukihonga ni kama umetoa msaada hivyo hupaswi kushare kitu ulicho muonga mwenzako, ukishare hapo huja honga bali umenunua kwa ajili ya matumizi yenu wote wawili. Huwezi ukasema umemuhonga gari halafu linapaki kwako na kila siku unapanda na mafuta wote mnachangia, hapo hujaonga bali umenunua gari ili liwafae wote wawili. Na ndio maana watu waliohonga wakisha farakana na wenzao waliohongwa huamua kuchukua mazaga yao au kuwapora hao waliohongwa ili kuridhisha nafsi zao
Hivi unamfahamu mama wa wanawake wote duniani aliye kuwa anaitwa EVA.....?

Hebu nambie mwanamke huyu alikosa nini jamani....?

Yani mwanamke huyu alihongwa DUNIA,siyo nyumba alihongwa DUNIA na NA KILA KITU KILICHOPO NDANI YAKE!

Siyo wewe unahonga nyumba na makochi yake
unajiona kidume!

Mungu alimpa uhai kisha akamuhonga dunia na kilakitu kilichopo ndani yake!

Bado Mungu akampa mume mpole,hajui kupiga wala hachepuki.

Hebu fikilia leo unahongwa dunia na kila kitu kilichopo ndani yake JAMANIII?...

Licha ya mwanamke kupewa vyote hivyo lakini BADO MUHUNI MMOJA (shetani).Aliweza kumrubuni mwanamke huyo...!

Mwanamke huyu aliyehongwa vitu vya thamani akadanganyika kwa vitu vidogo na vya kipumbavu kabisa!

Eti nitakupa uwezo wakujua jema na baya?sasa jema na baya la kaz gani?Wanawake bwana...
Kuhongwa gani dunia unakozungumzia? Mbona hongo hii naye Adamu anahusika?. Utasemaje eva alihongwa ulimwengu wakati nae adamu alikua anaishi humo humo? Ilitakiwa eva ahongwe dunia na Adamu halafu Adamu akaishi mars. Halafu ikitokea conflicts Adamu atatoka mars kuja kumpora eva dunia. Huwezi ukasema eva alihongwa dunia alafu nae Adamu akiwa humo humo, hapo ni kama wote wamechanga kwaiyo inakua ni ngumu sana kuchukua mali yote peje yake labda wagawane
Kwa ujinga wake na kwa udhaifu wake akamsaliti baba yake ambaye ni Mungu,akamsaliti na mume wake Adamu,akachepuka na muhuni mmoja (shetani) akimuahidi ahadi za kijinga!

Shetani akafanikiwa kula mzigo, Eva akazaa watoto wa nje ya ndoa,Kain na Abeli,Adamu alijua kabisa wale watoto sio wake ni wa mchepuko,lakini maskin mwanaume mpole yule bado aliwalea watoto haramu,watoto walio leta laana ya kifo na kuuana duniani!

Mtu wa kwanza kufa duniani ni Abeli na mtu wa kwanza kuua ni kaini hawa wote ni vizazi vya nyoka (shetani)

Mwanamke aliyetolewa usichana wake na Shetani,hakufaa tena kwa matumizi kwa adam,sababu bikra ni kitu cha thamani kwa mwanamke.

Lakini Adamu kwa ujinga akabembelezwa na Eva hadi akukubali kula makombo ya shetani,kwa kulala na Eva mwanamke asiye na bikra.

Adamu akarembuliwa macho,akategwa akategeka,akatembea na Eva hadi akampa ujauzito,mwanamke asiye na bikra akabeba mimba ya Adamu.

Ndipo Sethi akazaliwa,Mtoto wa Kwanza wa Adam,ambaye ni mtoto wa tatu wa Eva!

Unajua shetani baada ya kumdanganya mwanamke,na akafanikiwa kumzalisha watoto wawili,akaona haitoshi.

Akamshawishi Eva akamrubuni Mumewe,kipindi akiwa kwenye siku za kupata ujauzito ili walale nae azae pia na Adam.

Lengo ni kwamba watoto wa Adamu wakizaliwa watakua ni watakatifu,watoto hao alitaka waje wazaane na kizazi chake cha nyoka,ili kuendeleza kizazi chake shetani.Na kukichafua kizaz cha Adam.

Hawa akakubali akaanza kumtega adamu!

Adamu alisha tambua kua Eva tayari hafai kwa matumizi,sababu amesha zaa na malaika (malaika mbaya)bikra yake haipo tena.

Adamu alivumilia miaka zaidi ya 100,bila kumgusa Eva.

Lakini Eva baada ya makubaliano na Shetani alipoona siku zake za kushka mimba zimefika,akaanda mitego ya kibabe,Adamu hakuchomoa, Eva akafanikiwa kumuangusha dhambini adamu,

Wakati Adam na hawa wanagegedana,Mungu akawakurupusha...

Walivyostuka Adamu akajiziba tupu yake kwa mikono.

Eva naye akajiziba tupu yake kwa mikono!

Hawaamini kinacho endelea...yaani mshua ameona mchezo?hatari tupu!

Akamuuliza Adamu unafanya nini?....hahaaa swali gumu hilo....

Adamu hakujibu akajitetea akasema ni huyu mwanamke ndo kanishawishi!

Mwanamke naye akasema siyo mimi ni Shetani!

Basi dhambi ikawa imeingia kwa wote,Eva akapata mimba ya adamu akazaa mtoto anayefanana na adamu,akamwita Seth!

Hivyo watoto wa Seth wakaja wakazaana na watoto wa Kaini,hivyo kizaz cha nyoka kikaendelezwa,ambapo kila mto mto anayezaliwa na kizaz hiki cha nyoka huwa amebeba dhambi ile ya asili,ya uzinzi na usaliti!

Hivi unajua ni maumivu gani Mungu alipata kwa usaliti huu!Basi maumivu aliopata Mungu yatakua mara milioni ya wewe uliye honga kigari tu,mwanamke akakusaliti eti unatishia kuua...!!Hebu tulia huko....alaah!

Kibaya zaidi mwanamke kasaliti,dume na lenyewe kwa ujinga wake,likatumbukia na lenyewe humo humo kwenye dhambi!

Unajua nini?Mungu kwanza alimuona Adamu kama boya flani hivi,mzubaifu mmoja,haiwezekani muhuni akaja akakupigia mkeo na wewe upo unashangaa....na bado mwanake ameondolewa bikra na wewe unaenda kutumbukia humo humo,kisa tu kakurembulia mimacho yake...

Mungu akamwona Adamu ni mume bwege,mjinga mmoja,bongolala moja,ndo mana akampa Adamu adhabu za kuponda zege yeye nazao wa jinsia yake, ili akili zao ziteteme kidogo,ndo maana hadi leo wanaume tunaponda zege.....ili akili ziwe active!

Eva naye akapewa adhabu ya uzinifu,yeye na uzao wa jinsia yake,kwamba utazaa kwa maumivu makali....

Lakini mja asili haachi asili licha ya kuambiwa watazaa kwa uchungu hawajaacha kupachika watoto wa nje ya ndoa!

Unakuta familia ina watoto watano wawili feki!hahaaa...

Huna haja ya DNA,hilo ni tangu asili adamu alijua mke wake kachepuka na kamzalia watoto wa nje,lakini akachukulia poa,na bado akajazilizia mtoto wa tatu juu...wewe unaepata hasira sababu ya usalit wa mwanamke utaishia jela bure...kuwa mpole tu!

Wewe mhonge gorofa mkeo harafu zubaa zubaa kama Adam alivyo zubaa kule EDEN,kama houseboy asipo mhonga mkeo vichekesho tu...na akala mzigo...!

Muishi nao kwa akili,siyo minguvu mtafeli!

Mungu mwenyewe alisema kua binadamu sio wakamilifu ni dhaifu huenda angeumba wakamilifu wasingetenda kinyume na mapenzi yake. Sasa utategemeaje kupata yaliyo mema kwenye kiumbe kisicho na ukamilifu? Na kama kila kitu ni kusudio la mungu basi hata eva kumdanganya Adamu pia ni kusudio la mungu, ukisema sio kusudio lake hapo unakua umetoa sifa ya mjuzi wa yote ya mungu kwamba hili jambo hakuliona kabla

wakati shetani na eva wanafanya hayo maagano mungu mjuzi wa yote alikua wapi? Hakuona hilo kabla? Kama aliliona akaliacha kwanini tumlaumu eva na shetani wkati yote ni mapenzi ya mungu?

Sent using unknown device
 
Tena huyu mleta mbwembwe kama posti yenye maneno halali atwambie vizuri amepata wapi hiyo tafsiri, na kama ni mawazo yake pia aseme hapa kuondolea watu kuwaza mambo magumu mwisho washindwe hata kulijenga taifa!
Kama kweli shetani alikuwa wa kwanza "kuzini" na mwanamke kwa nini hakuna kitabu kinachoweka wazi hiyo Tafsiri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli shetani alikuwa wa kwanza "kuzini" na mwanamke kwa nini hakuna kitabu kinachoweka wazi hiyo Tafsiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unavyo soma na kuambiwa walikula tunda la mti wa katikati hua unajua ni matunda ya kama vile maembe,au ma-aple?

Kama ndo hivyo Mungu alipanda huo mti wa nini?

Kwanini adhabu ya mwanamke aliyopewa ilikua ya maumivu katika viungo vyake vya siri?

Hivi unajua adhabu hiyo inahusisha pia hata damu yao ya kila mwezi?

Kama ukikwepa kuzaa kwa uchungu utapata maumivu ya hedhi ya kila mwezi!

Na ukikubali kuzaa kwa uchungu utapumzishwa maumivu ya kila mwez na utakuja kuyapata yale ya uzazi!

Usije ukafikir kila kiumbe kinacho zaa kinapata damu ya kila mwezi hapana.

Damu hyo na maumivu yake ni kwa mwanadamu mwanamke tu!

Sokwe anafanana na binadamu ila yeye hana damu hyo uliwahi kujiuliza?
 
Hapa naona umenipa viashiria vilivyokupeleka kwenye nia ya kutunga hadidhi hii ya kufikirika tunayoijadili,

lakini huoni kama nikiiita/tukiiita mawazo yako nitakuwa/tutakuwa sahihi kwa kuwa hakuna mahala popote penye andiko linalokusapoti, na hasa ukizingatia mifano kwamba mahala pa nuhu kulala na mabinti zake panajieleza wazi hapajaficha kitu, na hata sehemu nyingine jambo hilo halikutamkwa kwa fumbo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom